kuzuia

Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, or simply KMKM SC is a football club from Zanzibar based in Unguja.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Hili la kuzuia adhabu ya viboko mashuleni ni kinyume cha katiba, Waziri wa elimu ajiuzulu haraka

    Katiba ya nchi inatambua uwepo wa Mungu Na Kwa kuwa Mungu ameamrisha katika Katba yake( NENO) kuwa fimbo itumike Kwa mtoto ili kumuepusha na ujinga uliofungwa ndani yake na kumuepusha na shimo la mauti na ndio sababu zilitungwa kanuni kuruhusu fimbo mashuleni. Sasa hili la kufutwa adhabu...
  2. Tlaatlaah

    Athari za kijamii, kisiasa na kiuchumi za kuhamasisha uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi na kusababisha maafa zitatumika kutoa kuhukumuN6.

    Ni wazi msingi wa hukumu ya kihistoria katika taifa letu, utazingatia zaidi ukweli wa athari mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi zilizosababishwa na mipango fichi ovu, yenye nia na dhamira ovu iliyochochewa na kuhamasishwa na chama cha siasa husika kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia na...
  3. O

    Mombasa: Mama Akamatwa kwa Kuzuia Mtoto Kufanya Mtihani wa KPSEA kwa Sababu ya Namba 666

    Mama mmoja katika eneo la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, amekamatwa na polisi kwa madai ya kumzuia mtoto wake kufanya mtihani wa kitaifa wa Kenya Primary School Education Assessment (KPSEA) baada ya kupewa namba ya mtihani 666, ambayo alidai inahusishwa na Shetani. Kwa mujibu wa taarifa...
  4. Design Your Idea

    Jinsi zimwi la mapenzi kinyume na maumbile linavyo act kila hatua ya maisha yako

    SIHITAJI SADAKA YAKO, MIMI SIO NABII, SIKUFUNDISHI UAMINI NINI, ILA NATAKA UJUE UKWELI Utazaliwa na kuitambua njia moja ya kutaka kupata tendo, ambayo ni kwenye uke. Itafika hatua ambapo unakuwa mtazamaji wa pornograph, ambapo utaona "pleasure mpya" katika sehemu ya aja kubwa ya mwanamke, ile...
  5. Yoda

    Serikali itunge Sheria ya kuzuia watoto chini ya miaka 18 kutumia mitandao ya kijamii

    Watoto hasa wa kike wa mikoa ya Pwani wanaharibiwa sana na mitandao ya kijamii, ni wakati sasa wa serikali kutunga Sheria ya kupiga marufuku kutumia mitandao ya kijamii watoto wenye umri wa miaka chini ya 18. Uingereza tayari wameptisha Sheria ya kuzuia matumizi ya mitandao kwa watoto walio...
  6. Trubarg

    Maagizo ya kuzuia biashara holela je wilaya ya Ubungo ipo excluded?

    Kile kinachoendelea cha usafi na kuzuia biashara katika maeneo Yasiyo ramsi kinachonekana ikifanyika katika wilaya zingine huku wilaya ya Ubungo Mambo yakiendelea opposite. Katika wilaya ya Ubungo machinga na Vibanda holela vimekuwa kama ni sehemu ya utamaduni na uongezekaji wake Kwa Kasi...
  7. Think2

    Fanya hivi kuzuia kutapika unapokuwa kwenye basi

    Kuna baadhi ya ndugu zetu hawawezi kuhimili safari nzima bila kuchafua hali ya hewa kutapika safari (to vomit). Kama unashida kama hii nakupa mambo haya utachagua utumie njia gani kujizuia kutapika kwenye basi au usafiri 1-kabla hujaingia kwenye basi au usafiri lamba tairi la gari hutoweza...
  8. M

    AI yafika Polisi, wagoma kubaki nyuma kiteknolojia. wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji wao, Misime

    AI yafika Polisi, wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji Misime Hapo awali walitoa tangazo la kukanusha posta ya kugushi iliyokuwa ikisema Msemaji wao Kafariki.
  9. H

    Tetesi: Lissu atahukumiwa kifo. Maandalizi ya serikali yanayoitwa elinino yamelenga kuja kuzuia Vurugu baada ya ukumu

    Za ndani kabisa. Mitiani imewahishwa yote, kisha serikali ikatenga billion 700 kwa kile inachokiita elinino. Ila ukweli ni kuwa Ama Lissu atafia jela kabla ya hukumu yatehe 6 November au Akina kabudi watalazimika kuandika hukumu ya kumnyonga. Majamaa ya Zimbabwe hayataki kabisa kumuona lissu...
  10. Huihui2

