kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25): Taarifa Fupi (Sehemu ya kwanza kama iliyovyoandikwa na ChatGPT)

    Summary 📋 Tanzania expropriated the SMP gold project, a 12-year-long investment to explore and develop a gold mine, without offering prompt, adequate, and effective compensation, violating the Canada-Tanzania bilateral investment treaty. Facts Tanzania attracted foreign mining investments in...
  2. Simba Sc kuanzia Round ya Kwanza Ligi ya Mabingwa

    Tumepokea taarifa kwamba Simba Sc na vigogo wengine wa Super League, wataanzia round ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa. Draw ya round ya awali inategemewa kufanyika tarehe 25 Julai.
  3. Baadhi ya wanawake wa sasa hawakupi msaada mpaka alale na wewe kwanza

    Nimesikitika sana. Huyu dada tupo naye ofisini. Sasa nilipungukiwa tu vicent kadhaa kwa ajili ya kuongezea kununua shamba sehemu fulani. Nikamwambia aniazime nijazie ntamrudishia baada ya week. Akaniambia sawa niende nikachukue kwake Mbezi jana jioni. Nimeenda tukapiga stories na kupata msosi...
  4. H

    Mimba ya kwanza kwa mabinti ni sumu. Huwapiga 'knockout kabisa of life'

    Bila salamu hiyo.. Mabinti hubaki kuzurura tu baada ya kuzaa. No direction of life hubaki nyumbani tu kama Volunteer House girl. Hawa nazungumzia wale mabinti wanaomaliza la saba na kidato cha nne. Wanakuwa totally 'immersed' huvurugikiwa kabisa sana sana kuanzisha viujasiriamali vidogo...
  5. L

    Uchumi wa China wakua kwa asilimia 5.5 katika nusu ya kwanza ya mwaka huu

    Idara Kuu ya Takwimu ya China hivi karibuni ilitoa takwimu ambazo zinaonesha kuwa, pato la taifa la China katika nusu ya kwanza ya mwaka huu lilikuwa dola trilioni 8.27 za Kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 5.5 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho. Kwa kulinganishwa na...
  6. Goli la kwanza ndiyo huwa tamu kuliko magoli yote kwenye sex hayo mengine huwa ni mbwembwe tu

    Ndugu zangu hivi kuna goli tamu kama la kwanza? Sisi wanaume huwa tunaenjoy sana goli la kwanza baada ya hapo huwa tunajitutumua tu kuweka heshima. Vivyo hivyo kwa wanawake au nakosea dada zangu?
  7. SI KWELI Mwanamke akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza lazima atoke damu

    Tangu zamani nasikia stori za mwanamke akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza (kutolewa bikra kama wanavyoita) lazima atoke damu. Japo kumekuwa na baadhi ya wanawake wanasema hawakuwahi kutokwa damu, hii imekaaje? Je, ni kweli mwanamke akitolewa bikra lazima atoke damu? Na kama ndiyo hao wanaodai...
  8. F

    Shida ilivyonichochea kuwa mlafi wa kuisoma Biblia

    Shida haina adabu! Huo ni usemi ambao nilizoea kuusikia kwa wakubwa nilipokuwa mdogo. Lakini baada ya kuwa mtu mzima, nimebaini kuwa japo shida si nzuri, lakini wakati mwingine huweza kukusababisha kukutana na mambo mazuri. Miaka mingi imeshapita, lakini ningali nikikumbuka jinsi changamoto...
  9. Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

    Nimejikuta nawaza tu.... Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh. Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
  10. Tafuta kwanza kuelewa ndipo ulewe na kueleweka

    Elewa kwanza upendo ni nini Elewa kwanza akili ni nin Elewa kwanza ndoa ni ni Eewa kwanza mapenzi ni nini Elewa kwanza mwanaume ni nani Elewa kwanza mwanamke ni nani Elewa kwanza uchumii ni nini Elewa kwanza pesa ni nini Baada yahapo kula starehe Kwasababu utakua ujua unachokifanya
  11. Usiombe ukutane na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza

