kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tujifunze Kutoka Libya

    My people, 15 - February -2011 Benghazi, Libya Ghasia zilianza rasmi baada ya Utawala wa Muammar Gaddafi kumkamata mwanasheria anayejulikana kwa jina la Fathi Terbil ambaye alikuwa mtetezi wa haki za binadamu Baada ya wananchi kujua hilo tukio walikasirishwa sana,na hapo ndipo Maandamano...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanzo dot org na Shangazi Power project wanapokea fedha kutokaFord Foundation

    Nimejaribu kutafuta facts baada ya kuona kuna barua za mtandaoni zikionesha Wanaharakati wanavyopokea fedha kuharibu amani nchini. nilichokutana nacho ni hiki hapa chini....Inatisha sana..... Our grants |Awarded grants |Grants database For support for the Shangazi Power project for...
  3. JamiiForums Tanzania Barua ya kiingereza kutoka Polisi Makao Makuu, imelia

    Imagine hii ndo barua iliyotolewa na polisi makao makuu kuhusu hali ya ndani ya nchi. Ndo maana tunasema tusomeshe watoto wetu shule nzuri na wasome elimu kuliko hizo aibu za kutojua lugha za watu. Haya ndo madhara ya kuajiri watu waliopata zero form 4 Barua imetoka makao makuu ambapo ndo roho...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia za kudai haki kutoka kwa watawala zipo nne(4) kati ya hizo mbili (2) ndio pekee tu

    Wajumbe sina mengi moja kwa moja kwenye mada 1.Maandamano ya amani yasiyo koma ambayo mpaka sasa haya wezekani ,kwa kuwa JESHI LA WANANCHI, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA hawapo upande wa haki .Wapo kumlinda mtawala. Kufanikiwa katika hili ni asilimia ndogo sana 2.Jeshi la wananchi (jwtz)...
  5. JamiiForums Tanzania Kutoka mtatoka tu maandamano yapo

    Kila tarehe zinazopangwa kumbukeni mnatumia pesa za kujilinda ili msitoke madarakani. Hapo hapo uchumi unasimama kwa muda kuogopa maandamano. Hakuna balozi, kampuni wala serikali ambazo zitaweza kufanya kazi maana tarehe ikitolewa mnasimamisha kazi.
  6. JamiiForums Tanzania Kikosi cha tano cha walinzi wa amani kutoka Tanzania kuendeleza operesheni DRC

    Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
  7. JamiiForums Tanzania Kutoka “Shithole” hadi “Takataka”: ubaguzi wa rangi dhidi ya wahamiaji wa Afrika nchini Marekani wazidi

    Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea hamu yake ya kuwarudisha “walikotoka”. Baadaye alizidisha kauli hii, akiwaambia waandishi wa habari...
  8. JamiiForums Tanzania Denza B5 kutoka BYD inakuja kumchallenge Toyota Prado!

    Mchina mjanja, anaangalia kitu mnachokipenda, hafu analeta alternative kwa bei nafuu. Recently BYD wamezindua Denza B5 SUV ambayo ukiiangalia tu unajua ametarget market gani. Hii ni Luxury 4WD SUV yenye 1.5L turbo hybrid engine, na electric motors mbili na battery la 31 kWh ambalo utaweza...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuadhimisha miaka 64 ya uhuru wa Tanganyika tukiwa LOCKDOWN ni ishara tosha hakuna uhuru, tunabinyana tu kulinda maslahi yenu

    Nina uchungu nalia hakika Leo hii angekuwepo Nyerere Angelia mara mia ya Mimi. Kitendo Cha kusherekea uhuru wa miaka 64 paspo kwa kufungiwa ndani ni UPUMBAVU wa Hali ya juu mno. Tunajiuliza tunapumzika Ili iweje? Nauliza Kuna maana Gani ya uhuru ENDAPO tunaazimisha siku muhimu kama Leo paspo...
  10. I

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maelekezo kutoka juu, internet inazimwa saa saba kamili mchana

    Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
  11. JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Tanzania: Kutoka fahari hadi sintofahamu

    Kwa miongo kadhaa, Tanzania imejengwa na kutambulika kama moja ya shule bora za diplomasia barani Afrika. Kuanzia harakati za ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika, ushiriki thabiti katika Umoja wa Mataifa, hadi kusimama kama taifa lisilofungamana na upande, Tanzania iliweka alama yake...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama kweli Serikali imedhamiria pasiwe na maandamano D9 njia bora ni kupiga marufuku ya kutoka Siku hiyo kwa masaa muhimu

