kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nilivyokunywa maji yaliyokamuliwa kutoka kwenye chupi ya mwanamke

    Habari ya leo wakuu...? Sijawahi fikiri na kuwaza kama ntakuja kuangukia kwenye penzi lililopelekea kupewa maji yaliyokamuliwa kutoka kwenye chupi kwakupitia mdomo wa mwanamke. Nilikua naishi mwenyewe kwa mda mrefu bila mahusiano yoyote yale yani nilikua nanunua wanawake ili kukidhi haja...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania pamoja na nchi nyingine 8 imepokea msaada wa $10.8m kutoka TDF and the World Bank Group

    Mfuko wa Biashara na Maendeleo (TDF) na Group ya Benki ya Dunia wameingia makubaliano matano ya msaada yenye thamani ya dola milioni 10.8 kwa ajili ya programu ya ASCENT. Programu hii itatoa mifumo ya kupikia safi na nishati ya jua kwa zaidi ya 350,000 kwa watu milioni 1.8 katika nchi nane za...
  3. JamiiForums Tanzania Hii taarifa kwamba Malkia anakunywa maji kutoka Marekani imekaaje?

    Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka Marekani. Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??) Eti...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Inawezekana kuwa ni visasi, maana kila idara wamewekana wao kutoka Zanzibar

    Soma hata picha tu utajua kuwa kuna makaburi mtajua kuanzia mapinduzi na utawala wa marehemu mkapa. Ile siku anashika embe dodo nilishangaa kwenda omani kuona wajomba alafu leo mnashangaa kuona maovu ambayo mlisahau historia ndefu sana ambayo ni ngumu kwa watanganyika. mlipo mnakazi kazi ngumi...
  5. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wimbo huu unaitwa "Amani hakuna" umeimbwa na mtanzania Mkiza Soul, mume wa Cherry

  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Namleta kwenu msanii chipukizi kutoka Kimara Gaza

    Kipaji chipukizi kutoka Kimara "Maisha yetu ni kuteswa, kutekwa na Samia kashika mamlaka"
  7. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya taarifa ya CNN kutoka, serikali ilishwandwa nini kualika mara moja vyombo vya habari vifike kwenye eneo linalodaiwa kuwepo kaburi la pamoja?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na mpaka sasa sipati majibu kwani nilitarajia kuona serikali inaalika vyombo vya habari vya ndani na nje mara tu baada ya taarifa ile ya CNN kutoka Tukumbuke, kuzika watu wengi kwenye kaburi la pamoja, ndio tuhuma kubwa na mbaya kuliko zote iwapo itathibitika kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Watalii ni wengi sana, serikali ijitahidi kuongeza angalau ndege 2 mpya za direct route kutoka major destinations

    Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani https://dailynews.co.tz/tourism-boom-fuels-air-travel-surge/
  9. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Tume ya ndani ianze halafu Tume kutoka nje zitafuata

    Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume Huru ya Uchunguzi iliyoundwa itaanza kazi na Tume nyingine kutoka nje ya nchi zitakapokuja kwa ajili ya Uchunguzi zitaikuta Tume yetu ikiendelea. *** Ni kama kuna shinikizo fulani, vinginevyo angesema hatuhitaji tume yeyote kutoka nje. Pia Soma: Rais...
  10. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Waandishi wa Habari: CCM Yatangaza Taarifa Muhimu Kutoka Makao Makuu - 19 Novemba 2025

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanya mkutano maalum na waandishi wa habari utakaofanyika Jumatano, tarehe 19 Novemba 2025, katika Makao Makuu ya CCM, kuanzia saa 5:00 asubuhi. Mkutano huu ni sehemu ya jitihada za chama kutoa taarifa kwa umma, kufafanua masuala muhimu ya kisera, na...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Jaji Mohammed Chande Othman: Ajiuzuru kutoka katika Tume feki!

    Umekuwa Jaji Mkuu ambaye angalau Watanzania walikuwa na imani katika utendaji wako. Ulipewa heshima unayostahili na kwa kiasi fulani uliilinda. Samia anataka kukutumia ili usafishe maovu yake na damu za raia alizomwaga kwa sababu ya uroho wa madaraka! Usikubali! Mikono ya Samia imejaa damu za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM idhibiti makada wake hasa kutoka UVCCM wanaofanya press conference zinazokiharibia zaidi chama kwa wakati huu

    Anachokiongea huyu Muhsin Ussi ni upumbavu mtupu kwa wakati huu tuliopo. Hii haimsaidii Rais Samia zaidi ya kuongeza hasira kwa wananchi. Yeye Muhsin anavyosema atashughulika na watakaomkwamisha Rais ni kwa kutumia mamlaka yapi aliyo nayo? Yeye ni chombo cha dola? Muhsin ajue hata wanaCCM wengi...
  14. JamiiForums Tanzania SOMA: Ujumbe Kutoka Zanzibar Kuelekea Dec. 9. 2025

    Mimi niko Zanzibar, huku hali ni mbaya kuliko hata bara, hakuna utaliii Zanzibar tokea vurugu zianze bara na sababu ni hii, hakuna wataliii wanaotokaga makwao kuja TZ kwa ajili ya kwenda Zanzibar, huwa wanakuja kwa ajili ya kwenda mbuga za Wanyama then Zanzibar huwa wanamalizia ku relax beach...
  15. JamiiForums Tanzania Hatutaki maridhiano yoyote na huu utawala batili tarehe 09 tunatoka

    Baada ya kutoa amri ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu 10+ huku watu zaidi ya 23000 wakiwa hawajulikani walipo leo anataka maridhiano! Maridhiano ya wauawaji?? Big No!! Eti kaua yeye halafu anataka kufanya uchunguzi yaani ajichunguze yeye!! 1. Amekwepa kuomba radhi kwa ukatili uliofanywa na...
  16. JamiiForums Tanzania Mnaogopa Maandamano kisa Mnatakiwa kutoka kila siku ili mle kuweni na AIBU

    GT Kuna mambo yanashangaza sana lakini inaonekana hata waandishi wa habari wetu ni vichwa maji contents kama hizo wala siyo za kuweka public. Tafsiri ya wewe utoke kila siku ndiyo ule ni kwamba wewe siyo masikini tu bali kapuku kabisa. Hawa wanaosema hivyo wanatakiwa wawe mstari wa mbele kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi za Ulaya na Marekani na Nchi Rafiki zitatoa angalizo kwa Wananchi wao wanaopanga kwenda Tanzania kufanya Utalii kuelekea DEC 9

    Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake. Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29!!. DEC 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
  18. JamiiForums Tanzania Hatupendi kutoka, lakini tutabakije ndani salama?

    Hii ya kutufuata watu ambao hatujatoka majumbani na kutuua inatusikitisha Sana. Tunajiuliza siku nyingine ikitokea tufanyeje? Maana hata tukibaki nyumbani tunajua watatufuata tu hivyo hatutakuwa salama. Serikali hili la kufuata watu majumbani ni kosa kubwa Sana wakati mwingine watu tutaogopa...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kubadilisha cheti changu kuzaliwa pamoja na baadhi ya herufi za majina yangu na mama yangu

    Habari wakuu, Poleni na msiba wa kitaifa tunaoendelea kuuomboleza. Moja kwa moja nijikite kwenye mada husika kwa kuwaomba msaada wa mawazo na ushauri kwa ujumla. Mimi nina cheti cha kuzaliwa lakini cheti changu ni cha zamani sana kimetoka tangu mwaka 1988. Katika cheti changu jina langu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…