kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mifugo Planet

    Kupandisha wanyama kwa chupa(AI) ni bora kuliko kutumia dume halisi?

    AI ni kifupi cha artificial insemination, yaani upandishaji wa jike kwa mbegu za dume zilizohifadhiwa, bila dume kumpanda jike moja kwa moja. Wafugaji wengi huuliza kama njia hii ni bora kuliko kutumia dume halisi. Jibu ni kwamba inategemea aina ya ufugaji na hali ya mfugaji. Faida kubwa ya AI...
  2. Red black

    kwanini watu wengi hawaipendi JF

    Je ni uvivu wa kusoma au ni spana maana miaka ya nyuma nili wafundisha baadhi ya watu kwa wakati tofauti tofauti jinsi ya kutumia Jf na kuwafungulia ID ila baada ya muda wakakimbia sikujua sababu hasa ni nini
  3. youngkato

    Sababu 5 za content creator kutumia CAPCUT PRO

    Katika ulimwengu wa digital, kuwa na content nzuri pekee haitoshi. Namna unavyoiwasilisha ndiyo inayoweza kumfanya mtu asimame kuitazama au aendelee kuscroll. Leo, video zimekuwa nyenzo muhimu katika kujenga personal brand, kutangaza biashara na kufikisha ujumbe kwa hadhira. Hata hivyo, ubora...
  4. M

    Hata hali ya nchi iwe mbaya kiasi gani, kamwe msiwaze kujikomboa kwa kuomba msaada kwa Watutsi. Mtaingia kwenye mtego usio na mlango wa kutokea!

    Najua huyo aliyeposti hana ubavu wa kufanya chochote zaidi ya kuwa shujaa wa nyuma ya keyboard (keyboard warrior), lakini bado mawazo haya si ya kubeza. Hata nchi ikija kutawaliwa na viongozi wa kiimla kama Mobutu Sese Seko, msithubutu kufanya maamuzi ya kuomba msaada kwa Watutsi. Watu hawa...
  5. Roving Journalist

    Diplomasia ya Kiuchumi kuongeza tija: Wizara yatakiwa kutumia fursa za nje kukuza uchumi wa Taifa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia kikamilifu uhusiano mzuri wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani kuvutia uwekezaji, kuendeleza rasilimali za nchi zilizopo nje ya mipaka na kuongeza mapato ya Taifa kupitia miradi ya kiuchumi. Hatua hiyo inalenga...
  6. Carlos The Jackal

    Watu wajingajinga kama Nnape Nauye, wanajaribu Kumbagaza na kutumia TUNDU LISSU, ili wateuliwe Tena, Kwahiyo Nape Ulikua wapi wakati wote wa Kesi?

    Wajinga mna kazi sana, yaan muda wote wa kesi ya Lissu, hukuwahi hata kufunua Domk lako, Leo baada ya Lissu kufungwa Kisiasa , unalipa Media, ikualike ,ujifanye unaongea ongea, ili Yule mjinga wa ELIMU mbalimbali Aliyeua Watanzania Oktoba 29, akuone?. Kwa upande mwingine, unaamini Wewe na Genge...
  7. R

    Iran imeshambulia vituo vya meta kwa kutumia silaha za kielectronic

    Habari mpya kabisa.... Iran imeshambulia vituo vya meta vya Elon musk kwa kisingizio vinatumika kijeshi katika kuwarahisishia marekani na Israel katika kuhujumu nchi yao. Kama ninavyoongea hapa, Facebook haipatikani duniani na baadhi ya huduma za meta Ni yapi maoni yako na ni wapi tunaelekea...
  8. R

    Iran imeshambulia vituo vya meta kwa kutumia silaha za kielectronic

    Habari mpya kabisa.... Iran imeshambulia vituo vya meta vya Elon musk kwa kisingizio vinatumika kijeshi katika kuwarahisishia marekani na Israel katika kuhujumu nchi yao. Kama ninavyoongea hapa, Facebook haipatikani duniani na baadhi ya huduma za meta Ni yapi maoni yako na ni wapi tunaelekea...
  9. Roving Journalist

    MWAUWASA yasema Mteja anaweza kuomba huduma ya kuunganishiwa maji kwa njia ya Kidigitali, si lazima afike ofisini

    Baada ya Mdau kuandika hoja akieleza ~ MWAUWASA na urasimu unaofikia kiwango cha juu, ufafanuzi umetolewa kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA). MWAUWASA: Kuhusu suala la maunganisho mapya ya huduma ya maji, kwa sasa Mamlaka imeboresha zaidi na Mteja anaomba...
  10. O

    Kenya: Kesi Mahakamani Kupinga Serikali Kutumia Fedha za Umma Kuandaa Mechi ya Bayern Munich na Ajax

