kutokana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je ni sahihi ku judge uchumi wa mtu kutokana na kiatu alicho vaa mguuni?

    🤔
  2. Sijachaguliwa kwenye usaili wa TANESCO kutokana na Cheti cha Kuzaliwa, licha ya kuwasilisha cheti kilichothibitishwa

    Habari wana JamiiForums, Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wanajukwaa, hasa wale wenye uzoefu wa masuala ya ajira za Serikali na Sekretarieti ya Ajira (PSRS). Nilikuwa nimeomba nafasi ya kazi ya ARTISAN GRADE II – ELECTRICAL katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Baada ya majina ya...
  3. Tafakari Kutokana na Jarida la “The ‘Secret Killings’ in Assam”

  4. Thomas Massie wa Republican Party amechukua hatua ya kumshtaki Pete Hegseth ili kumwondoa madarakani, kutokana na vita vya Iran

    Wanaukumbi. 🇺🇸 Thomas Massie amewasilisha hoja ya kumshtaki (impeach) Pete Hegseth kuhusiana na vita dhidi ya Iran. Anamtuhumu Hegseth kwa kuanzisha vita bila idhini ya Bunge, kukiuka kanuni za ulinzi wa raia, na kulipiza kisasi dhidi ya wakosoaji wake. Mashtaka hayo yanahusu pia operesheni...
  5. H

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  6. H

    Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano

    Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano ya kilele litakayohudhuria - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo Oktoba 28, 2026...
  7. Ni kitu gani ulinunua kutokana na Presha ya ndugu na marafiki ila baadae ukajikuta hukitumii kabisa?

    Mimi najuta kabisa kununua TV. Hiyo hela bora ningeongeza ku-top up kwenye simu nipate iphone 17 maana nilinunua out of peer pressure na mazoe lakini ukweli ni kwamba, sifuatilii mpira kusema kwamba ntakuwa naangalia mechi, movie nishazoea kuangalia kwenye PC na nikiwasha hiyo TV baada ya muda...
  8. Kutokana na juhudi za rais wetu,huenda tukawa na ukaribu na Angola

    Kwa mliowahi kufanya mishe angola je kuna fursa gani huko masela watu wachangamkie kutokana na kuwa na direct flight to Angola, #Angola,luanda city!
  9. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 Kuna mtu humu aliebahatika kuangalia mkanda (tape) ambayo ilikuwa na video full za kuteswa kwa samuel doe wa Liberia

    Hii ngoma ukiiangalia lazima iku-traumatize. Jamaa walikuwa wanamkata vipande vya nyama taratibu huku akilia kwa maumivu. Mind you alikuwa raisi amepinduliwa hapo.
  10. Mauzo ya nyama nje ya nchi yaongezeka kutokana na ubora wa mifugo

    Mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka kwa kasi kutoka tani 1,774 mwaka 2020/21, hadi tani 13,745 mwaka 2023/24 na kufikia takriban tani 15,000 mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la zaidi ya mara 8 tangu mwaka 2021. Oman ndiyo soko kubwa zaidi, ikinunua zaidi ya nusu ya nyama inayouzwa nje ya...
  11. Watu wanashangaa vitendo vya uozo wa maadili mikoa ya pwani wanadhania ni kutokana na usasa kuzidi. Haya mambo yalikuwepo mitandao ndio ime-expose

    Kukithiri kwa vijana wengi mashoga ni kutokana na influence ilioletwa na waarabu kipindi cha utawala wao na haswa wakati wa utumwa. Waarabu waliwalawiti wavulana na kubaka kinyume na maumbile wanawake. Matendo haya yaliacha alama kwenye jamii na yakarithiwa kama ya kawaida Ukiangalia upande wa...
  12. Msaada anataka kunyang'anywa nyumba yake na kuuzwa kutokana na deni la sh 96,000

    Kuna dada ameniambia nyumba yake ipo mbioni kuuzwa baada ya kukopa hela kausha damu na baadaye akapata shida ya kuuguliwa na mtoto akashindwa kurejesha marejesho kwa wakati Kampuni ikamtaka atoke nyumbani kwake ili nyumba iuzwe na kibao cha kutangaza kuuzwa kwa nyumba hiyo wanategemea kukiweka...
  13. Z

    Lisu katoswa kwenye Tuzo ya Sakharov kutokana na kesi ya Uhaini inayo mkabili.

    Kutoswa kwa Lisu kwenye kinyang' anyiro cha Tuzo ya heshima ya Sakharov imesqbqbishwa na: 1. Matamshi yake aliyo yatamka ya kuhamasisha vurugu na kufanya uasi nchini. Hii sio tabia na hulka ya mpenda Demokrasia, kwa matamshi hayo ambayo dunia nzima imeyashuhudia na kuyafuatilia yamemkosesha lisu...
  14. S

    Nafanyaje ili niweze kuhamia Taasisi nyingine ya Serikali. Naomba ushauri wenu

    Habari za wakati huu Wakuu. Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali. Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering. Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi...
  15. C

    Sheikh Alhad: CHADEMA ni muhimu kuingia kwenye maridhiano kutokana na ukubwa wake

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Sheikh Alhad amevitaka vyama vya siasa nchini kuweka mbele maslahi ya taifa na kukubali maridhiano kwa ajili ya kulinda amani, umoja na maisha ya Watanzania. Amesema maridhiano yanahitaji busara, hekima na utayari wa kila upande...
  16. C

    Wakazi jimbo la California watakiwa kuhama makazi yao kutokana na moto unaoendelea kuwaka

    Maagizo ya kuwahamisha wananchi yametolewa katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Orange (Orange County), California, huku wazima moto wakipambana usiku kucha ili kudhibiti moto unaosambaa kwa kasi kubwa. Kwa mujibu wa maafisa wa Mamlaka ya Moto ya Orange County (OCFA), eneo lililowekewa maagizo...
  17. Hasara na athari za kususia uchaguzi kwa vyama vya siasa na wafuasi wao hua ni nyingi kuliko faida, taja athari wanazopata wasusia uchaguzi mkuu?

    Kwa kurelax, elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
  18. B

    Kutokana na wanawake wa kaskazini kupenda Sana Pesa sikujua kama Wana nyege nyingi kiasi hiki.

    Declaration of Interest: Nimeona wanawake wawili kutoka Kaskazini. Twende kwenye Mada sasa, aisee hii ni balaa, zamani nilikuwa nilikutana na single Maza kutoka Kaskazini najua ni kwa sababu anapenda hela hivyo Wanaume wanapiga na kusepa. Nilishtuka mara ya kwanza Mtoto kutoka Rombo...
  19. Je, unakoroma sana ukilala, na kwamba ndoa yako iko mbioni kuvunjika kutokana na kukoroma huko? Suluhisho lako ni hili hapa 👇

    SULUHISHO LA TATIZO LAKO LA KUKOROMA NI MOJA TU; JIFUNZE KUHEMA KWA KUTUMIA MDOMO UKIWA UMELALA ILI HEWA ITOKE NA KUINGIA KWA UHURU. Hili la kuacha mdomo wazi siku kicha linaweza kuwa gumu, lakini ukifiria kuwa bila kufanya hivyo, ndoa yako inaweza kuvunjika kutokana na kukoroma kama jenereta...
  20. Q

    Askofu Bagonza: Kuna kila dalili serikali inahusika na watu kupotea, kutokana na kauli za viongozi wake

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali. Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…