kuuza

  1. Kuuza au kununua kitu chenye alama ya Bendera ya Taifa ni kosa kisheria, utafungwa miaka miwili

    Kuuzaau kununua vitu zikiwamo T-shirt, bangili, skafu, tai hadi vishikizo vya funguo, bidhaa zenye Bendera ya Tanzania ni kosa kisheria na unaweza kufungwa miaka miwili au faini ya Sh20,000 au vyote kwa pamoja. Kwa mujibu wa kifungu cha 6(1) cha Sheria ya Alama za Taifa, Sura ya 10, Toleo la...
  2. Biashara ya kuuza bando

    Naomba muongozo kuhusiana na biashara ya bando,,, 1.ipi n gharama na fuu kufunga 2.ipi Ina stable internet 3.kama Kuna njia nyingine ya kutuma kupitia simu
  3. wakuu nauza kiwanja Mwanza

    Nimeamua kuuza tena kiwanja changu kipo mwanza Buswelu kahama ukubwa 18 kwa 28....wahituwahi....0756038510
  4. Swali wizara ya ardhi na ujenzi uvamizi AU kuuza eneo la road reserve barabra ya Morogoro

    Naombeni hizi Wizara mbili zinijibu kwanini eneo la Road Reserve limevamiwa na Ujenzi wa Vituo vya mafuta na vitu vingine unaendelea?? Kama Magufuli aliwatoa hao watu kwanini sasa wanarudi kujenga ili badae mseme wa hati halali walipwe mpate dili au ni nini?? mfano kuna vituo vya mafuta...
  5. Wasiwasi wangu wa Utapeli juu ya Wanaopost na kuuza mikeka ya kubet mitandaoni (Tipsters)

    Hello Wadau Nimekuwa niki-bet mara kadhaa na pia kupitia mikeka ya Tipsters mbalimbali. Lakini wasiwasi wangu mkubwa ni juu ya hili wimbi kubwa la Tipsters mitandaoni wanaozidi kuongezeka wengine wakiwa hao wachambuzi wa soka. Nilichogundua hawa Tipsters wengi wanaingia mikataba na kampuni za...
  6. O

    Rais William Ruto Atangaza Mpango wa Kenya Kuanza Kuuza Mafuta ya Turkana Nje ya Nchi Desemba 2026

    Rais William Ruto ametangaza kuwa Kenya inalenga kuanza kusafirisha mafuta ghafi kutoka Kaunti ya Turkana kwenda katika masoko ya kimataifa ifikapo Desemba 2026, baada ya miaka 14 tangu mafuta hayo kugunduliwa. Akizungumza Jumanne, Oktoba 20, 2026, wakati wa sherehe za Mashujaa Day katika...
  7. A

    KERO Hivi wafanyabiashara wa barabarani hawawezi kuuza bila kufungulia sauti ya spika juu?

    Naishi Mbagala, na nina dukuduku pamoja na maoni binafsi ambayo ningependa yawafikie wananchi wenzangu na mamlaka husika, ili ikiwezekana hatua zichukuliwe na marekebisho yafanyike. Kumekuwa na tabia ya wafanyabiashara, hasa wale walio pembezoni mwa barabara, kutumia redio zenye matangazo ya...
  8. Serikali Haramu yashirikiana na RC Arusha /DC na DED Ngorongoro na wamiliki wa Sheli Kuuza Petroli Elfu Sita kwa Lita kuwakomoa Wamasai !

    Wakuu, hii ni aibu na inayotia Kinyaa!!. Jamaa yangu huyu aliyepo Makao makuu ya Ngorongoro , ananipigia simu kumielezea adha wanayopitia huko Porini kwao kwa karibu mwezi mzima sasa !. Petroli ianuzwa Elfu Sita kwa Lita, huku Chama cha Mapinduzi (CCM) , Mwenyekiti wake wa Wilaya, DED, DC na...
  9. T

    Baada ya Serikali kuanzisha Sewage Treatment Plant kila jiji nimeamua kuuza magari yangu!

