kuvunja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    Serikali saidia Simba kuvunja ndoa yake na familia ya Dewji

    Familia ya Dewji imeing'ang'ania timu ya Simba kama ruba. Ni jina hilohilo miaka nenda rudi kwanini? Inahonga kila mtu kila kundi ndani ya Simba dhidi ya kila mtu anaeonekana kutaka mabadiliko ndani ya Simba. https://www.youtube.com/live/qRWXxpl8KvE?si=Aw7wneVxmHK45JP9
  2. Q

    Zanzibar kuvunja nyumba zote za umma za zamani na kuzijenga upya. Sisi tuendelee kutekana

    Watanganyika tuendelee kutekana na kufungana, akitokea mwingine kutetea maliasili zetu afungwe tu, machawa nao waendelee kushangilia na kutetea hilo. ==========/========= The Zanzibar Government plans to demolish and rebuild all public housing estates constructed in the years following the 1964...
  3. F

    Je ni rahisi watoto na wajukuu kuvunja ndoa ya wazazi waliokwisha kufa zamani(Tanganyika na Zanzibar)?

    Wazazi walifunga ndoa wakamaliza, na wamefariki wakiwa ndani ya ndoa. Sasa watoto na vijukuu baada ya kusoma wosia wa marehemu Babu na bibi zao waliokwisha kufa, hawaridhiki na mirathi, Sasa wameamua kuomba ndoa ivunjwe, Watoto hawa wamejaribu muda Sasa kuhoji ilipo hatia ya ndoa ili watafute...
  4. Z

    Unaanzaje eti kufanya maridhano na chama ambacho kucha kutwa kina panga mikakati ya kuvunja amani ya Nchi?!!

    Hata kama ndio kilikuwa chama kikuu cha upinzani Chadema, lakini kwa mwenendo wake wa kichochezi inapoteza uhalali na sifa ya kufanya maridhiano. Haitakiwi kufanya maridhiano na genge la wahuni/ wahalifu magaidi wahaini. Tunaomba msajili wa vyama akifute mara moja chama cha Chadema kwamaslahi ya...
  5. radhiya

    Eneo Lenye nyumba ya Kuvunja Linauzwa Ubungo Kibangu

    Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Ubungo Kibangu. Eneo liko mita 100 kutoka barabara ya mandela, mita 2 kutoka barabara ya Makoka. Nyumba iliyoko ndani ya eneo ina vyumba 26, mbele ina fremu 4 za biashara. Ukubwa wa Eneo: SQM 626. Bei: Tzs 450M. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka...
  6. Ushimen

    Nimeamua kuvunja haya mahusiano

    Wakuu.... Ushauri wenu numeupokea na nikaamua nisiendele kulewa maana najiumiza. Nimerudi geto nikakikuta kile kitoto kilicho nisevu eti "mubaba wangu"..... Nimekaita nikakaambia kwamba sikutaki na nimeamua tuachane. Ghafla kimeanza kulia na kulalamika eti.... kuanzia sasa hatokaa amuamini...
  7. BIOTOXINS

    USHAURI WA KISHERIA: KWA NINI MKUU WA GEREZA LA UKONGA ANAPASWA KUFUNGULIWA MASHTAKA KWA KUVUNJA KATIBA NA KANUNI ZA NCHI

    Leo, Oktoba 16, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kulwa Maduhu, Nashon Nkung'u, na Paul Kisabo). Mahakama imebainisha wazi kuwa vitendo vya uongozi na maafisa wa...
  8. K

    Msishangie kila kitu wana CCM . Kuna mpango wa kuvunja mihula kunufaisha wachache. Woga wenu mtaishia pabaya

    Sio kila kitu cha kushangilia wapambe wa Mama wale wale walio mwondoa Nchimbi sasa wameanza taratibu za kutaka kumuongezea muda baada ya 2030. Kwa ufupi wanachama wote wa CCM sasa hawana nguvu hata ya kuongea wamekuwa machawa tu. Kitakachotokea kwaababu ni kwamba humo humo watamaliza Mama na...
  9. M

    Wababa na Wamama wa Kimachame mnachangia sana kuvunja ndoa za mabinti zenu kwa tamaa za mali

    Habari zenu, Kwanini kila siku mlaumiwe nyinyi tu wamama wa kimachame kwa kuhusika na vifo vya waume zenu??? Wababa wa kimachame wekeni utaratibu wa kurithisha mali mabinti zenu, sio mnawapa watoto wa kiume peke yao. Nyie kina baba huwa mna tabia ya kuwambia mabinti zenu kuwa kwenu hakuna...
  10. Zack Abdul

