kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je Magufuli aliwafanya wanamtandao kutoka kuwa wanasiasa hadi kuwa genge?

    Newtons 3rd law of motion inasema To every action there is an equal and opposite reaction. Kwenye kila kani kuna Kani mbadala inayolingana nayo. Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Humphrey Polepole ni kuwa kundi analodai ni la Wanamtandao lilikuwepo tangu 1995 hadi sasa inasemekana lipo...
  2. JamiiForums Tanzania Kutoka democracy kwenda theocracy ndio jawabu la matatizo ya binadamu

    KUTOKA DEMOKRASIA HADI THEOKRASIA MPITO WA KIUNGU UMEFUNULIWA NA KIONGOZI OLUMBA OLUMBA OBU “Zamani ya utawala wa mwanadamu imekwisha. Theokrasia, serikali ya moja kwa moja ya Mungu, sasa imetawazwa juu ya mataifa yote.” Kiongozi Olumba Olumba Obu Demokrasia ni Nini? Mfumo wa serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Tanga ni chimbo la CCM lakini hakuna cha maana kitu kutoka CCM

    Nimegundua kitu kimoja muhimu. Mikoa yote ambayo CCM imetamalaki majimbo yote kwa 100%, sio kipaumbele cha serikali kwenye kupeleka na kumaliza miradi ya maendeleo kulinganisha na mikoa ambayo wapinzani wameshika baadhi ya majimbo ya mikoa hiyo. Mifano ni mingi sana. Kwanini imekuwa hivyo?
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Bila Agent - Hatua kwa Hatua (2025 Blueprint)

    Unataka kuanzisha biashara lakini huna mtaji mkubwa? Au umekuwa ukitafuta wauzaji wa jumla wenye bei nafuu bila mafanikio? Basi fahamu hili: China ndio mahali pa bidhaa bora kwa bei ya chini kabisa. Na unaweza kuagiza mwenyewe, bila kupitia agent wala kulizwa. 👇 Hizi ndizo hatua za msingi...
  5. JamiiForums Tanzania Nikiripoti kutoka viwanja vya Nanenane Mbeya. Huu ni ujumbe wangu kwa mlioa?

    Uzi TAYARI. #YNWA #YANGA_BINGWA
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

    Nipo natoka safari kutoka dom kwenda dar nimekutana na mjumbe kutoka kigoma,anasema Baba levo kwa kura alizopata baba levo tofauti ya 80+ alimwaga pesa sio chini ya bilioni moja point mbili. Nimekubaliana na mjumbe maana kwa zile kula ukizngatia ni mgeni CCM kweli alipambana kwa kuhonga hizo...
  7. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais nitabadilisha jina la fedha kutoka Shillingi na kuitwa Tanzanite

    Shilling ni jina la coin iliyokuwa ikitumika huko England tokea miaka ya 1550's mpaka ilipotamatika mwaka 1990 ni wazi ukiondoa ukoloni hatuna connection yeyote na jina hili shilingi Shiling imekua detached kwetu na haiko deep-rooted, ila Tanzanite ni madini yanayopatikana Tanzania pekee yake...
  8. JamiiForums Tanzania Umeshawahi Kukwama Barabarani Kwa Sababu ya Spare Part? Hebu Tueleze – Kisha Jifunze Kutoka Jerry Spare Parts and Services!

    Umeshawahi Kukwama Barabarani Kwa Sababu ya Spare Part? Hebu Tueleze – Kisha Jifunze Kutoka Jerry Spare Parts and Services! Kuna wakati mwingine tunatoka safari ndefu au hata safari za kila siku, halafu ghafla gari linakataa kuwaka au linazima katikati ya barabara. Unapofungua bonnet au kufika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania RC Mboni Mhita: MKoa wa Shinyanga Uzalishaji wa mazao umeongezeka hadi Tani 1,500,000 kutoka Tani 900,000

    Katika sekta ya kilimo, mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na kuongezeka kwa skimu za umwagiliaji kutoka 2 mwaka 2020 hadi 15 mwaka 2025 katika wilaya za Shinyanga, Kahama, Msalala na Kishapu. Upatikanaji wa mbolea ya ruzuku umeongezeka kutoka tani 9,870,000 hadi tani 23,223,000, huku matumizi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenye changamoto za TRA, barua kutoka TRA na mambo ya Kodi - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania wanahamishwa kizembe sana kutoka kwenye mambo na mijadala ya msingi ya Kitaifa

