kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mafunzo 6 ya kujifunza kutoka kwenye kitabu cha Rich Dad, Poor Dad

    Hi,leo tutajifunza kuhusiana kitabu cha RICH DAD, POOR DAD. 1. Wote tunahitaji elimu ya fedha. Mwandishi anasema kuwa wanafunzi wengi wanamaliza shule bila ya ujuzi wa fedha. Wanajifunza kutengeneza fedha lakini hawana mawazo juu ya namna ya kutengeneza fedha kutoka katika fedha walizonazo. 2...
  2. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

    Sasa CHADEMA mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikali.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne yamegoma kutoka?

    Miaka mitatu hii matokeo yamekuwa yakitoka mwanzoni mwa January. Kunaa nini kimewasibu NECTA mwaka huu. Nini kinaendelea huko NECTA?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha mazao kutoka Karagwe mpaka Dar es Salaam

    Habari wakuu, Naomba mwenye usafiri au mwenye kujua bei za kusafisha mazao kutoka Karagwe kwenda Dar anijuze ni shilingi ngapi kwa gunia la kilo 100. Asanteni
  5. JamiiForums Tanzania Nini faida au hasara za kuiba, katika harakati za kutoka kimaisha

    Msaada jamani 🙏🙏
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhamisho wa kuhama Sekta moja kwenda nyingine?

    Habari wakuu ningependa nieleweshwe taratibu kamili za kufuata ili uweze kuhama sekt moja kwenda nyingine. Mfano.sekta ya maji kwenda sekta ya madini.
  7. JamiiForums Tanzania Nunua kitu kwa kuzingatia unahitaji nini hasa kutoka kwenye bidhaa husika

    Kama una pesa za kupoteza yaweza usijali sana. Wafanya biashara na watoa bidhaa wanafanya kila mbinu kuitaka pesa yako. Wana kila mitego ambayo usipoangalia unaweza kuwa mtumwa wa kununua vitu bila mpango. Matangazo kila station ya redio na tv kupamba bidhaa. Hii kesi hasa ni kwa bidhaa za...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mloganzila imeanza kupokea wagonjwa kutoka nje ya nchi

    Kutokana na juhudi za serikali kuboresha huduma za afya nchini, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila imeanza kupokea wagonjwa kutoka nje ya nchi wanaofuata huduma za kibingwa, ikiwemo huduma tiba ya kuweka puto kwenye tumbo la chakula (Intragastric balloon), ili kusaidia watu wenye uzito...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Simba hii tujiandae CAF kutoka

    Mpira wa Jana na Dodoma Jiji Yes Tumeshinda lakini Mwanasimba yeyote hajafurahi sana kwa sbb uwezo wa kupass ulipotea kabisa jana. Hakuna mchezaji hata mmoja wa Simba aliyewez kuwa na utulivu. Simba why hawawez kufanya passing passing kuwa creative kwa maana hiyo michezo ya CAF inayokuja kazi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ofisi ya Mbunge wa Ludewa

    OFISI YA MBUNGE JIMBO LA LUDEWA Januari 21, 2023 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mhe. Joseph Kamonga akiambatana na Mweneykiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Ndg. Wise Mgina na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa Ndg. Gervas Ndaki wameupokea ugeni kutoka mamlaka ya bandari Tanzania (...
  11. JamiiForums Tanzania Ukisikia taarifa za tabia za mwanao kutoka kwa watoto wenzake au majirani zako usipuuze wala usiziamini papo hapo

    Katika malezi ya watoto si kila wakati wote awe mkubwa au mdogo kuna wakati watoto wanafanya mambo wakiwa mbali na wazazi wao na huficha yasijulikane nyumbani. Ukisikia lawama juu ya mtoto wako au kuwa anatabia ya aina fulani ambayo wewe huijui usikimbilie kumuadhibu/ kumuonya au kumtetea...
  12. JamiiForums Tanzania Majaribio ya SGR kutoka DSM - Morogoro kufanyika February 2023

