kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimezunguka kutoka singida(manyoni) to kigoma (kasulu) kwa kweli fursa nimeziona, nimejiona mjinga.

    Yes nimejiona mjinga, nimeenda manyoni hapo kwenye mnada wa mbuzi nilichokiona mbuzi walikua bei juu sana, mbuzi mdogo sana alianza bei ya 70,000/= mpaka 300,000/= nimeshangaa kweli, kwasababu tunapokuwa mjini vijana tunawaza mambo makubwa sana, tunawaza biashara, skills, ufundi n.k mfano...
  2. Watalaam, PIN ya Kuverify Adsense Account kwa njia ya Posta kutoka Google mbona haifiki?

    Wakuu, nimerequest PIN kwaajili ya Kuverify Adsense Account, nimesharudia mara 3 sasa, ila haiji. Posta nimeenda sana (uzuri ni box private, na mtu wa Posta tunakutana so aliona jina langu lazima anishtue), ila wapi. Inamaana barua tatu zote zisifike? Na sijakosea address kwamaana barua...
  3. Ado ampigia simu Waziri Aweso kuhusu shida ya maji Tunduru, asema atatuma timu kutoka Wizarani

    Mbunge Ado Shaibu Ado alipiga simu Waziri wa Maji Aweso wakati wa mkutano na wananchi katika kijiji chake ili kuwasilisha changamoto kubwa za maji.Wananchi walikuwa wamelalamika kwa muda mrefu kuhusu maji machafu yanayotolewa kwenye visima, hali iliyowafanya kunywa maji yasiyo safi. Waziri...
  4. K

    Uchambuzi wa Barua Kutoka Jela ya Birmingham, Alabama na Mustakabali wa Siasa za Tanzania.

    Na: Kijana Wa Ifoza Ndugu wana-JamiiForums, salamu sana. Kabla hatujaingia kwenye mjadala wetu wa leo, ni vyema tukarekebisha dira yetu ya kihistoria kwa kurejea andiko moja muhimu sana duniani. Mwaka 1963, Dkt. Martin Luther King Jr. alifungwa katika jela ya Birmingham huko Alabama, Marekani...
  5. Irene uwoya ni mfano hai tuliojionea kupitia Tv kuwa ni hatari kupokea ushauri wa ndoa/mahusiano kutoka kwa mwanamke asiye na ndoa.

    STUPID ME. Moderator naomba mnisaidie kufuta huu uziπŸ™πŸ™ Active Moderator Boqin BlackBold celix 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
  6. Unafahamu katikati ya wewe na kitu unachokiona kuna nafasi (space) na nafasi hiyo ikiondolewa hutaona?

    Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi. Hali ingekuwaje kama nafasi hiyo isingekuwepo kabisa, yaani wewe na unachokiona mnakuwa mmeshikamana...
  7. Matumizi ya ugoro yamekithiri sana kwa vijana wadogo just imagining mtu anaagiza ugoro kutoka Sweden..

  8. Makonda: CRDB na NBC zimeshusha riba ya mikopo kwa wasanii kutoka 9% hadi 7%, baadhi ya masharti yameondolewa

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa Serikali kupitia Mfuko wa Waandaji wa Maudhui (Content Creators) imefanikiwa kushirikiana na benki za CRDB na NBC kupunguza kiwango cha riba ya mikopo kwa vijana na wasanii kutoka asilimia 9 hadi asilimia 7. Makonda...
  9. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Malias

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Maliasili na Utalii katika mkutano wa hadhara kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa muda mrefu unaohusu mipaka ya kiutawala na mpaka wa msitu wa Kazimzumbwi...
  10. Huenda Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akapokea gari jingine jipya binafsi kutoka kwa wafaddhili wa siasa zake chadema.

    Ni gari dogo zuri tu, binafsi kwaajili ya matumizi yake mwenyewe na ya familia yake, kama ambavyo pia aliwahi kupewa na marafiki zake kipindi cha hapo nyuma. Je, kwa hali ya kisasa ilivyo ndani na nje ya chadema kwasasa dhidi yake, unadhani ni wakati muafaka kwa kiongozi huyo kupokea gari hilo...
  11. Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo pc 5

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 5 tu. Bei ya Khanga: sh 17,000/=. Karibu kuchagua na kuweka oda yako, tupigie 0784 829565. @radhiyastore @prathrealestate
  12. Live kutoka Serena Hotel, Sandaland anazungumza na waandishi wa habari

    https://www.youtube.com/live/qn7FSG-L5wc?si=CVINE4L-6CTbtkhD
  13. A

    HOJA Ni hatua gani zinapaswa kutumika kurejesha usalama Wilayani Tunduru ambapo Wafugaji na Wakulima wanapingana?

    Ndugu zangu, Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea kwa moto. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, hali katika Kijiji cha Chikomo ni ya wasiwasi baada ya...
  14. Maneno magumu kutoka kwenye biblia.

    Hapa Mungu alikuwa amechoshwa sana na ujinga wa watu. Zekaria 11:9. ". . . . Atakayekufa na afe! Atakayeangamia na aangamie! Na wale watakaobaki na watafunane wao kwa wao.”
  15. Safari ya Windows: Kutoka '95 Hadi '11 na Siri Zake

    Win 95: Sauti yake maarufu ya kuwaka (startup sound) ilitengenezwa na mwanamuziki Brian Eno akitumia kompyuta ya Mac! Win 98: Ilileta "Blue Screen of Death" (BSOD) live jukwaani mbele ya Bill Gates wakati akionyesha muunganiko wa USB. Win Me: Ilikuwa na crash nyingi hivi kwamba watumiaji...
  16. A

    HOJA Hospitali ya Manispaa ya Singida iboreshe njia ya kupitisha wagonjwa kutoka jengo moja kwenda lingine

    Mimi kero yangu ni Hospitali ya Manispaa ya Singida zamani Hospitali ya Mkoa imejengwa majengo mapya ila tangu majengo hayo yaanze kazi ni miaka kadhaa sasa wahudumu wanateseka kupeleka wagojwa Wodini, Maabara na Radiologia kutoka Emergency pamoja na maternity. Hiyo ni katika mchakato wa...
  17. R

    Msaada please kupata case law hii kutoka kituo jumuishi Temeke (One Stop Centre temeke)

    please aliyeko Kituo jumuishi Temeke ie one sop centre temeke aliwekee acase law hii iliyohukumiwa na jaji Sarwat Miscellaneous Civil Application No. 25152 of 2024 kati ya Aloys rwehabura vs Perfectus Ruteganya Haipatijani TanzLii
  18. Mfumo wa e-ardhi unavyofanya kazi kutoka wizara ya ardhi

    https://youtu.be/hOY_UYsoqiI?si=dlv7lgmJRF0hxHfw
  19. Wana JF jifunzeni kutoka kwangu.(somo nimelipata)

    Bila shaka somo nimelipata sasa.. Binafsi nilikuja humu kwa nia ya kutaka kujifunza, lakini pia kuweza kutoa kidogo nilicho nacho ili niweze kusaidia wengine huku nikiwa bora zaidi. Ofcourse mimi sio mtakatifu nina mapungufu yangu kama kila mtu.. Ila leo ndio lile somo kuu limeniingia Ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…