Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
Naombeni msaada wenu wazee nimeshinda pesa 8m kampuni ya 1win naona inagoma kutoka aisee mods naombeni huu Uzi usihamishwe kokote nahitaji kupata msaada aisee
KUTOKA JAMES NGUGI HADI NGUGI WA THIONG’O
TOFAUTI YA ‘’JAMES’’ NA ‘’THIONG’O’’
Wengi wa kizazi kile ambacho Ngugi alianza kuandika tulimfahamu kwa jina la James Ngugi. Inawezekana sana wengi kati yetu kila wakisikia jina hili Ngugi linawakumbusha siku zao miaka mingi iliyopita walipokuwa...
📆 Mei 29, 2025 Jioni...
Nilikuwa nimetulia chumbani kwangu Huku niki-scroll Tu Instagram — boom! Nikakutana na post Kumuhusu:
"John D. Rockefeller Yenye mkusanyiko Wa barua 38 kwa mwanae kuhusu mafanikio. Hizi barua Niliandikwa Kwa sentence fupi fupi Tu
Sikupoteza muda... Nikaamua...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa haijapokea barua yoyote ya malalamiko kutoka kwa klabu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC wala NBC Championship hadi sasa. Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Habari wa Bodi hiyo, Karim Boimanda, ambaye amesema kuwa hata klabu ya Singida Black...
Kwa elimu yetu ya kibongo na shule zetu za st kayumba ambazo mara nyingi ukute shule Haina mabechi ya kutosha,mara madarasa hayatoshi,mara wazazi wachangie Hera za mitihani na kuanda report sijui km mtoto wa darasa la kwanza anaweza kujibu swali Hilo hapo.
Nakumba Mzee jomo kenyata aliwa kusema sisi ni maiti,kilikuwa ni kipindi cha utawala wa Nyerere,
Ni kauli katika makuzi yangu nilikuwa siipendi hata kuisikia,baada ya kupata ufahamu akili na uwezo wa kuchambua mambo nikaona kama kuna ka ukweli vile
Lakini mwaka huu nimejiridhisha na kujikubali...
Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake wana jf popote mlipo.
Rejea mada tajwa hapo juu.
Taifa kwanza Mengine badae wakuu.
Mambo yamekuwa mengi kwa muda mchache katika Taifa letu, bila kujali itikadi zetu za vyama, tufanye nini ili taifa letu kutoka katika mkwamo huu...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh...
Najua humu Kuna wajuzi wengi sana waliohudumu na wanaohudumu serikalini na maeneo mengine, in fact, wakurugenzi pia wapo humu hivyo Nina Imani hoja yangu itapata mashiko na msaada wa kutosha.
Inashangaza kuikuta shule Haina photocopy machine Wala printer. Haina meza nzuri Wala viti. Swali langu...
Wadau niko na mattress natak iende tanga niko mombasa vip naweza kusafiri nayoo sio mpya ni ya kitamboo kidogo jeee nafanyajeee ifike tanga nikawape ndugu zangu ni godoro la 5 ×6
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
Watumwa wengi kutoka Tanganyika na Afrika Mashariki walipelekwa Uarabuni na Afrika Magharibi walipelekwa Marekani kusini na kazkazini kama mnavyoona hapa chini
Mama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes.
Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake...
Shikamooni wakubwa,
Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.
Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.
Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea...
CHADEMA HAILETI WANAHARAKATI KUTOKA NJE, LHRC NDIO INAWALETEA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA
Katika mkutano uliojaa msisimko wa kisiasa uliofanyika leo Mei 23, 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuhusu tuhuma...
Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa.
01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa)
02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute.
03.kwenye maisha Kuna...
Ndg zangu Watanzania,
Hivi mmesikia maajabu ya Ubia (PPP) yanayotokea kule Bandarini?!!
Mmesikia leo kutoa mzigo Bandarini ni siku tatu tu wala sio siku kumi (10) tena?!!
Lakini sihivyo tu kwani hamjasikia leo meli hazichukui tena siku 46 ili kutia nanga Bandarini badala yake zinachukua...
Ukimsikiliza vema mtaalam hapo chini, utagundua anasema Kenya is far better kwenye Democracy kuliko Tanzania ambayo ipo kwenye dictatorship.
Ki international Diplomacy ….hii haijakaa sawa…. He is literally insulting and questioning democracy ya Serikali ya Tanzania. Kama Taifa, kuna mahali...