kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Halotel, VodaCom na Yas wapata masafa ya 5G kutoka mnada wa TCRA

    ikumbukwe mnamo tarehe 10 julai 2025 ilifanya mnada wa kugawa masafa ya 5G( 3600- 3800 mhz ) kwa watoa huduma za mawasiliano ya simu, na watoa huduma wote watatu walifanikiwa kushinda kupata masafa hayo ya 3600- 3800 mhz ambayo yanawezesha mawasiliano ya kasi ukilinganisha na vizazi vya...
  2. JamiiForums Tanzania RECORD: Umasikini wa chakula umepungua kutoka 21.6% hadi 8.0%hii inamaanisha kwenye kila watanzania 100 ni 8 tu ndio wanashida ya mlokamili

    Umasikini wa chakula umepungua kutoka 21.6% hadi 8.0%hii inamaanisha kwenye kila watanzania 100 ni 8 tu ndio wanashida ya mlokamili tunaposema CCM na Rais Samia wanachapa kazi muwe mnatuelewa,Benki ya Dunia sio CCM. Hata kama mnapiga kelele ila mfahamu umasikini wa msosi Tanzania kwa mujibu wa...
  3. JamiiForums Tanzania RECORD: Majengo ya huduma kwa wagonjwa wa dharula kama ajali, kujifungua yameongezeka kutoka majengo7 mpaka majengo 125 ndani ya miaka minne

    === Rais Samia ameongeza hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura ( EMD) kutoka 7 mwaka 2020 hadi 128 mwaka 2025. Aidha, Kukamilika kwa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za dharura kumepunguza vifo na kuokoa maisha kwa wagonjwa wa dharura hasa wa ajali na Wajawazito bila kujali...
  4. JamiiForums Tanzania Jopo la wawekezaji kutoka India kufungua fursa za kiuchumi Zanzibar

    JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA KUFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI ZANZIBAR
  5. JamiiForums Tanzania RECORD: Madaktari bingwa wameongezeka kutoka 5 hadi 2,369 ongezeko la mara 464 wakati bajeti imeongezeka kutoka TZS900bn hadi TZS1.6Trilioni 2025|26

    Rais Samia Suluhu katika kujenga msingi wa shabaha ya Dira2050 inayotaka Watanzania wenye afya na furaha, na umri wa kuishi wa wastani wa miaka 75, Kwa upande wa kumpiga vita adui Maradhi, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya kupigwa mshale hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake

    Ni Swahaba nani ambaye Mtume(saw) alirudisha jicho lake baada ya kujeruhiwa katika vita vya Uhud? Huyu ni Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya jicho lake kupigwa mshale katika vita vya Uhud, hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake...
  7. JamiiForums Tanzania Kutoka Ubalozi hadi mkimbizi wa kisiasa: Rekodi nyingine mpya ya Polepole

    Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili 1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili 2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62...
  8. JamiiForums Tanzania Ni tabia gani huipendi kutoka kwa mpenzi wako lakini huwezi kumwambia?

    Wakuu! Nimetulia zangu hapa ufukweni nikakumbuka tukio moja la ajabu, lakini la kweli kabisa. 🌊😌 Mara nyingi kuna mambo madogo ambayo yanatuudhi kimya kimya… lakini hatuwezi kusema. Labda kwa sababu tunaogopa kumuumiza au tunajua "hawezi kubadilika". Rafiki yangu mmoja aliwahi kumuacha...
  9. J

    JamiiForums Tanzania CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi 2,464

    ILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa chini ya Rais Samia...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Mashuka ya cotton kutoka Thailand

    Habari wapendwa! 🖐️ Nina mashuka bora za kisasa kutoka Thailand, zinazotengenezwa kwa cotton ya ubora wa juu. Aina za mashuka na bei: 1. Thailand Bed Sheet Size: 7/8 Shuka: 2 Foronya: 4 Bei: TZS 27,000 2. Shuka Nyeupe zenye Mistari Shuka: 2 Foronya: 4 Bei: TZS 30,000 3. Shuka Pazia...
  11. JamiiForums Tanzania Zingatia haya machache kutoka kwa babu

