UZURI WA MWANAMKE HUWEZI KUUONA SIKU YA KWANZA, MACHO HUDANGANYA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sisi wanaume kisaikolojia tunapomuona Mwanamke Kwa mara ya Kwanza, macho yetu hutuonyesha kama tumeona kiumbe kizuri. Hii ni Kwa sababu wanaume kiasili katika Akili zetu tumezaliwa tukijua...