    Wakenya sita wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu wakitaka serikali izuiwe kutumia fedha za umma kufadhili mechi ya kirafiki kati ya Bayern Munich ya Ujerumani na Ajax ya Uholanzi inayotarajiwa kufanyika Januari 5, 2027, katika Uwanja wa Raila Odinga International Stadium. Katika ombi lao la...
  11. Zack Abdul

    Mikoa yote kutumia mfumo wa e-Ardhi ifikapo Juni 2027

    Na Mwandishi Wetu Serikali imepanga kuhakikisha mikoa yote nchini inatumia mfumo wa kidijitali wa usimamizi na umilikishaji wa ardhi, e-Ardhi, ifikapo Juni 2027. Hatua hiyo inayolenga kurahisisha upatikanaji wa hati za ardhi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Katibu Mkuu wa Wizara...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    PostGE2025 Kuelekea Oktoba 29, 2026: Bila VPN JamiiForums.com haifunguki!

    Nimehangaika Sana kuingia JF usiku huu, lakini baada ya ku connect li VPN la Kimakonde, wazungu hawa.... Usifute VPN kibindoni mwako
  13. kingphisher

    BIASHARA YAKO, SULUHISHO LETU!

    🚀 BIASHARA YAKO, SULUHISHO LETU! Boresha usimamizi wa biashara yako kwa mifumo ya kisasa, rahisi kutumia na inayokupa matokeo. ✅ Punguza kazi za mikono na matumizi ya daftari. ✅ Achana na usumbufu wa Excel. ✅ Rahisisha mauzo, stock, hesabu na ripoti. ✅ Pata suluhisho kulingana na mahitaji ya...
  14. Yoda

    Serikali itunge Sheria ya kuzuia watoto chini ya miaka 18 kutumia mitandao ya kijamii

    Watoto hasa wa kike wa mikoa ya Pwani wanaharibiwa sana na mitandao ya kijamii, ni wakati sasa wa serikali kutunga Sheria ya kupiga marufuku kutumia mitandao ya kijamii watoto wenye umri wa miaka chini ya 18. Uingereza tayari wameptisha Sheria ya kuzuia matumizi ya mitandao kwa watoto walio...
  15. youngkato

    Jinsi ya kubadilisha picha kuwa video kwa kutumia Gemini AI pro

    Sasa unaweza kutengeneza video mbalimbali za Ai kwa ajili ya matangazo na kurahisisha kazi zako kwa sj. 15,000 tu Whatsapp 0693880325 #GeminiAIPro #ArtificialIntelligence #AIVideoCreation #DigitalMarketing #ContentCreation #AITanzania
  16. Hance Mtanashati

    Namna ya kuongeza mvuto na kipato kwa kutumia karafuu, mchele na sarafu ya 500

    Huu ni mchanganyiko mwepesi hata wewe unaweza ukafanya na ukaona mabadiriko. Chukua karafuu, mchele kidogo punje kadhaa changanya na sarafu ya 500 ili uweze kuongeza mvuto wa kibiashara, kuongeza thamani yako na kuongeza kioato chako. Njia ya kwanza, chukua karafuu , changanya na mchele...
  17. instinct desire

    Watanzania tulitegemea tusikie uchaguzi wa Rais mpya wa TLS sasa mbona kimya, sasa tutafanyaje uchunguzi wa tuhuma wakati mhusika bado yupo ofisini?

    Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS. Matukio ya Rais wa...
  18. Ngongo

    CDM mkiendelea kutumia jeshi la mtu mmoja hakika mtaanguka asubuhi na mapema.

    Heshima sana wanajamvi. Tanzania ni kati ya nchi kubwa Barani Afrika.Ukubwa wa Tanzania ni 947,303 Sq Km. Ukizichukua Kenya,Uganda,Rwanda & Butundi kwa pamoja bado hazijafikia ukubwa wa Tanzania. CDM pamoja na kuwa na muundo mzuri wa kiuongozi yaani Kanda,Mkoa,Wilaya na Kata bado inategemea...
  19. figganigga

    Samia Suluhu tumseme kwa mengine sio hili la kutumia watu jini Makata mtoa roho

    Kuna dada nimeona mtandaoni anadai eti alikuwa anaumwa. Akasema eti Samia Suluhu Hassan alimtumia jini Makata ambalo kidogo limtoe roho. Akadai eti amerudi na amepona yupo lelelelee.. Mwamwamwamwa..! Swali ni Jini makata Samia alitoe wapi labda jini maimuna. Makata? 🤣🤣. Kwanza jini Makata...
  20. Lycaon pictus

    Habari za watu kutumia Paracetamol kulainisha nyama zina ukweli wowote?

    Nimeona mtandao kuwa watu wanalalamika kwamba supu zinawaletea usingizi. Wengine wanadai ni sababu ya matumizi ya Ajinomoto na wengine wanasema watu wanatumia Paracetamol kulainisha nyama. Hii habari ya kutisha ina ukweli gani?
Back
Top Bottom