kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mamlaka za usimamizi wa usafiri wa abiria kutoka Moshi mjini kwenda wilaya jirani mko wapi abiria wananyanyasika

    Habari za muda huu wakuu?? Jumamosi ya tarehe 5/7/2025 nilisafiri kuelekea mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai mjini wa Bomang'ombe. Nilifika Moshi mjini majira ya saa Moja usiku. Pale stendi ndogo nilikuta magari machache ya abiria yanayoelekea maeneo mbalimbali ya jirani. Gari za kuelekea...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuoa binti kutoka family friend?

    NAULIZA JE NI SAHIHI MIMI KUOA BINTI KUTOKA KWA FAMILIA YENYE UKARIBU NASI? Wajomba na mamshangazi habari ya Asubuhi, naomba niende moja kwa moja...!! Mimi nimezaliwa na Kuishi Dar ila nina asili ya Mwanza, familia yangu imekuwa na uhusiano mkubwa na familia flani tangu mwaka 2010 yaan...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Luis Enrique na Antonio Conte ndio makocha Bora duniani kwa Sasa wanaoweza kumbadilisha mchezaji kutoka chini na kuwa bora sio Fahdu Davis

    Timu nzuri inajengwa na kocha sio wingi wa mastaa, kocha ndio anajua taaluma yake inahitaji wachezaji wa aina gani, PSG iliwahi kujaza mastaa kibao na haikuwahi kufanya vizuri kama PSG hii yenye wachezaji wawili TU wanaojulikana sana Dembele na Hakeem. Wachezaji kama akina Vitinha alikuwepo...
  4. JamiiForums Tanzania POTOSHI Wananchi wakichimba barabara ni kutoka maandamano ya Kenya 2025

  5. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo Wewe ni Mtani wangu kutoka Singida, ila kwa 'Upuuzi' kama huu ndiyo maana huwa Nakudharau na siiamini 'Doctorate' yako kabisa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema vyombo vya habari nchini havipaswi kuwa neutral (kutokuwa na upande), bali viwe objective yaani kuwa na misimamo yenye msingi wa ukweli na uchambuzi makini. Amesema hayo Julai 8, 2025 jijini Dar es...
  6. JamiiForums Tanzania Je, huu ni ushauri Bora au ni ushauri TAKATAKA hasa kutoka kwa Mzazi / Wazazi kwenda kwa Watoto?

  7. JamiiForums Tanzania Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

    https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0 General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao. Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Kibaha-Visiga Km1 kutoka Moro road

    Kiwanja Kinauzwa Kibaha-Visiga(Kwa daladala Unashuka Kwa kipofu au madafu kwani kipo Kati ya vituo hivyo viwili. Eneo la kiwanja ni Mita za mraba 408, Huduma zote muhimu zipo kama maji,Umeme, shule ya serikali na private zipo karibu na eneo. Bei ni milion 3.7 Mawasiliano:SIM no.0658500812
  9. JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna ngozi nyeusi yoyote duniani atakaekubali kutoka kama alivyoingia.

    Hata masikini wa kijijini kwake waliokuwa wanalalamika kurubuniwa huduma tena watakuwa wanamsimanga utafikiri wanamcheka kwa nini hakuiwaibia vya kutosha. MENTALLITY ⚡⚡
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Kibaha-Visiga Km 1 kutoka Moro road

    Kiwanja Chenye eneo la Mita za mraba 408 Kinauzwa sh.Milioni 3.7 Kipo Visiga madafu(Kwa usafiri wa daradara Unashuka Kwa kipofu au madafu Kwani eneo lipo Kati ya vituo hvyo viwili) ,umbali wa km 1 kutoka Barbara kuu (Moro road). Huduma za msingi zipo kama vile maji ya DAWASCO,Umeme,Shule ya...
  11. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei : sh 18,000/= kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Contact/Mawasiliano: 0784 829565...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tanzania Mpaka Uwaziri Sweden, Kiswahili Ndicho Kimebeba Safari Yake

    Katika shamrashamra za maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika jijini Stockholm, Sweden, mgeni rasmi, Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri wa zamani wa Usawa na Jinsia nchini Sweden, ametoa hotuba kwa lugha ya Kiswahili fasaha na yenye mvuto. Mhe. Nyamko, mwenye asili ya Jamhuri...
  13. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kutoka waamuzi wa Misri walioamua mechi ya derby

    Kumbe waamuzi wetu wengi ni wapuliza filimbi sio waamuzi. Waamuzi wetu wanapuliza filimbi nyingi sana kuliko inavyosrahili. Waamuzi wa Misri wametuonyesha kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa kutumia nguvu, hivyo sio Kila msukumano wa wachezaji unahitaji filimbi. Filimbi nyingi zinazalisha timu...
  14. JamiiForums Tanzania Nimebadili jina kutoka Bheka hadi kua Adiya ili kuondoa sintofahamu

    Habari zenu Watanzania wenzangu, Mwanzoni wakati najiunga na Jamii Forum nilitumia jina la Bheka jina hili lenye asili ya Kizulu lenye maana ya Ulinzi lakini watu wa humu wakalibadili na kuniita Bakari nilikwazika kwa kuharibiwa jina na maana na pia kupewa jinsia isiyo yangu, haya sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa vijana, kutoka kwa Binti kiziwi

    Kwa vijana ambao ndio mnatafuta maisha basi hakikisha usitafute mwanamke wa kujenga naye maisha, tafuta maisha yako mwenyewe ukipata omba Mungu au shirikisha mizimu na ushirikishe akili upate mwanamke wa kujenga naye familia.
  16. JamiiForums Tanzania Usijichanganye kuoa ama kuishi na mwanamke kutoka sengerema -Mwanza

    Kama wewe huwajui vzr wanawake wa kisengerema asee usioe nini shida ni hivi Siku mkigombana afu wewe ukatoka jua ukirudi unakuta chumba cheupeeee mweee😁😁 Wanaroga sana wanaume safari za waganga haziishi. Ugomvi kidogo anakimbilia kwao au kwa mwenyekiti utasikia unpigiwa simu baba fulani...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nini Kimesababisha Watia nia ya Ubunge CCM kushuka kwa idadi kutoka 10,000 za Mwaka 2020 hadi 4,000 za mwaka huu?

    Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, CCM mwaka 2020. Mwaka huu wamefika 4,109 pekee. Nini kimejili? Sababu zinaweza kuwa; 1. Kukosekana mvuto kwa CCM, 2. Rushwa kutamalaki, 3. Kanuni za kura za maoni kutokuwa rafiki kwa Watia nia, 4. Na kadhalika.
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kauli za Rais Samia zilizokosa uzalendo

    1.Kifo ni kifo tu. 2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse. 3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe. 4.Utekaji ni drama za wapinzani. 5.Katiba ni kijitabu tu. 6.Kula urefu wa kamba yako ila usivimbewe. Ongezea kauli za Rais Samia...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba elimu hii kutoka RITA

    Nawafanyia watu (natuma) maombi ya vyeti vya kuzaliwa online. Nikiwapa fomu wakienda ofisi za RITA wanapewa cheti lakini huku kwenye mfumo hakuna mabadiliko yoyote yanayoonekana Ni kwa nini?
  20. JamiiForums Tanzania Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika mpaka Ulaya lakini hakuna wazo la kujenga daraja

    Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika kwenda Ulaya lakini hakuna aliyependrkeza wazo la kujenga daraja. Wakati tunaelewa Ulaya inapata malighafi nyingi kutoka Afrika na pia inapata wafanyakazi vijana kwa ujira mdogo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…