kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je , hii ni indirect Insult kutoka kwa wakenya dhidi ya democracy ya Tanzania?

    Ukimsikiliza vema mtaalam hapo chini, utagundua anasema Kenya is far better kwenye Democracy kuliko Tanzania ambayo ipo kwenye dictatorship. Ki international Diplomacy ….hii haijakaa sawa…. He is literally insulting and questioning democracy ya Serikali ya Tanzania. Kama Taifa, kuna mahali...
  2. JamiiForums Tanzania Ni sababu ya mimba kutoka

    Nimeona niulize kupita ukurasa huu ni kitu gani hasa kinachosababisha mimba kutoka Mods najua hii mada hii sio sehemu yake naomba muiache kwanza watu waelimike mtakuja kuhamishia kule baadae
  3. JamiiForums Tanzania Kutoka kwa mange kimambi:CCM na kutembeza bakuri tone to tone.

    Juzi CCM walidai ile document niliyoposti ni ya uwongo ila watu wamejaribu kutuma hela kwenye account iliyokuwa kwenye barua na imetokea kweli. Lol . Hii bank account imetengenezwa special kwa ajili ya matajiri na makampuni kumwaga pesa humo na sio ombi ni amri anaegoma kuweka pesa humo...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani imepokea rasmi ndege kutoka Qatar itakayotumika kama Air Force One

    Sasa ni rasmi na hiyo ndege itakuwa retrofitted kabla haijaanza kutumika kumsafirisha Rais. Marekani imepokea ndege iliyokusudiwa kwa ajili ya msafara wa Air Force One kutoka Qatar — zawadi ambayo imezua ukosoaji mkubwa, hata kutoka kwa baadhi ya wafuasi wakubwa wa Rais Donald Trump. “Waziri...
  5. JamiiForums Tanzania Kama ulizila hizi pipi enzi kwa utotoni na bado umeganda tu hapo kwenu, hutaki kutoka upewe kesi ya uhaini

    Wakuu, kama mada inavyojieleza, kuna wamba, huwezi kuamini licha ya umri kwenda bado tu wameng’ang’ana makwao wakigombea vijiko na wadogo zao. Kuna mwamba mmoja huyo, kwao zipo za kutosha. Wazazi wake walijaribu kumpushi wakampa na mtaji wa kuuza magari, wakamwambia atoke nyumba akajitafutie...
  6. JamiiForums Tanzania MOI yapokea msaada wa endoscope kutoka Cure International

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepokea msaada wa darubini ya kisasa 'endoscope' ya upasuaji wa ubongo na mgongo kutoka kwa Shirika la Kimataifa la Cure International Limited, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha huduma za afya katika taasisi hiyo. Akizungumza wakati wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali zuia Taasisi za Serikali kununua IT Specialist na Apps kutoka KENYA

    Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk. Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa. Anyway tumevuliwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kutoka kuwa mtumishi wa umma na kuingia Jeshini (JWTZ)?

    Habari ze wanaJF, Naomba kuuliza je ukishakuwa mtumishi wa umma na una CHQ number, je inawezekana kuomba nafasi za kujitolea kwenye jeshi la ulinzi na usalama na ukachaguliwa. Kwa story nilizoziskia ni kwamba hata ukichaguliwa baadae watakuchuja kwa sababu tayari unakuwa una CHQ number so...
  9. JamiiForums Tanzania Upo umuhimu wa kutambua washiriki wa mikutano ya CHADEMA kwa sasa inawezekana wamejaa wanaharakati kutoka Kenya

    Vyombo vya Ulinzi visionee aibu hawa nyang'au ambao wanajidai wanajua Kingereza huku kichwani ni empty head. Kama jana waliweza kusafirishwa kwa Wingi kuja kisutu bila shaka watakuja sana au wanakuja sana kwenye mikutano inayoendelea. Kamwe wasiruhusiwe kuchafua amani na kumwaga damu Tanzania.
  10. JamiiForums Tanzania Raha ya wageni kutoka Dalisalamu

    Kuna ukarimu fulani wa kiafrika... Mgeni anapewa heshima kubwa sana.. Kwa baadhi ya makabila mgeni kama ni mwanaume hupewa na mlimbwende kabisa amtoe baridi... Ila sijui kuhusu wageni wa like wanapewa nini🤣 Kuna mwaka Rais Bush wa Marekani alipokuja Tanganyika Dalisalamu barabara zote...
  11. JamiiForums Tanzania KITAA INTELEJENSIA: Wanaoongoza kula wake za watu.