    Aisee ikitokea umekutana na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza wengi ni much know. Niko na dogo hapa kamaliza mwaka wa kwanza anasoma masuala ya security yani yeye kila kitu anasema anaweza hack iwe gmail, wi-fi, mitandoa ya simu atumie net bure, anakwambia gmail haiko secure, instagram anaweza...
  12. F

    Chanjo ya kwanza kabisa ya malaria inasambazwa Afrika. Nchi 12 za kwanza kupatiwa

    Kati ya nchi za kwanza kabisa ulimwenguni kupata chanjo hii ya malaria ya kwanza kabisa duniani ni Kenya, Rwanda na Burundi. Watanzania tusibaki nyuma katika hili. 18 million doses of first-ever malaria vaccine allocated to 12 African countries for 2023–2025: Gavi, WHO and UNICEF World Health...
  13. Kama mshindo wa kwanza ungekuwa unachukua saa nzima kukamilika wanaume si tungekuwa tanakufa kwa utamu jamani!

    Aisee nimejaribu kuwaza kwa sauti kuhusu hii kitu wanazengo. Duniani Hakuna kitu kinachompa mwanaume Raha Kama short ya kwanza wakati wa sex.Hapa ndo unaskiaga mwanaume anatoa ahadi ya kumnunulia mwanamke wake ndege wakati yeye mwenyewe hata baiskeli tu Hana😂 Kama mshindo wa kwanza Ni mfupi...
  14. Wanaume, ni kitu gani unavutiwa nacho unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza?

    Binafsi navutiwa na sauti nzuri laini.
  15. Ukiona mtu anapambana na Watumishi wa Mungu usibishane nae angalia amefanya nini kwanza

    Nimeona roho za kupinga Watumishi wa Mungu zikisambaa vyema kama unaweza watu wa aina hii usibishane nao we angalia wao wanapiga kelelee wamefanya nn juu ya Mungu Ukiona hamna kitu ujue basi we kazi yako nenda kapokee kile Mungu amekuandalia kwenye maisha yako na sio kuungana kushindana nao...
  16. Burna Boy awa msanii wa kwanza kutoka Afrika kujaza Uwanja Marekani

    Mshindi huyo wa Tuzo ya Grammy amefanikiwa kuweka rekodi hiyo kwa kuuza Tiketi zote 41,000 za onesho lake katika Uwanja wa Citi Field ulioko jijini New York, Marekani . Show hiyo ilihudhuriwa pia na Mastaa wakubwa kutoka Marekani wakiwemo Busta Rhymes, SZA, Jorja Smith na rapa Santan Dave...
  17. Kwa mara ya kwanza Dar, nashuhudia ukungu

    Aisee nimekumbuka nyumbani kwetu, hali ya ukungu ni kawaida. Leo ni mara yangu ya kwanza kushuhudia ukungu Dar yenu
  18. Rikkie Valerie awa mwanaume wa kwanza kuwa Miss Uholanzi 2023

    Huyu ndiye Miss Netherland kwa mwaka 2023 anaitwa Rikkie Valerie ambaye inasemekana ni mwanaume aliyejibadilisha jinsia.
  19. Je, ni mwanamke yupi alikuwa mke wa kwanza wa Adam kati ya Eva ama Lilith?

    Naomba kufahamu, kati ya Lilith na Eva ama Hawa ni nani alikua mke wa kwanza wa Adam. Biblia inasema Eva ndio mke wa Adam pekee na kwamba ametoka kwenye ubavu wake lakini vitabu vya kiyahudi vinasema Lilith ndio alikua mke wa kwanza wa Adam kabla hawajagombana na Adam kuachana. Kwa msingi huo...
  20. F

    Rais wa kwanza shoga kutoka Ulaya aapishwa huko Latvia

    Kweli jamii zetu hutofautiana sana kimtizamo. Je tunaelekea huku na sisi siku moja? Huyo anaitwa Edgar Rinkevics, ametumikia muda mrefu (tangu 2011) kama waziri wa mambo ya nje wa Latvia huko Ulaya Mashariki. Umoja wa Ulaya umewahi kuwa na viongozi mashoga wa serikali lakini sio kiongozi mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…