    Watanzania, tusiwe watu wa kushangilia kila kelele inayopigwa mbele yetu. Si kila anayepaza sauti anapigania mabadiliko. Wengine wanapiga kelele ili kuua kelele nyingine. Wengine ni kama mabuzi wa porini wanaolia ili simba asisikike. Mbinu ya Kumtumia Polepole ni njia ya kuua mjadala ya kitaifa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania RC Mboni Mhita: Shinyanga na Kahama zimekusanya TZS 540bn kutoka kwenye madini

    TUWE WA KWELI, HIVI NI NANI ANGEWEZA HAYA? Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia kuanzia Machi 2021 hadi Aprili 2025, Mikoa ya Shinyanga na Kahama ambayo ni Mikoa ya kimadini imeweza kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 540.17. Kwa mwaka wa fedha 2024/2025 hadi kufikia Aprili 2025...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa tunaojitafuta: Mke anaweza kutoka kijijini akaletwa Mjini, Lakini Gari… Lazima litoke Japan!

    Habari za weekend wakuu. Maneno yasiwe mengi. Kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Unaweza kumtoa mwanamke kijijini ukamleta mjini, hatasumbua sana, maisha yataenda. Lakini, gari lazima litoke Japan. Namaanisha lazima liwe Japanese. Yaani liwe Toyota, Subaru, Nissan, Honda, et al. Achana...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Kailima: Kutumia Mabango ya Kampeni lazima upate idhini kutoka Tume au Wasimamizi wa Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema, "Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila abanwa mbavu na Wajumbe CCM, wakumbusha ahadi ya ujenzi wa ukingo wa Mto Gide

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ubungo, wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wamehoji kwa sauti moja hatua za Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Profesa Kitila Mkumbo, kuhusu utekelezaji wa ahadi zake mbalimbali ikiwamo ujenzi wa ukingo wa Mto Gide ambao...
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salaam za Shukrani 🙏 Kutoka kwa Habibu Mchange

    Salaam za Shukrani 🙏 Kwa unyenyekevu mkubwa, mimi Habibu Mchange ninakishukuru Chama changu cha Mapinduzi kwa kunipitisha kuwa miongoni mwa majina sita yaliyopendekezwa—ambapo mmoja wetu, ikimpendeza Mungu, atakuwa mwakilishi wa wananchi wa Kigamboni kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Moyo...
  17. JamiiForums Tanzania Viashiria muhimu vya kifedha kutoka kwenye taarifa ya kifedha ya CRDB kwa robo ya pili ya mwaka 2025 (Q2 2025) - Unaudited Financial Statements)

    ■ Faida baada ya kodi (Q2 2025): TZS 346 Bilioni, ikilinganishwa na TZS 275 Bilioni kwa Q2 2024. 📈 Imeongezeka kwa 26% – hii inaonyesha ukuaji mzuri wa faida ya kampuni. ■ Interest Income (Mapato yanayotakana na riba za mikopo) Yameongezeka hadi TZS 904 Bilioni kwa nusu ya mwaka (Jan-Jun 2025)...
  18. JamiiForums Tanzania Huenda waha wa Kigoma wakamshukuru Rais Samia kwa miaka mingi ijayo hii SGR ya kutoka Tabora hadi Kigoma ni nani angeijenga kwa pesa nyingi namna hii

    https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
  19. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waliotimkia CCM kutoka CHADEMA 'kundi la wabunge 19' wametoboa mchujo wa kamati kuu CCM

    Wabunge wa Viti Maalum 13 kutoka 'Kundi la Wabunge 19' waliofukuzwa CHADEMA mwaka 2020 ambao walitangaza kujitosa CCM na kuomba nafasi za kuteuliwa ubunge na ubunge wa viti maalum katika uchaguzi mkuu 2025 wamepitishwa kwenye mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya swallat adhuhuri: Naomba Mnisaidie kuyajua Majina ya watoto wa Adam kutoka kwenye quran

    Jioni hii wakati natafakari na kuiskma quran kuna kitu kimenichanganya kidogo na kunipa ukakasi ndio maana nimekuja mbele yenu mnapenda majibu. Vifungu vingi vinasema kuhusi uumbaji mzuri wa Allah kwa namna alivyomuumba Adam mfano: 1. (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika, “Hakika Mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…