    1: Doctors 2: Marafiki wa mitandaoni 3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao 4: Boda Boda 5: Boss wake kazini 6: Garden boys 7: Graduate alieko kitaa muda wote 8: Mfanyakazi mwenzio 9: Mpangaji mwenzio/Jirani 10: Wachungaji/Manabii feki/Mashehe ubwabwa 11: Wauzaji dukani
  12. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  13. JamiiForums Tanzania Je unajutia muda wako uliopoteza kukesha vibanda umiza kwaajil ya kazi za watu hawa Alka Yagnik na Kumar Sanu? Wakali wa masong makali kutoka india

    Alka Yagnik na Kumar Sanu ni waimbaji wawili maarufu wa India waliotawala muziki wa filamu za Kihindi (Bollywood) hasa katika miaka ya 1990 hadi 2000. Sauti zao zenye hisia na ushirikiano wao na watunzi mashuhuri kama Nadeem-Shravan, Jatin-Lalit, na Anu Malik ziliwafanya kuwa sauti kuu za nyimbo...
  14. JamiiForums Tanzania Safari Yangu Kutoka Tabora Kuja Kupata Master’s Degree yenye Global Relevance – A Transformational Academic Journey

    Mimi ni mmoja wa wale ambao waliamini kwamba elimu ni mlango wa mabadiliko. Leo hii nimesimama kama mtu mwenye Master’s Degree kutoka University of California, Berkeley, moja ya vyuo vikongwe na vinavyoheshimika zaidi duniani. Lakini safari yangu haikuwa laini. Ilijaa milima na mabonde – lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Kuepuka usumbufu, nakushauri usitume pesa kutoka Tigo/Yas kwenda mitandao mingine kuanzia saa 12 jioni. Be informed

    Yani tangu Tigo iwe yasi kuna mambo mengi ya kukera lakini kubwa zaidi ni changamoto ya kutuma pesa kutoka Tigo kwenda mitandao mingine has ikifika usiku. Imagine unatuma pesa, kisha wanakwambia usubiri masaa 72 ndio utapata majibu kama pesa itarudi au itafika kwa mhusika. So kujiepusha na...
  16. JamiiForums Tanzania Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

    Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
  17. JamiiForums Tanzania Mwenye maswali ya research problem na research design, interview za utumishi na kwingineko naomba tuyaweke hapa tusaidiane na tushee experience

    Naombeni tusaidiane katika hili jamani ili tuweze kujipanga na Saili za sehemu Mbalimbali
  18. JamiiForums Tanzania Fuatilia ibada ya uzinduzi wa Pope Leo XIV kutoka Vatican kwa link hii hapa

    https://www.youtube.com/live/jE6G8dBC6Hc?si=9somVYCO5gxYAzyS Waliopo:- Viongozi wa ngazi za juu wa Kanisa Katoliki: Makardinali, Maaskofu, na viongozi wengine wa kidini kutoka sehemu mbalimbali duniani. * Wawakilishi wa serikali mbalimbali: Marais kama VP JD Vance (USA), Zelenskyy (Ukraine)...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli tata kutoka kwa "Mwananzengo"

    Anamaanisha anachosema? Amevunja sheria? Kauli yake inaashiria nini? Kama nimemwelewa, anasema waliomwua Magufuli ni Samia na Kikwete! Amemaanisha nini hasa?
  20. JamiiForums Tanzania Kwa anaye hitaji kitu chochote kutoka Dar kimfikie alipo

    Wapendwa Habarini!! Leo nipo mbele yenu kwa wote ambao mpo mikoani na mnauhitaji wa bidhaa au mzigo wowote kama (Sim, electronics parts eg tv/redio, spare parts za magari na n.k) chakufanya wasasiliana nami utapata gharama zote za mzigo unao uhitaji mbaka pale ulipo kwa uaminifu mkubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…