    Rais Dkt Samia aendelea kuvunja rekodi

    Rais Dkt Samia aendelea kuvunja rekodi ✅️Benki ya Dunia Yaeleza kuhusu mapato. ✅️BOT ikibainisha kununua dhahabu nyingi. ✅️Utendaji wa bandari.
  11. Zack Abdul

    Mbinu chafu za CHADEMA za kukoleza uchochezi na kuvunja sheria, halafu kukimbilia kulalama wanapobanwa na vyombo vya dola

    👉 Chadema wamekuwa bingwa wa kutumia mikutano ya hadhara kama majukwaa ya kupiga kelele, matusi na kuchochea uvunjifu wa amani badala ya kujenga hoja za kisera. 👉 Chama hiki kimejenga utamaduni wa kuamini kuwa viongozi wake hawatakiwi kuhojiwa au kuchunguzwa na vyombo vya dola pindi...
  12. M

    Kihasibu mwanamke anaelenga mali hawezi kufurahia mume kuugua asubiri afe. gharama za matibabu, jamii na ndugu vinaweza humfanya awahi kuomba talaka

    Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi: “Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.” Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
  13. radhiya

    Eneo Lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa Kinondoni Msisiri

    Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa. Eneo liko karibu na Mahakama ya Kinondoni na kanisa la kkkt Kinondoni. Eneo liko karibu na Shule ya Sekondari ya Kambangwa. Ukubwa wa Eneo: SQM 326. Bei: Tzs...
  14. M

    Form a confederation badala ya kuvunja Muungano

    Bado kuna mawazo ya Nyerere na ya Kambona kuhusu Muungano miongoni mwa viongozi wengi na watu wengine pamoja na securocrats. Nyerere mpaka mwisho wa maisha yake hakutaka kabisa kuvunja Muungano. Kambona, mara tu baada ya muungano kuundwa, alisema Wazanzibari hawataruhusiwa kuvunja muungano...
  15. Liverpool VPN

    Mnataka Tuoe? Sasa ili Raisi wa Chama cha Wakataa Ndoa nipeleke NEC muswada wa kuvunja Chama cha Wakataa Ndoa naomba haya yafanyike ....

    INTRODUCTION: Ndio ni mimi Raisi wa wakataa ndoa TZ na Africa kwa ujumla..!! Mmekuwa mkitupigia "Kelele" kuwa tuoe mkitoa sababu kibao na wengine mmeenda mbali mpaka kututukana. Tunasema ASANTE...!! MAIN BODY: Sasa ili tupate maridhiano kati ya Wakataa ndoa na Wapenda Ndoa NAOMBA HAYA...
  16. Brother Depo

    Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

    Marekani wameanza kushambulia Miundombinu ndani ya Iran. Hali ni mbaya sana, Iran imeshindwa kutoa upinzani wowote. Marekani wanajipiga popote wanapotaka bila presha. Kwa muda mrefu Trump alikua akitishia kuvunja Miundombinu, hatimaye ameanza na baadhi tu kama mfano kiwaonyesha Iran kuwa ana...
  17. T

    Mbona hao viongozi fake hawatupi uthibitisho wa watu kulipwa fedha, kuvunja amani, kukutwa na silaha

    Yaani CCM hadi leo hawataki kuamini kuwa watu sio wajinga tena kama walivyozoea kutufanya kuwa sisi ni wajinga tu. Inawezekanaje watu wamekamatwa na siraha, wanapewa fedha kila mwezi ili kuandamana, wana taarifa za waandamanaji kuzua vurugu na kuchoma vitu. Lakini hawaweki huo udhibitisho...
  18. figganigga

    CCM washangilia baada ya kuvunja kizimba cha CHADEMA

    Hizi ndo akili za CCM. Yaanni wenzao wanafanya mikutano, CCM wanamalizia hasira za kukataliwa kwenye vizimba. CCM wana roho ya Uharibifu. CCM imeshashindwa siasa, imebaki kuwa kikundi cha Maovu
  19. Carlos The Jackal

    Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.

    Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!. Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI . Zanzibar ni Alama...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Nani yupo nyuma ya vuguvugu la kuvunja Muungano

    Hamjambo! Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano. Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo? Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika? Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo...
Back
Top Bottom