    Wakenya waenda mahakamani kuzuia mradi wa kusafisha mafuta wa Dangote

    Zaidi ya wakazi 130 wa Chandavai, Kaunti ya Lamu nchini Kenya, wamefungua kesi mahakamani wakitaka kusimamishwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Aliko Dangote, kwa kile wanachoeleza kuwa ni kuharibiwa kwa ardhi ambayo familia zao zimeishi kwa vizazi kadhaa. Wakazi hao wanadai kuwa...
  11. O

    Kenya imechaguliwa kutengeneza kidonge kipya cha kuzuia HIV

    Kenya imechaguliwa kuwa miongoni mwa nchi tatu za Afrika zitakazohusika katika utengenezaji wa alimatravir, kidonge kipya kinacholenga kuzuia maambukizi ya HIV na kinachotarajiwa kutumiwa mara moja kwa mwezi. Kidonge hicho kitatengenezwa nchini na kampuni ya Universal Corporation, chini ya...
  12. Waufukweni

    Makonda: Maandamano kuzuia AFCON? Hayatakuwepo, Mtanzania anataka Amani!

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amepuuza taarifa na uvumi unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa maandamano ya kuzuia michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), akisisitiza kuwa hakuna maandamano yoyote na kwamba...
  13. M

    Msigwa: Kama Bilioni 730 zilizotengwa kukabiliana na madhara ya elnino zisipotosha tutaongeza

    Mwendeshaji Kipindi: Eh sasa hivi kwenye siku za hivi karibuni taarifa kubwa imekuwa ni El Niño, El Niño, El Niño. Lakini pia Mheshimiwa Rais alisisitiza mara kadhaa na hata juzi akiwa anawaapisha Wakuu wa Mikoa hapa aligusia pia hilo kwamba wananchi waendelee kupewa elimu. Mamlaka tofauti...
  14. O

    Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  15. lord atkin

    Kuzuia No Reforms No Election tubadilishe sheria tuwe kama Singapore?

    Nchini Singapore kwa mujibu wa sheria kupiga kura ni lazima. Kila mwananchi ana jukumu la kupiga kura na mwananchi ambaye hatashiriki kupiga kura bila sababu ya msingi kama vile ugonjwa au kuwa nje ya nchi jina lake linaondolewa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Ili kulirudisha jina...
  16. K

    Muhula wa Mwisho!Tujiulize kwanini Mama anapigana sana kuzuia katiba

    Muhula wa Mwisho!Tujiulize kwanini Mama anapigana sana kuzuia katiba. Ni kwasababu wakina Kikwete wanataka waweke watoto zao, yeye aweke mtombah wake ambaye ni waziri kwenye uongozi wa nchi akiondoka. Yaani sasa wamejisahau na kuona nchi kama ni yao na ubaya zaidi vyombo vya usalama vyote...
  17. Ponjoro wa Kinondoni

    Nataka kufungua kiwanda cha Condom, vikinga Ukimwi+STDs na dawa za kuzuia harufu mbaya kwenye papuchi

    Bidhaa nitakazo zalisha kiwandani ni 1. Condom (bei ya jumla 500/= condom 3) 2. Mafuta ambayo unayapaka kwenye mkuyenge kabla hujamla mtoto ukishapaka unakula kavu kavu na hupati maambukizi ya HIV wala STDs zote. (bei ya jumla ni 8000/= 3. Tiba ya kuzuia harufu kwa wadada maana sikuhizi kati ya...
  18. O

    2027 Inakaribia, Lakini Je, Kenya Iko Tayari Kuzuia Siasa za Chuki?

    Huku Kenya ikielekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, wasiwasi kuhusu ongezeko la matamshi ya chuki na uchochezi wa kisiasa unaendelea kuongezeka, huku viongozi kadhaa wakikabiliwa na uchunguzi na hatua za kisheria. Tukio la hivi karibuni linamhusu MCA wa Kuteuliwa wa Makueni, Urbanus...
  19. Fbn

    TISS siku ikishafikia steji hii muwezi kuzuia huyu mnaye mshikilia ?.

    Kashaona anataka wafuwasi.Alicho fanya umri wake na mafundisho na mambo yake anahisi kufanya hivi kutampa kufika 2030. Kuna mambo yatageuka kesho mje kusema tuliona wakati mlikuwepo. Hivi kwa nini afrika nchi nyingi mnasubiri mpaka moto ushamaliza kila kitu ndio mnaona kunaitaji kuzima moto.
  20. K

    CCM mkipigana kuzuia upinzani ipo siku IGP atakuwa na nguvu kuliko mwenyekiti wenu!

    Mnaweza kufanya jitihada za kuzuia upinzani kwa kila njia ili tu wasipate wawakilishi ingiwa wanakubaliwa lakini mjiulize je mpo tayari chama chenu kikategemea kupata maagizo kutoka kwa IGP. Maana itafika sehemu mtakuwa mnategemea Polisi kwa kila kitu na IGP atagundua ana nguvu kuliko hata...
Back
Top Bottom