kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  2. JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kutoka kwa hakimi baada ya kutua mahakamani na kuonekana mali zake zote alimuandikisha mama ake miaka kadhaa

    Pole sana Wanawake mnaosubiri mtalakiane na Mme wako afu mdai talaka mwisho mgawane mali. NIMEPENDA HII YA KIJANA (HAKIMI) kama ujaipata ifuatilie...... ume
  3. JamiiForums Tanzania Nimehamisha meseji za simu ya binti niliedhamiria kutoka nae, hayupo kama nilivyodhania. Ni mzinzi anayepanga wanaume bila wao kujua

    Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe. Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni seremala ) ambae si tu kwangu ila ni wengi huwa tunamuona katulia, basi nami nikaona nijaribu kumtupia...
  4. JamiiForums Tanzania Eric Djemba Djemba: Mashine kutoka Afrika Magharibi na Siri ya Alex Ferguson kuhusu wachezaji wa Afrika

    Unakumbuka nini ukisikia jina Djemba Djemba. M Cameroon aliye lamba deal la kusajiliwa Manchester united na Alex Ferguson at his age of 21 Alisajiliwa akitokea Nandes ya ufaransa. Alipo sign deal na Manchester united akaenda kununua magari matano Kwa mkupuo. Inasemekana Sir Alex Ferguson...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

    Muda huu niko kwenye kivuko, kuna mbaba wa makamo amejirusha kwenye kivuko cha Busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea na safari bila msaada wowote R.I.P jamaa
  6. JamiiForums Tanzania Kuna Mrembo kutoka Afrika Magharibi anataka kunitapeli huko mjini Gmail. Ngoja tuone

    Thread was deleted
  7. JamiiForums Tanzania Mimba Kutoka: Hivi ndivyo utakavyofanya Kupata mtoto Salama

    MIMBA KUTOKA; HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA KUPATA MTOTO SALAMA. Anaandika Robert Heriel Yule Shahidi Binti yangu endapo utakutwa na mkosi wa Aina Hii, naamn ndio Tatizo la mimba kutoka basi Mimi Baba yako sikukusahau katika hili. Tena Kijana wangu ikiwa Mkeo utakayemuoa, unayempenda, atakuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume usisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke

    Habari za siku nyingi wadau! Leo nataka kuwakumbusha wanaume msisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke. Hii ni kwa sababu mwanamke atakushauri kitu ambacho anakipenda yeye lakini kitu hicho hicho ukimfanyia yeye, atapoteza hisia na wewe. Mfano mwanamke anaweza akakushauri kwamba "ili...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba nyimbo yako bora kutoka kwa huyu mwamba msomi, legendary

    Mwamba huyo ni koffi olomide. Yoyote moja itutulize na sisi great thinkers
  10. JamiiForums Tanzania Tujenge utamaduni wa kupendeza (kujipenda), kutoka out na kula vizuri

    Heri ya Pasaka. Iko hivi, imekuwa kama tamaduni kwetu kuwa siku za sikukuu ndio mtu atavaa vizuri, atakula vizuri na atatoka out. Jana wakati natoka kwenye mishe zangu nikamuita boda wangu anipeleke home nikaangalie chama langu Liverpool likimenyana na Arsenal. Jamaa kafika asee alikuwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Agiza nami Vioo vya samsung original kutoka China ndani ya siku 14 za kazi

    Habari wana JF, Nimepata chimbo la kupata vioo original vya simu za samsung kutoka China, nakuagizia ndani ya siku 14 za kazi unapokea mzigo wako kwa bei nzuri kabisa. Nicheki whatsapp 0657940974
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

    Heri ya Pasaka? Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU. Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima? JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI? 1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi. 2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk? 3. Mbona ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Wakuu habari za asubuhi. Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka. Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl. Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nitajie viongozi wawili tu shupavu kutoka Pwani nami nikutajie viongozi 10 shupavu na wenye uwezo mkubwa kutoka mikoa ya bala

    Mara ya kwanza kabisa kufika mikoa ya Pwani, kuna baadhi ya mambo yalinishangaza Nalijifunza kwamba, Mungu alituumba kwa namna ya kutofautiana sana, kutoka watu hadi wanyama na hata ndege! Watu wa Bara ni majitu makubwa makubwa na majasiri yasiyotishwa tishwa kirahisi eti yaogope kirahisi...
  15. JamiiForums Tanzania Dar: Basi la Burudani kutoka Korogwe Tanga, lapata ajali Mbezi

    Watu kadhaa wanasadikiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa, kufuatia ajali iliyotokea maeneo ya Mbezi Luguluni, ikihusisha Basi la kampuni ya Burudani, lililokuwa likitokeaa mkoani Tanga kuelekea Dar es Salaam, ambapo basi hilo linadaiwa kuwa lilikuwa kwenye mwendokasi, hivyo wakati...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kupewa majina ya wapigaji Invoice kutoka USD 37 milioni mpaka USD 86 milioni

    Hizo ni pesa nyingi sana zinaweza kumjengea kila Mtanzania mkazi wa Dar es Salaam nyumba ya vyumba vitatu iweje watu wachache mgawane mgao mkubwa hivyo? Hapa watu wa kuwahusisha ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Waziri wa Fedha pamoja na baadhi ya maofisa wa Ikulu...
  17. JamiiForums Tanzania Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

    https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== ========================== Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme...
  18. JamiiForums Tanzania Hii ndio tatu bora ya vyama vya upinzani ambavyo vilipata misukosuko mikubwa kutoka katika vyombo vya dola

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ndugu zangu, najua hapa JF tuna vijana wengi ambao walianza kufuatilia na kujiunga na mambo ya kisiasa miaka ya 2010, 2015, 2020 hadi leo 2023. Vijana hao ambao wengi wao ni Chadema, wakifuatiwa kwa mbali na ACT Wazalendo, wanaamini kwamba vyama hivyo viwili ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Papa Francis aruhusiwa kutoka Hospitali baada ya kulazwa kwa siku 3

    Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki mwenye miaka 86, alilazwa Machi 29, 2023 katika Hospitali ya Gemelli Polyclinic baada ya kuripotiwa kuwa na matatizo ya kupumua ambapo alianza matibabu ya Dawa za 'Antibiotic'. Maafisa wa Vatican wamesema #PapaFrancis atakuwa katika Uwanja wa Mtakatifu Petro kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Njoo ujipatie offer ya urembo kutoka nyumba yako

    Tunatoa offer ya urembo safi kwa mwezi mtukufu kama ifuatavyo .... Dirisha 30000 ...nguzo 40000 ... skirting 100000 ..arch ya baraza 10000 ... Arch ya ndani 70000 0719999526/0747618315 WhatsApp
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…