Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
Tarehe Mei 28 hadi Juni 2, 1982 itakumbukwa kwa Papa John Poul II, kuwa Papa wa kwanza wa Kanisa Katoliki kutembelea taifa la Uingereza tangu mgawanyiko wa Reformation 1530, uliosababisha kuundwa kwa Kanisa la Anglikana, yaani Church of England.
Mojawapo ya matukio muhimu katika ziara hiyo...
Hodii humu ndani !
Kama kichwa Cha habari hapo juu kinajieleza, ikiwa upo humu na huenda unawaza Kama Mimi unahitaji upate mme Basi karibu Sana.
Umri wangu 35 Elimu degree moja, nimejiajiri
Hela ya matumizi ya kawaida ipo uwezo was kupanga nyumba nzima upo kusomesha watoto na kumtunza mama yao...
Karibu Sunbank Ujipatie Mabati kwa bei rafiki .
Tupo na Aina zifuatazo za Mabati
Tupo na Aina zifuatazo za Mabati.
1. Gloss ( Mtelezo )
2. Rich tile
3. Ridge /Valley
4. Matte (Chenga chenga )
Call +255 675 335 081
Bei zetu
Location :- DSM-Banda la ngozi karibu na...
In Tanzania, the right to legal representation is enshrined in various laws and constitutional provisions, and the courts have emphasized its importance in ensuring a fair trial. Any denial of this right, especially if it prejudices the accused, can have serious legal consequences.
Denying an...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh...
WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima.
Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
Trump Kufikiria Kuongeza Nchi 36 Katika Orodha ya Marufuku ya Kusafiri, Ikiwemo Nchi za Afrika na Karibiani – Ripoti
Utawala wa Donald Trump unafikiria kuweka vikwazo vya usafiri kwa nchi nyingine 36, kulingana na waraka uliosainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ambao...
Hivi unajua kwamba mamlaka ya mapato wanaweza kukuongezea Kodi?
Kitaalamu hii inaitwa Tax Jeopardy.
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kupelekea ukafanyiwa Tax Jeopardy mfano;
1. Unashindwa kujifanyia self assessment.
Hapa mamlaka ya mapato wanaamua kukukadiria wao wenyewe.
2. Unachelewa sana ku...
Wakati wa kukopa mnaliita
DENI LA TAIFA (Mnatuhusisha)
Mkizipata tu, wakati wa kuzitumia hizo fedha za mkopo mnatuondoa, mnaziita ni fedha za MAMA!!
Daraja kajenga Mama, Shule Kajenga Mama, Mradi Wa Maji Kaleta Mama, Barabara Mama, Hadi Derby Fedha Za Goli La Mama.
Kwenye marejesho...
Rais Samia akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025.
https://www.youtube.com/live/TgN_32Yqzlo?si=JWFkm-rF1pIErqq9
====
Rais Samia ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa Dodoma yenye urefu wa...
Usiku wa jana umethibitisha tena kile ambacho wachache wamekuwa wakikisema kwa sauti ya chini: Israel huweka kambi zake za kijeshi kama Kambi ya Rabin katikati ya maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu ndani ya jiji la Tel Aviv. Cha kushangaza, hakuna mjadala wa kitaifa kuhusu kuhamishwa kwa...
Karibu Sana ofisini kwetu ujipatie Mabati bora na ya kisasa kutoka Sunbank.
Tupo na aina zifuatazo za Mabati
1. Gloss ( Mtelezo )
2. Rich tile
3.Ridge /Valley
4. Matte (Chenga chenga )
Karibuni sana bei zetu ni rafiki Sana
Mawasiliano +255 786 017 371 Normal call and WhatsApp
Location...
Kwa heshima kubwa sana, napenda kutoa kilio hiki kama mzazi wa mtoto mdogo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Victoria - Makumbusho. Kwa kweli moyo wangu unaniuma, na najikuta nikiwa na maswali mengi ambayo hayana majibu.
Kwanza kabisa, tunatambua na kuthamini juhudi za serikali yetu...
Nimekuwa nikikutana na madereva na wamiliki wa magari wanaotofautiana sana kwenye maelezo ya "Full Service ya gari." Fundi mmoja ananiambia ni kubadilisha oil tu, mwingine anasisitiza plugs, filters, brakes na mengine mengi ya ndani. Sasa swali langu kwa wataalamu na wenye uzoefu:
🔧 Full Service...
Katika jambo la kushangaza vijana wengi waliohitimu chuo Cha taifa Cha utalii wamekua na kilio kisichoisha kwani kila Ajira zinapotangazwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wao kupata kazi imekua ngumu.. kwani mfumo wa Ajira (Ajira portal) unawakataa na hii imekuwa kilio Cha wazazi walio wengi...
Barua ya jana ya TFF ilijieleza vizuri kuwa Yanga wapeleke mtaalamu leo saa Nne ,kuna majibu yoyote ? Au ni Agenda ya kututoa kwenye mijadala ya Msingi.
🔧 HUDUMA ZETU ZINAHUSISHA:
✅ Matengenezo ya simu aina zote (Android & iPhone)
✅ Kurekebisha simu zilizoharibika au kuzimika ghafla
✅ Kuflash simu ili kurekebisha matatizo ya mfumo (software)
✅ Kuondoa iCloud kwenye iPhone kwa usalama
✅ Kurekebisha na kubadilisha skrini zilizopasuka
✅...
GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000
Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.