kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali Yapiga Marufuku Kuingiza Malighafi ya Chumvi Kutoka Nje kwa Viwanda vya Ndani

    SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUINGIZA MALIGHAFI YA CHUMVI KUTOKA NJE KWA VIWANDA VYA NDANI "Mkakati wa Serikali kuvutia wawekezaji katika sekta ya Chumvi unaendelea ikiwa ni pamoja na kutenga eneo lenye ukubwa wa Hekari 168 katika Wilaya ya Kilwa kwaajili ya wawekezaji Wenye nia ya kuchakata...
  2. JamiiForums Tanzania Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

    Jambo jambo? Hii video ilikuwa mahojiano ya kipindi maalum ambacho huwahoji watalii kutoka duniani na waliotembelea Kenya, Uganda, na Tanzania, in short ni EAC. Jamaa amewapa makavu kuwa Tanzania inaiishi miaka 30 nyuma ya dunia huku nchi jirani zikiendelea kuchapa mwendo. Lakini tusisahau...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kuagiza gari kutoka UK vs South Africa, Japa & Singapore

    Habari za leo waungwana. Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara, usalama na matengenezo ( japo nimeambiwa gari ambayo haijatumika sana hugharamiki sana matengezo au...
  4. JamiiForums Tanzania Niliyokutana nayo katika safari yangu ya jahazi kutoka Wete(Pemba) mpaka Tanga, vimbwanga vya mabaharia

    Habari waungwana? Yah, juzi nikiwa natoka Pemba Kaskazini (Wete) nikielekea Tanga nilipanda jahazi kutokana na ufinyu wa usafiri wa meli za kutoka Pemba kuelekea bara, lakini pia si unajua bajeti maana uchumi mgumu bado sijatengamaa. Basi bwana nikafika bandarini pale Wete asubuhi ya saa tatu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sauti kutoka ng'ambo

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoendelea kukua kiuchumi duniani na afrika kwa ujumla.Aidha nchi mbalimbali kama vile Nigeria,Afrika kusini,Ethiopia na Kenya ni nchi zenye uchumi mkubwa kusini mwa jangwa la sahara hii ni kutokana na miundombinu bora waliyonayo.tuchunguze baadhi ya miundombinu...
  6. JamiiForums Tanzania Unakumbuka kauli gani (kejeli) ya Ex wako baada ya kuachana?

    Habarini wana jamvi MMU, natumai mko poa kabisa. Hivi in kauli gani chafu na kejeli unayoikumbuka kutoka kwa Ex wako kiasi kwamba ukiifikiria unajisemea mwenyewe kimoyomoyo "hii ng'ombe ikirudi nitahakikisha inapitia maumivu yasiyo ya Dunia hii. NB: Kuachana siyo ugomvi ila wengine wanatufanya...
  7. I

    JamiiForums Tanzania CCM ijifunze kutoka Urusi

    Hali inavyo onekana mpaka muda huu Putin yuko katika hali tete kuliko muda wote alio kaa madarakani. History haichi kufuata mkondo wake, Russia imekuwa katika mapindunzi huko nyuma, kizazi kinajua hilo, kuwasaulisha wananchi kwa kuwanyima haki zao za msingi wa kuwa huru ni kufukia kichwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mbele kwa mbele Wagner waanza safari ya Moscow huku wakishambuliwa kutoka angani

    Ukilea jini kubali iko siku litakugeukia.....haya sasa Russia-Ukraine Live Updates, June 24, 2023: Mutinous Russian mercenary fighters barrelled towards Moscow after seizing a southern city overnight, with Russia’s military firing on them from the air. Facing the first serious challenge to his...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali Iwasimamie Wasafirishaji wa Mizigo Kutoka Nje ya Nchi ili Ipate Kodi Halisi Kutoka kwa Wafanyabishara

    MHE JULIANA MASABURI AISHAURI SERIKALI IWASIMAMIE WASAFIRISHAJI WA MIZIGO ILI KUPATA KODI HALISI KWA WAFANYABIASHARA Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 23 Juni 2023 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023-2024 na kutoa mapendekezo...
  10. JamiiForums Tanzania Mgao wa Maji umerudi Dar?; Kunduchi-Mtongani wiki inaisha bila maji kutoka

    Salaam ndugu, Ni hatari kwa afya kumaliza wiki nzima bila kupata maji. Labda sijui walitangaza kutakuwa na mgao wa maji, lakini hakuna mgao unaokwenda mpaka wiki nzima bila maji kutoka. Tunajipa matumaini labda maji yatatoka usiku lakini wapi! Nilitegemea mvua nyingi zilizonyesha hivi karibuni...
  11. JamiiForums Tanzania Zawadi kutoka Dubai: Kutana na Kitenges na Zembwela

    Picha muhimu sana ya karne hii.
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Ukipewa dhamana polisi kutoka ni bure usitoe pesa

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Askari kuomba rushwa pale ambapo Mtuhumiwa anapokamatwa na kupewa dhamana na Ndugu zake kwa kumtaka atoe chochote katika Vituo vya Polisi. Akiongea na Wakazi wa Kata ya Kamoge Wilayani Bukombe Mkoani Geita...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada

    Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada, kuna mambo ambayo sisi wanaume tuna yafanya na yamekuwa kero sana kwenu ila mnashindwa kutuambia. Leo tupo hapa kusikiliza vitu ambavyo huwa tuna wakera ila hamtu ambiagi kwenye mahusiano.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Sudan wahamishiwa vyuo vikuu vya Tanzania. Hongera kwa Serikali ya Tanzania

    Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan. Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
  15. JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu zinazofanya Makocha na Wachezaji wengi kuondoka Yanga

    1. Wachezaji hawakuwa Mali yao bali ni wa Mkopo kutoka kwa Wakata Congo. 2. Kukopwa sana Pesa na Viongozi na kulipwa kwa kusumbuana mno. 3. Kilichomtokea mwenzao mmoja kuhusu Mkataba wake, kunyanyasika na kudhalilika kumewachukiza wengi. 4. Wachezaji hawataki tena kuwa sehemu ya kushuhusdia...
  16. JamiiForums Tanzania Anayejua mchakato wa nyongeza ya mshahara 2023/2024 kwa kuwa kima cha chini kimetajwa kutoka 300,000/- Hadi 370,000/-

    Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024 Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH. Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni. Sasa tujie hizi Naomba kuwasilisha
  17. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Taifa Stars waipa Milioni 10 kutoka kwa Rais Samia

    Baada ya Tanzania kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Niger katika uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwa goli la Simon Msuva, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa kupitia ukurasa wake wa Instagram amendika kuwa #GoliLaMama linaendelea na Taifa Stars imejinyakulia Shilingi...
  18. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu "Operesheni Acoustic Kitty" jinsi CIA ilivyotaka kutumia Paka kama chanzo cha taarifa kutoka Soviet

    Miaka ya 1960 Shirikia la Ujasusi la Marekani lilikuww linapambana na Urusi katika vita baridi. Katika kipindi hiko Marekani ilianzisha program na miradi mbalimbali dhidi ya kupambana na Ujamaa ulioanza kuenea sehemu mbalimbali za Dunia. Kule Langley, Virginia yalipo makao makuu ya CIA walikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yakaribisha wawekezaji kutoka Urusi

    Serikali ya Tanzania imewakaribisha Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza Tanzania kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa Dunia kwa ujumla. Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk...
  20. JamiiForums Tanzania Furaha kutoka Gerezani, huzuni kufika Nyumbani

    Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023). Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika. Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…