kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Hawa ni Mapapa watatu kutoka Afrika na namna walivyoubadilisha Ukristo

    Hatimaye BBC wameokoteza habari kuonesha kwamba hata bara la Afrika lilishawahi kutoa papa. Hii inaua hoja kwamba, safari hii Papa atoke Afrika. Ikiibuka hoja ya kutaka Papa Mweusi, tutasema huo ni ubaguzi wa rangi katika dini! Habari kamili; Afrika Kaskazini ambayo wengi wao ni Waislamu...
  2. JamiiForums Tanzania Mtu anahangaisha kichwa chake kuhakikisha kuwa Yesu sio Mwana wa Mungu lakini mtu huyo huyo anaamini kitabu chao cha dini kilipokelea kutoka mbiguni😁

    Sawa, wala sijali unaamini nini, naheshimu unacho kiamini. Ila kama unaamini vitu ambavyo wewe mwenyewe haukuwahi kushuhudia sasa kwanini unakataa kuamini vitu vingine vinavyoaminiwa na watu wengine walio kama wewe ingawa wana itikadi tofauti. Sasa nani mshamba? wewe unaepata maelekezo ya mtu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kuweka Spare Parts Halisi kutoka jerry spare parts and services Tanzania – Je, Watumiaji Wengi Wanaelewa?

    Kama fundi ambaye nimekuwa kwenye hii fani kwa muda sasa, nimegundua jambo moja ambalo linaumiza wateja wengi – matumizi ya spare parts zisizo halisi kwa sababu tu ya bei kuwa ndogo. Watu wengi wanapokuwa kwenye harakati za kutengeneza magari yao, hasa kwenye maeneo muhimu kama brake system...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Maono: Tundu Lissu yuko jela ili awe salama na kisha aje achukue uongozi wa nchi hii kutoka jela

    Sina mengi ya kusema ila ukweli ndio huo na hii ni kazi ya Mungu (NATURE). Angebki uraiani, ingekuwa ni hatari zaidi kwake . Kwahiyo, NATURE imemtafutia sehemu salama ingawa tunaona kama anateseka. Pia, kuwepo kwake ndani, kunachochea hamasa ya mabadiliko. Kwa kifupi, yuko jela kwasababu kuu...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Mfanyakazi wa Tanzania anatakiwa kabisa kufurahia kwa Mshahara wake kupandishwa kutoka Shilingi 370,000 hadi Shilingi 500,000?

    Kwa Ukokotoaji wangu wa huo Mshahara mpya wa Shilingi 500,000 na kwa hali ya sasa ya Kimaisha nimejikuta nikiutumia Kikamilifu kama ambavyo Roho Mtakatifu anataka, Katiba ya Tanzania inavyotaka, Mke na Mahawara wanavyotaka wote utaisha ndani ya Siku Saba tu za mwanzo na kwa Siku zote ama 21 au...
  6. JamiiForums Tanzania Nimekumbana na matusi ya kufa mtu kutoka kwa GenZ kisa nimehoji uhakiki wa "maendeleo" anayofanya Ibrahim Traore

    Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi wengine huganda kwenye uongozi na kuharibu nchi mpaka unatamani tu hata jeshi lichukue nchi, tuje...
  7. JamiiForums Tanzania Wadruze huko Syria wasema hawataki misaada ya kichonganishi kutoka Israel

    Viongozi na wanajamii wa Druze huko kusini ya Damascus wameweka wazi kuwa wao wapo pamoja na serikali mpya Syria katika kujenga Syria mpya. Siku chache zilizopita kulisambaa ujumbe wa sauti maeneo ya Ashrafieh Sahnaya ukihusishwa na kiongozi wa jamii ya Druze kumtukana mtume Muhammad saw.Jambo...
  8. JamiiForums Tanzania Kama umekuta umejaliwa wingi wa mali then kuwa makini na ushauri dhidi ya uendeshaji wa familia yako haswa kutoka kwa ndugu.

    Mara nyingi unakuta roho zinauwaumia kwa ndani kutokana na makali ya mafanikio yako,. Watoto wao kutoweza kukufikia maendeleo, Shuguli zake hazilipi kama zako, etc Directly, hawawezi kuku-affect ili ushuke na ubaki kufanana na wao so wanapopata chance adhimu ya kukushauri jambo lililo personal...
  9. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Kibamba: Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai

    “Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba
  11. JamiiForums Tanzania Kutoka Dar kwenda Mtwara ni aibu kwa barabara hii

    Watu wa kusini mlitenda dhambi gani hata mkaachwa na barabara mbovu hivi? Sitarudia tena kuendesha gari binafsi njia hii.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Maoni kutoka ughaibuni juu ya tawala wetu

    sikiliza
  13. JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwaongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 mpaka asilimia 50

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 wanayopokea sasa hadi kufikia asilimia 50 waliyokua wakiipokea awali ili iweze kuwapunguzia makali ya maisha na kuongeza ari na tija zaidi kwa walimu kufundisha wanafunzi...
  14. JamiiForums Tanzania Papa Francis kutoka mbeba taka hadi kuwa pope

    Kuanzia Mkusanya Taka Hadi Papa wa Watu — Safari ya Jorge Mario Bergoglio Alizaliwa Buenos Aires kwa wazazi wahamiaji kutoka Italia, Jorge Mario Bergoglio alikulia katika familia ya hali ya chini yenye maisha ya kazi na kujituma. Maisha yake ya awali hayakuwa ya kifahari—alifanya kazi kama...
  15. JamiiForums Tanzania Mawakili wako kazini kesi ya Lissu kwa Hoja hizi

    MAWAKILI WAKO KAZINI KWA HOJA HIZI- 1. Lissu kagoma kuhudhuria Mahakama kwa njia ya Matandao. Anataka aletwe Mahakamani kwa mujibu wa sheria. 2. MAWAKILI wametoa hoja nzito sana kwamba kwa kuwa shauri limepangwa kusikilizwa kwa awali [Preliminary Hearing] masharti ya kifungu cha 192 [1] cha...
  16. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  17. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  18. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Siku hizi wadada hawaombwi tena namba, bali mvulana unaulizwa kwa nini hunaga namba yangu

    Hasa Hawa wadada wanaocheza michezo ya mtu kutoka kila siku😃😁😁
  20. JamiiForums Tanzania Kumekucha! Kumekucha ! Huyu ni Askofu Bagonza

    Ni vyema watawala wetu wakazingatia ujumbe huu mahususi kutoka Kwa mtumishi huyu wa Mungu mwenye maono aliyekataa nira ya watawala. Mtu huru na aliye objective. Nisiwachoshe hebu tumusikie wenyewe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…