Habari wana JamiiForums,
Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wanajukwaa, hasa wale wenye uzoefu wa masuala ya ajira za Serikali na Sekretarieti ya Ajira (PSRS).
Nilikuwa nimeomba nafasi ya kazi ya ARTISAN GRADE II – ELECTRICAL katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Baada ya majina ya...
Wanaukumbi.
🇺🇸 Thomas Massie amewasilisha hoja ya kumshtaki (impeach) Pete Hegseth kuhusiana na vita dhidi ya Iran.
Anamtuhumu Hegseth kwa kuanzisha vita bila idhini ya Bunge, kukiuka kanuni za ulinzi wa raia, na kulipiza kisasi dhidi ya wakosoaji wake.
Mashtaka hayo yanahusu pia operesheni...
Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
afrika
bara
kutokana
mkubwa
mkuu
muhimu
mustakabali
mwigulu
mwigulu nchemba
pamoja
uwezo
vijana
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano ya kilele litakayohudhuria - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema hayo Oktoba 28, 2026...
Mimi najuta kabisa kununua TV.
Hiyo hela bora ningeongeza ku-top up kwenye simu nipate iphone 17 maana nilinunua out of peer pressure na mazoe lakini ukweli ni kwamba, sifuatilii mpira kusema kwamba ntakuwa naangalia mechi, movie nishazoea kuangalia kwenye PC na nikiwasha hiyo TV baada ya muda...
Hii ngoma ukiiangalia lazima iku-traumatize.
Jamaa walikuwa wanamkata vipande vya nyama taratibu huku akilia kwa maumivu.
Mind you alikuwa raisi amepinduliwa hapo.
Mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka kwa kasi kutoka tani 1,774 mwaka 2020/21, hadi tani 13,745 mwaka 2023/24 na kufikia takriban tani 15,000 mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la zaidi ya mara 8 tangu mwaka 2021. Oman ndiyo soko kubwa zaidi, ikinunua zaidi ya nusu ya nyama inayouzwa nje ya...
Kukithiri kwa vijana wengi mashoga ni kutokana na influence ilioletwa na waarabu kipindi cha utawala wao na haswa wakati wa utumwa.
Waarabu waliwalawiti wavulana na kubaka kinyume na maumbile wanawake. Matendo haya yaliacha alama kwenye jamii na yakarithiwa kama ya kawaida
Ukiangalia upande wa...
Kuna dada ameniambia nyumba yake ipo mbioni kuuzwa baada ya kukopa hela kausha damu na baadaye akapata shida ya kuuguliwa na mtoto akashindwa kurejesha marejesho kwa wakati
Kampuni ikamtaka atoke nyumbani kwake ili nyumba iuzwe na kibao cha kutangaza kuuzwa kwa nyumba hiyo wanategemea kukiweka...
Kutoswa kwa Lisu kwenye kinyang' anyiro cha Tuzo ya heshima ya Sakharov imesqbqbishwa na:
1. Matamshi yake aliyo yatamka ya kuhamasisha vurugu na kufanya uasi nchini.
Hii sio tabia na hulka ya mpenda Demokrasia, kwa matamshi hayo ambayo dunia nzima imeyashuhudia na kuyafuatilia yamemkosesha lisu...
Habari za wakati huu Wakuu.
Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali.
Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering.
Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Sheikh Alhad amevitaka vyama vya siasa nchini kuweka mbele maslahi ya taifa na kukubali maridhiano kwa ajili ya kulinda amani, umoja na maisha ya Watanzania.
Amesema maridhiano yanahitaji busara, hekima na utayari wa kila upande...
Maagizo ya kuwahamisha wananchi yametolewa katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Orange (Orange County), California, huku wazima moto wakipambana usiku kucha ili kudhibiti moto unaosambaa kwa kasi kubwa.
Kwa mujibu wa maafisa wa Mamlaka ya Moto ya Orange County (OCFA), eneo lililowekewa maagizo...
Kwa kurelax,
elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
Declaration of Interest:
Nimeona wanawake wawili kutoka Kaskazini.
Twende kwenye Mada sasa, aisee hii ni balaa, zamani nilikuwa nilikutana na single Maza kutoka Kaskazini najua ni kwa sababu anapenda hela hivyo Wanaume wanapiga na kusepa.
Nilishtuka mara ya kwanza Mtoto kutoka Rombo...
SULUHISHO LA TATIZO LAKO LA KUKOROMA NI MOJA TU; JIFUNZE KUHEMA KWA KUTUMIA MDOMO UKIWA UMELALA ILI HEWA ITOKE NA KUINGIA KWA UHURU.
Hili la kuacha mdomo wazi siku kicha linaweza kuwa gumu, lakini ukifiria kuwa bila kufanya hivyo, ndoa yako inaweza kuvunjika kutokana na kukoroma kama jenereta...
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali.
Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.