    Watanzania Tunapenda maendeleo bwana. Baada ya Serikali kuanzisha Sewage Treatment Plant kila jiji nimeamua kuuza magari yangu ya maji taka! Tena kwa bei chee kabisa... Unakatibishwa inbox
  10. A

    DOKEZO Malalamiko kuhusu nyumba za walimu zinazodaiwa kuuzwa katika Shule ya Mahenge, Ulanga

    Wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Morogoro, nilibahatika kufika katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, ambako nilikutana na jambo lililonishangaza sana. Kuna shule iliyopo mjini Mahenge ambayo ndani ya eneo lake kuna wananchi wanaoishi katika baadhi ya majengo yanayodaiwa kuwa...
  11. Tunatengeneza aina zote za Laptop na kuuza spare

    Tunatengeneza aina zote za Laptop Tunauza spare aina zote za Laptop Tipo ilala - Dsm 0666761542
  12. R

    Apedomia, Unyani wa kuuza Tanganyika kwa Tende na Harua. RIP MCH. MTIKILA

    Tujikumbishe. Akina Kabudi, et al ambao ni watanganyika, TANGANYIKA inauzwa na wazanzibari. Kabudi and Co. Ltd wanafurahi kwa vile wanapata Tende na Harua! Nakililia Tanganyika yangu RIP Mchungaji Mtikila
  13. Watu wanafanya Money Laundering nyie mnakazana na story za kuuza UTU, Migongo, Mara Kafara Pesa ziko nyingi sana mtaani na hawajui wapi pakuzipeleka

    Hakuna mtu atasponsor lifestyle ya gharama kubwa hivyo kwasababu ya sex ya namna yoyote, ila wanapenda mfikiri hivyo. Mjini hela iko nyingi sana na inaonekana wameirudisha baada ya kuona hakuna maandamano, kwa hiyo harakati zao zitakwenda fresh. Siwezi directly kusema inatokana na mitikasi ya...
  14. Kafulila na PPP yake walete viwanda binafasi vya kuuza maji kutoa huduma ya maji majumbani kwa PPP.

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana, unakuta sehemu nyingi zenye viwanda vya maji vinavyouza maji ya chupa nchi nzima raia wanaozunguka hivyo viwanda hawana maji safi laini ya bomba hata ya kunywa na kupikia tu. Sasa kwa sababu viwanda vya maji vya akina Azam, Kilimanjaro, GSM, Hill Water na vingine...
  15. Natafuta mtu wa kuuza bidhaa za forever

    Habarini, nimejiunga na forever living, na sasa ni manager, ila mda wa kufanya hizi biashara mm sina. Nlijiunga kwa ajili ya matumizi yangu tu. Ila naona kama kuna fursa ya kupiga hela. Natafuta mtu mwenye uzoefu na biashara ya networking.
  16. S

    Migogoro ya ardhi; Laiti siku mimi fundi samico nikiwa kiongozi wenyeviti na watendaji wa mtaa watanyooka, Huwezi kuuza eneo lenye mgogoro

    Leo naomba kusema machache kuhusu migogoro ya ardhi; Hili nalisema wazi kabisa na nitaeleza kwa ufupi! Miongoni mwa watu wanaochangia migogoro ya ardhi tanzania ni hawa; 1. Wenyeviti wa mitaa 2. Baadhi ya watendaji wakishirikiana na wajumbe wa mitaa 3. Baadhi ya watumishi wahuni wa mamlaka...
  17. Biashara ya kuuza bidhaa za kidigital kupitia whatapp

    Wakuu naombeni maoni, biashara niliokua nimeeinza Sina uzoefu nayo vizuri. Hivyo nimeamua kurudi kwenye biashara ambayo nilishawahi kuifanya ila Sasa nataka niifanyie online kupitia whatsapp. Hivyo wakuu naombeni ushuhuda mliowahi kufanya biashara za bidhaa za kidigital mfano movie, mikeka...
  18. Tangazo la Nafasi Ya Kazi - Kuuza Hardware

    Tafadhali Soma Kipeprushi na uombe kama una vigezi vilivyoainishwa.
  19. Tunatengeneza MacBook aina zote na Accessories

    Tunatengeneza aina zote za Macbook Tunauza Accessories macbook kama.. Battery Chargers Keyboard Screen Hdd connectors Ssd Ram memory Softwares Mac os Tupo ilala - Dsm 0666761542
  20. Jee Serikali Yaweza Kufungua Shirika la Kuuza Bangi na Mirungi Kwavile Wao wana Kinga? Mbona Inatoa Hadharani Taarifa Binafsi Bila Kibali cha Mahakama

    Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo? Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa? Hizi njia za mkato bila kujali sheria jee tutashangaa siku ikitokea serikali ikifungua Maduka ya kuuza mihandarati, Bange...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…