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) linatarajia kuanza majaribio ya kutoa huduma katika Reli ya Kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam na Morogoro mwezi Februari 2023 Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alisema kazi ya ujenzi wa SGR, awamu ya kwanza kilometa 1,219 kati ya Dar es Salaam na Mwanza na...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yadai Ndege zinazotua viwanja vya ndani ya Hifadhi zinabeba Watalii

    WIZARA ya Maliasili na Utalii, imesema ndege zinazotua na kuruka katika viwanja ndani ya hifadhi zinasafirisha watalii kutoka Uwanja wa Ndege Dar es Salaam (JNIA), Kilimanjaro (KIA) na Abeid Amani Karume, Zanzibar. Ufafanuzi huo unatokana na taarifa zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Uhamiaji dhibitini wahamiaji kutoka Asia

    Hivi China ni nchi tajiri au ubabaishaji tuu? Kwa nini raia wake masikini watupwe Africa?
  15. JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa Roho huwa ina kawaida ya kutoka tulalapo?

    Hivi umeshawahi lala usiku halafu ukajikuta kama unaota hivi lakini fahamu zako zinakuonyesha kabisa upo macho na unajiona mwepesi Sana pasipo kawaida na saa nyingine huenda ukahisi kama upo hewani hivi Au Unaweza kwenda sehemu Fulani ambayo hujawahi fika lakini kuna kumbukumbu Fulani inakujia...
  16. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waje na ajenda gani kwenye mkutano wao wa kwanza baada ya kutoka kifungoni?

    Kama ilivyosemwa kwamba chama hiki kikubwa kabisa cha upinzani hapa nchini kitaanza mikutano yake ya hadhara hivi karibuni, kutokana na hali ya mambo ilivyo Kwa sasa na mabadiliko makubwa ya kisiasa yaliyotokea baina ya utawala wa kikwete magufuli na hatimae Samia, ni hoja zipi unadhani zitaleta...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania tukitaka amani na nafuu ya demokrasia tujenge utamaduni wa kumchagua Rais kutoka pwani na Zanzibar, imeshathibitishwa mara tatu

    Kio kwamba wakiingia kila kitu kinanyooka, la hasha!! Kuna Madudu huwa yanaendelea ila ukiweka mzani unaona wao wana nafuu hasa linapokuja suala la aman, demokrasia na maendeleo. Mwinyi mzee wa ruksa alitutoa kwenye ujamaa wa Nyerere watu wakaanza kumiliki hata Tv (wakati huo Zanzibar...
  18. JamiiForums Tanzania Salamu kutoka kwa Liam Wyatt

    Habari kwa wakongwe na wageni wa jukwaa hili (JF), baada ya kuzunguka huko duniani kwa miaka mingi leo nimeona rasmi niingie humu na kuwa mwanachama rasmi. Nawapongeza members wote ambao kupitia michango yao (replies) JF imekuwa kama reference ya vitu vingi vinavyotafutwa katika injini pekuzi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania China kuboresha hatua za kuingia na kutoka kutaleta msukumo mpya kwa biashara kati yake na Afrika

    Hivi karibuni, serikali ya China imeboresha na kurekebisha hatua za kukabiliana na virusi vya COVID-19 kulingana na wakati na hali. Kuanzia Januari 8, watu wanaokuja China watapimwa virusi saa 48 kabla ya kuondoka, na wale wasioambukizwa wanaweza kuja China. Hatua hii itaandaa mazingira bora...
  20. JamiiForums Tanzania Namna 'Royal Tour' ilivyoikoa sekta ya utalii kutoka ICU

    Mwaka 2022 sekta ya utalii nchi iliimarika zaidi baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kucheza na kuzindua filamu ya Tanzania: Royal Tour. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya Taifa letu, ambapo Rais anacheza filamu nzima, tena kama muhusika mkuu katika harakati za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…