kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JIFUNZE KUTENGENEZA NA KU-EDIT VIDEO ZAKO MWENYEWE KWA KUTUMIA CAPCUT!

    Unataka kuwa Content Creator, lakini bado unategemea watu wengine kukufanyia video editing? Ni wakati wa kujifunza ujuzi huu muhimu. Kupitia CapCut unaweza kujifunza: ✅ Ku-edit video kitaalamu. ✅ Kuongeza subtitles na captions. ✅ Kuweka transitions na effects. ✅ Kuongeza muziki na sound...
  2. Kama unataka kuwa content creator, jifunze kutumia AI, ujuzi wako unaweza kukufungulia milango mingi

    Fikiria kampuni inatangaza nafasi ya kazi: SOCIAL MEDIA CONTENT CREATOR ANAHITAJIKA! Unaona tangazo. Unaangalia vigezo, unagundua huna uzoefu mkubwa, huna connections na hujawahi kufanya kazi kwenye kampuni kubwa. Lakini unaamua kutuma maombi.Kwenye CV yako unaandika kwamba una uwezo wa...
  3. Kupandisha wanyama kwa chupa(AI) ni bora kuliko kutumia dume halisi?

    AI ni kifupi cha artificial insemination, yaani upandishaji wa jike kwa mbegu za dume zilizohifadhiwa, bila dume kumpanda jike moja kwa moja. Wafugaji wengi huuliza kama njia hii ni bora kuliko kutumia dume halisi. Jibu ni kwamba inategemea aina ya ufugaji na hali ya mfugaji. Faida kubwa ya AI...
  4. kwanini watu wengi hawaipendi JF

    Je ni uvivu wa kusoma au ni spana maana miaka ya nyuma nili wafundisha baadhi ya watu kwa wakati tofauti tofauti jinsi ya kutumia Jf na kuwafungulia ID ila baada ya muda wakakimbia sikujua sababu hasa ni nini
  5. Sababu 5 za content creator kutumia CAPCUT PRO

    Katika ulimwengu wa digital, kuwa na content nzuri pekee haitoshi. Namna unavyoiwasilisha ndiyo inayoweza kumfanya mtu asimame kuitazama au aendelee kuscroll. Leo, video zimekuwa nyenzo muhimu katika kujenga personal brand, kutangaza biashara na kufikisha ujumbe kwa hadhira. Hata hivyo, ubora...
  6. M

    Hata hali ya nchi iwe mbaya kiasi gani, kamwe msiwaze kujikomboa kwa kuomba msaada kwa Watutsi. Mtaingia kwenye mtego usio na mlango wa kutokea!

    Najua huyo aliyeposti hana ubavu wa kufanya chochote zaidi ya kuwa shujaa wa nyuma ya keyboard (keyboard warrior), lakini bado mawazo haya si ya kubeza. Hata nchi ikija kutawaliwa na viongozi wa kiimla kama Mobutu Sese Seko, msithubutu kufanya maamuzi ya kuomba msaada kwa Watutsi. Watu hawa...
  7. Diplomasia ya Kiuchumi kuongeza tija: Wizara yatakiwa kutumia fursa za nje kukuza uchumi wa Taifa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia kikamilifu uhusiano mzuri wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani kuvutia uwekezaji, kuendeleza rasilimali za nchi zilizopo nje ya mipaka na kuongeza mapato ya Taifa kupitia miradi ya kiuchumi. Hatua hiyo inalenga...
  8. Watu wajingajinga kama Nnape Nauye, wanajaribu Kumbagaza na kutumia TUNDU LISSU, ili wateuliwe Tena, Kwahiyo Nape Ulikua wapi wakati wote wa Kesi?

    Wajinga mna kazi sana, yaan muda wote wa kesi ya Lissu, hukuwahi hata kufunua Domk lako, Leo baada ya Lissu kufungwa Kisiasa , unalipa Media, ikualike ,ujifanye unaongea ongea, ili Yule mjinga wa ELIMU mbalimbali Aliyeua Watanzania Oktoba 29, akuone?. Kwa upande mwingine, unaamini Wewe na Genge...
  9. R

    Iran imeshambulia vituo vya meta kwa kutumia silaha za kielectronic

    Habari mpya kabisa.... Iran imeshambulia vituo vya meta vya Elon musk kwa kisingizio vinatumika kijeshi katika kuwarahisishia marekani na Israel katika kuhujumu nchi yao. Kama ninavyoongea hapa, Facebook haipatikani duniani na baadhi ya huduma za meta Ni yapi maoni yako na ni wapi tunaelekea...
  10. R