    Hamjambo Wakuu. 1. Ni vizuri kama kweli inania watu wasiandamane Siku ya tarehe 9 basi ni muhimu kutangaza mapema kabisa; 2. Kwamba Tarehe 9 watu wakae ndani. Kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 6 mchana. 3. Kisha waingie ndani majumbani kuanzia saa 11 jioni wasitoke kabisa 4. Viongozi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kwanza wa Niffer baada ya kutoka gerezani

    Baada ya kuachiwa huru mapema Jumatano, kufuatia uamuzi wa DPP kufuta mashtaka yake, mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu Jenifer Jovin (26) “Niffer” amerejea kwa nguvu mpya na ujumbe mzito uliowagusa maelfu ya wafuasi wake. Katika video aliyoipakia akiwa ndani ya msikiti, Niffer alionekana...
  14. JamiiForums Tanzania Wimbo mwingine wa ukombozi kutoka kwa Malkia wa nyimbo za Injili Rose Muhando linaitwa Achia.

    Rose Muhando alikuwa mbele ya muda. Ukisikiliza hili jimbo na kwa yanayo endelea nchini shetani anaye zungumziwa humu ni rahisi sana kumjua na Rose Muhando anasisitiza shetani aachie kila kitu katika nchi yetu. Ukiachana na lile jimbo la vibe ya maandamano la makomborero linalotamba kwa sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Kutoka KIA mpaka Arusha mjini hakuna Trafiki, kulikoni?

    Nimepita Arusha kuelekea kanda ya ziwa, kuanzia pale KIA (Kilimanjaro International Airport) mpaka nimefika Arusha town hakuna trafiki barabarani. Zaidi ya kukutana na barrier za Wanajeshi pale Kikatiti na hapa Monduli. Tena wanajeshi ni wengi sana kuanzia hapo Tengeru mpaka mjini. Hakuna cha...
  16. JamiiForums Tanzania LIVE Yanayojiri Kutoka Ukumbi wa Nyerere

    Hapa tutapeana yanayojiri ukumbini Nini matarajio yako? Viongozi wa dini wafanya sala za ufunguzi akiwemo Mwamposa Mkuu wa Mkoa anatoa salamu na kutambulisha wageni Mwenyekiti wa wazee wa Dasalamu anaongea utumbo hadi AIBU Anarudia porojo zilezile za Mwigulu kuhusu miundombinu kuharibika
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu, hivi kuna magari ya kutoka Mbezi mpaka Mbagala moja Kwa moja?

    Naombeni msaada Kuna margari ya kutoka mbezi mwisho mpaka mbagara Moja Kwa moja na nauli yake Bei Gani wakuu
  18. JamiiForums Tanzania Waambieni MAJAJI kesi ya LISSU kuwa, Wameamuliwa na Mungu kabla ya Dec 1 wawe wameshatoa Tarehe ya kesi kuendelea kusikilizwa!

    Mh LISSU hataki Kupendelewa Wala Kuonewa, ndio Sababu Licha ya Ofa zote mnazompelekea amegoma kuwasailiti Wananchi. Huyo ni MTU wa aina gan? Je Msimamo huo wa Kimungu hautoshi Kuwashtua Majaji ?. Sasa nikiwa Katika Usingizi, Mungu alinichukua na kunipeleka katika Kikao Cha Malaika ,kikao...
  19. JamiiForums Tanzania MAKALA YA NANE “JKT: Injini ya Kujitegemea- Kutoka Ardhi, Viwanda Hadi Mawazo

    Ndugu zangu, Hakuna taifa kubwa duniani lililojengwa kwa kutegemea huruma ya mataifa mengine. Hakuna taifa lililotukuka kwa kuamini kuwa uchumi wake unaweza kuendeshwa na wachache wanaotafuta faida binafsi. Taifa hujengwa na watu wake, kwa jasho, kwa maarifa, na kwa nidhamu ya uzalendo. Hapa...
  20. JamiiForums Tanzania Kuuliza SI ujinga, mwanahenzi Suluhu Hassa ni mdogo wa Rais Samia Suluhu Hassani?au Samia aliolewa kutoka Kwa Mzee Awadhi?

    Kuuliza sio ujinga, Huyu Mwanahenzi saluhu Hassani aliyeteuliwa nafasi ya ubunge vijana, kutoka zanzibari kuingia Bara ni mdogo wa Rais wetu mpendwa? Au ni miongoni mwa watoto WA Rais ila alimzaa kwa mume mwingine aitwae Suluhu hassani? Kuuliza SI ujinga naomba kuelemishwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…