    Mwanangu, Kwenye maisha, si kila mlango unahitaji kugongwa, si kila siri unapaswa kuijua, na si kila ukaribu una maana ya kwamba una ruhusa ya kuvuka mipaka. Heshimu mipaka ya watu. Kuna watu hawapendi kuulizwa maswali ya faragha. Kuna wengine hujificha nyuma ya tabasamu, na si kwa sababu...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Mafanikio yaliyopatikana kwa Tanzania kutoka nchini Cuba tangia Polepole awe Balozi au lolote la maana alilolifanya huko

    Nasubiria kuyasoma hapa hayo Mafanikio. Asanteni.
  13. JamiiForums Tanzania Tamisemi/wizara ya elimu: wathibiti ubora wa shule wateuliwe kutoka miongoni mwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu, kuboresha zaidi ufundishaji/ujifunzaji

    Wakufunzi ndio wanaokesha na mbinu za ufundishaji na ujifunzaji mavyuoni ndiyo wanaojua mbinu gani zitumike ili kuboresha Elimu yetu, ni vema wakatufata pia mashuleni wanatukagua wao kama walimu wa ualimu. Hivyo basi ni vema hii Kaz ya uthibiti UBORA wa shule iwe chini ya wakufunzi isimamiwe na...
  14. JamiiForums Tanzania Mbinu za kimafanikio kwa wafanyabiashara wadogo; Maarifa niliyoyapata kutoka China

    Ndugu zangu wafanyabiashara wadogo na wa kati. Katika pitapita zangu za mara kwa mara nchini China nchi ambayo ni epicenter ya ubunifu wa kiuchumi na biashara nimefanya research nyingi sana, nikiwa na nia ya kujifunza, kuchambua na kutathmini mbinu zao za mafanikio. Nacho nimejifunza ni hiki...
  15. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Zimebaki khanga 5. Bei: sh 18,000/= Kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Contact/Mawasiliano...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri binafsi kusafiri kutoka Ngara kwenda Dar es Salaam

    Nahitaji usafiri wa gari binafsi kutoka Ngara Kagera kwenda Dar es Salaam. Nasafiri mimi na mke wangu Natamani usafiri uwe Jumatano au Alhamis. Nitachangia nauli.
  17. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

    Kampuni ya JAYRUTTY imeshinda tenda ya zabuni ya utengenezaji na usambazaji wa jezi za Simba SC. Klabu ya Simba imesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Bilioni 38,120,400,000 na Kampuni ya JAYRUTTY kwa ajili ya kutengeneza na kusambaza jezi na vifaa vyenye nembo ya Simba. Kampuni ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke Bilionea pekee kutoka Tanzania

    Late Tanzanian billionaire Mercy Anne Shangali Mengi was born a Princess of Shangali dynasty, daughter of King (Mangi) Abdiel Shangali of Machame, Kilimanjaro region , Chagga people of Tanzania. Her brother was the late King (Mangi) Gilead Abdiel Shangali In 1971 she married late Reginald...
  19. JamiiForums Tanzania Status ya wabunge waliohama kutoka CDM kwenda CCM

    Wadau tupeni updates za wabunge waliotoka CDM kwenda CCM hasa wale walionunuliwa kipindi cha Magufuli. 1.David Ernest Silinde-Momba 2.Patrobas Katambi-Shinyanga Mjini 3.Mwita Waitara-Tarime Vijijini 4.Godwin mollel-Siha 5 .Ester Bulaya-Bunda 6 Ester Matiko-Tarime Mjini 7.Upendo Peneza-Geita...
  20. JamiiForums Tanzania Mamlaka za usimamizi wa usafiri wa abiria kutoka Moshi mjini kwenda wilaya jirani mko wapi abiria wananyanyasika

    Habari za muda huu wakuu?? Jumamosi ya tarehe 5/7/2025 nilisafiri kuelekea mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai mjini wa Bomang'ombe. Nilifika Moshi mjini majira ya saa Moja usiku. Pale stendi ndogo nilikuta magari machache ya abiria yanayoelekea maeneo mbalimbali ya jirani. Gari za kuelekea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…