    Iran imeshambulia vituo vya meta kwa kutumia silaha za kielectronic

    Habari mpya kabisa.... Iran imeshambulia vituo vya meta vya Elon musk kwa kisingizio vinatumika kijeshi katika kuwarahisishia marekani na Israel katika kuhujumu nchi yao. Kama ninavyoongea hapa, Facebook haipatikani duniani na baadhi ya huduma za meta Ni yapi maoni yako na ni wapi tunaelekea...
  11. MWAUWASA yasema Mteja anaweza kuomba huduma ya kuunganishiwa maji kwa njia ya Kidigitali, si lazima afike ofisini

    Baada ya Mdau kuandika hoja akieleza ~ MWAUWASA na urasimu unaofikia kiwango cha juu, ufafanuzi umetolewa kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA). MWAUWASA: Kuhusu suala la maunganisho mapya ya huduma ya maji, kwa sasa Mamlaka imeboresha zaidi na Mteja anaomba...
  12. O

    Kenya: Kesi Mahakamani Kupinga Serikali Kutumia Fedha za Umma Kuandaa Mechi ya Bayern Munich na Ajax

    Wakenya sita wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu wakitaka serikali izuiwe kutumia fedha za umma kufadhili mechi ya kirafiki kati ya Bayern Munich ya Ujerumani na Ajax ya Uholanzi inayotarajiwa kufanyika Januari 5, 2027, katika Uwanja wa Raila Odinga International Stadium. Katika ombi lao la...
  13. Mikoa yote kutumia mfumo wa e-Ardhi ifikapo Juni 2027

    Na Mwandishi Wetu Serikali imepanga kuhakikisha mikoa yote nchini inatumia mfumo wa kidijitali wa usimamizi na umilikishaji wa ardhi, e-Ardhi, ifikapo Juni 2027. Hatua hiyo inayolenga kurahisisha upatikanaji wa hati za ardhi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Katibu Mkuu wa Wizara...
  14. PostGE2025 Kuelekea Oktoba 29, 2026: Bila VPN JamiiForums.com haifunguki!

    Nimehangaika Sana kuingia JF usiku huu, lakini baada ya ku connect li VPN la Kimakonde, wazungu hawa.... Usifute VPN kibindoni mwako
  15. BIASHARA YAKO, SULUHISHO LETU!

    🚀 BIASHARA YAKO, SULUHISHO LETU! Boresha usimamizi wa biashara yako kwa mifumo ya kisasa, rahisi kutumia na inayokupa matokeo. ✅ Punguza kazi za mikono na matumizi ya daftari. ✅ Achana na usumbufu wa Excel. ✅ Rahisisha mauzo, stock, hesabu na ripoti. ✅ Pata suluhisho kulingana na mahitaji ya...
  16. Serikali itunge Sheria ya kuzuia watoto chini ya miaka 18 kutumia mitandao ya kijamii

    Watoto hasa wa kike wa mikoa ya Pwani wanaharibiwa sana na mitandao ya kijamii, ni wakati sasa wa serikali kutunga Sheria ya kupiga marufuku kutumia mitandao ya kijamii watoto wenye umri wa miaka chini ya 18. Uingereza tayari wameptisha Sheria ya kuzuia matumizi ya mitandao kwa watoto walio...
  17. Jinsi ya kubadilisha picha kuwa video kwa kutumia Gemini AI pro

    Sasa unaweza kutengeneza video mbalimbali za Ai kwa ajili ya matangazo na kurahisisha kazi zako kwa sj. 15,000 tu Whatsapp 0693880325 #GeminiAIPro #ArtificialIntelligence #AIVideoCreation #DigitalMarketing #ContentCreation #AITanzania
  18. Namna ya kuongeza mvuto na kipato kwa kutumia karafuu, mchele na sarafu ya 500

    Huu ni mchanganyiko mwepesi hata wewe unaweza ukafanya na ukaona mabadiriko. Chukua karafuu, mchele kidogo punje kadhaa changanya na sarafu ya 500 ili uweze kuongeza mvuto wa kibiashara, kuongeza thamani yako na kuongeza kioato chako. Njia ya kwanza, chukua karafuu , changanya na mchele...
  19. Watanzania tulitegemea tusikie uchaguzi wa Rais mpya wa TLS sasa mbona kimya, sasa tutafanyaje uchunguzi wa tuhuma wakati mhusika bado yupo ofisini?

    Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS. Matukio ya Rais wa...
  20. CDM mkiendelea kutumia jeshi la mtu mmoja hakika mtaanguka asubuhi na mapema.

    Heshima sana wanajamvi. Tanzania ni kati ya nchi kubwa Barani Afrika.Ukubwa wa Tanzania ni 947,303 Sq Km. Ukizichukua Kenya,Uganda,Rwanda & Butundi kwa pamoja bado hazijafikia ukubwa wa Tanzania. CDM pamoja na kuwa na muundo mzuri wa kiuongozi yaani Kanda,Mkoa,Wilaya na Kata bado inategemea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…