kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Meli zilizobeba silaha kutoka DUBAI zashambuliwa Yemen

    Saudia imezishambulia meli 2 za Falme za Kiarabu zilizokuwa zimebeba silaha za kivita kwa ajili ya kugawia waasi ili wauwe watu wasiokuwa na hatia huko Yemen. Inaonekana hawa DUBAI wao maslahi mbele uhai wa watu nyuma. ===== The Coalition to Support Legitimacy in Yemen on Tuesday said it...
  2. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ujumbe katika picha ya Lissu, Samia na Mahakama kutoka Kwa bondia Hassan Mwikinyo

    Bondia Mwikinyo Jana katika Pambano lake dhidi ya Mnigeria (jina nimelisahau) alivaa t-shirt yenye ujumbe mzito katika picha 1. Samia kuwa kifuani, mbele Ina tafsiri ni mtu aliyejiweka mbele na kuweka upinzani nyuma, akikandamiza haki, na kufanya mauaji ili abaki madarakani 2. Lissu kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake, Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano mapema raundi ya pili

    Wadau hivi hili pambano la mwakinyo ni kweli au kiini macho?
  4. JamiiForums Tanzania Nimebarikiwa na mahubiri kutoka kwa mtumishi wa Mungu Dr. Alex G. Malasusa

    Namuona Mungu akinena ndani ya kinywa cha mtumishi wake Dr. Malasusa, hakika nimeponywa nafsi nimeuona utume wa Mungu ndani ya Malasusa. Ee! Mungu wetu Asante kwa kutuletea mtumishi huyu. Malasusa anasimama pamoja na watumishi wa Mungu wote wenye mapenzi mema na mioyo ya watanzania mfano wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa jiji lenye watu wengi hadi kuwa ghost city kwa leo

    Leo jijini Mwanza kumekuwa kama ghost city yaani hakuna watu kbs na baadhi ya maeneo machache tu ndo utakuta watu. Sikutegemea kuona hili yaani jiji zama limetulia limepigwa baridi kinoma polisi wamejazana kila pahala. Maduka mengi yamefungwa jiji letu halikuwa hivi asee . NB: sikupiga picha...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msikilize chawa kutoka kanisani

    Askofu mmoja amesema kuwa KKKT inasemwa vibaya. Msikilize huyu chawa kutoka Kanisani Kanisa limepatwa
  7. JamiiForums Tanzania Kutoka Ikulu ndogo ya Chato mpaka Ikulu ndogo ya Tunguu

    Siku hizi Rais Samia anaenda Ikulu ya Chamwino iliyopi Dodoma mara moja kama kupokea wageni na kurudi zake siku hiyohiyo Ikulu ndogo Tunguu iliyopo Zanzibar. Zamani sio sana tulikuwa na Ikulu ndogo ya Chato, bwana yule angeweza kukaa kule hata zaidi ya mwezi na hata nyakati fulani alimuapisha...
  8. JamiiForums Tanzania Watu waliopiga kura milioni 31 wameshindwa hata ku-view nyimbo za wasanii wao SISI

    “Watu waliopiga kura milioni 31 wameshindwa hata ku-view nyimbo za wasanii wao 😂😂 Demokrasia online imegoma kufanya kazi 🤣” WE NANI ANA NAMBA ZA MAMA AMPIGIE KUNA WATU WANAVIPAJI VYA KUCHEKESHA AENDE AKECHEKESHE SISI WANANCH TUKATISHIWA NYAU ETI KOSA SI KOSA WAKASEMA TUWAACHE SI TUKAWAACHA...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani wamepiga ban drones zote kutoka “nje” ya nchi yao!

    Vita ya kiuchumi kati ya USA na China inazidi kupamba moto. Baada ya kuweka vikwazo vingi kwenye magari ya umeme (EV) kutoka China, sasa panga limekuja kwenye drones. Federal Communication Commission (FCC) wametoa tamko kwamba unmanned aircraft systems (UAS) na components zake zote kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. AshaRose Migiro kutoka Naibu Katibu UN hadi kuwa katibu wa CCM ya wauaji; anaishije na aibu hii?

    Kwa mtazamo wangu. Huyu binti anachoangalia ni pesa anayopata bila kujali njia anayotumia kuzipata. Asha Rose Migiro miongoni mwa waanzilishi wa Tanzania Gender Network Program (TGNP) akaja baadaye kupata teuzi enzi za Kikwete na hata kufikia kupata nafasi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mwamba aliwahi kuandika uzi humu kuwa alipewa utajiri na majini kutoka uajemi na akasema wahindi wanakitabu cha namna ya kuwatumikisha watu weusi

    Jamaa mjanja sana baada ya huo uzi hajawaahi tena kuonekana na hicho kitabu hakuwahi kukisema, 😂😂 Jf is a mystery sometimes
  12. R

    JamiiForums Tanzania Serious note ya Godbless Lema juu ya mapungufu ya taaluma, utaalamu, uzembe, elimu ndogo, UONGO ndani ya mifumo ya VYOMBO vya Usalama wa Taifa

    Anaandika Godbless J Lema TAARIFA ZA UONGO NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA. Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi waliopinga uchaguzi Meya feki wa Arusha Mjini. Tukio hilo liliacha majeraha makubwa katika mioyo ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Neno la Mwaka 2026 kutoka kwa Asofu Gwajima

    Wakuu, Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa Neno ni kutoka Matendo 27:25 "Basi wanaume changamkeni kwa sababu namwamini Mungu ya Kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa"
  14. JamiiForums Tanzania Kutoka Gereza la Ukonga: Barua ya Tundu Lissu kwa Watanzania. Afafanua maana na athari nchi kuwa "banned" au kuwekewa "International restrictions"

    Watanzania, hamjambo mimi Tundu Lissu nawandikieni kuwapasha hizi habari za "Ban" toka Jumuiya za Kimataifa na mataifa rafiki kwa Tanzania Ipo hivi katika nyanja za diplomasia neno "ban" inatokana na maana ya kawaida ya "kukataza rasmi" (to prohibit officially), na katika diplomasia hutumika...
  15. JamiiForums Tanzania RIwaya: Elise Wangu Kutoka Belgium

    Mwandishi: Murrah. Inapopatikana: Kahawa Time application ya simulizi inapatikana playstore kwa watumiaji wa android na app store kwa watumiaji wote wa (Iphone) Hii Hadithi imekamilika tayari katika application ya kahawa time.. kwa wale wanaopenda simulizi moto moto hii na nyingine zaidi kama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya maandamano imeisha, Serikali tafadhalini sana msituzuie kutoka nje Christmas 25D kama mlichofanya D9.

    Katika sikukuu ya Krismasi, familia nyingi hupata fursa ya kipekee, mara moja tu kwa mwaka, kutoka nje na kukutana na ndugu pamoja na marafiki katika mikusanyiko ya kusherehekea na kufurahia sikukuu hiyo. Litakuwa jambo la kusikitisha sana iwapo tutasikia serikali ikisalimu amri kwa vitisho...
  17. JamiiForums Tanzania Tamasha la mkesha wa uzinduzi AFCON: Nimefurahi hakuna Msanii hata mmoja kutoka Tanzania

    AFCON Kick Off Concert, ni tamasha la kuelekea mkesha wa Ufunguzi wa AFCON ambapo limepangwa kufanyika Jumamosi hii kuanzia Saa 12:00 Jioni mpaka Saa 6:00 Usiku huko Morocco Wasanii rasmi ambao wamealikwa kupafomu tamasha hilo wapo, French Montana, Davido, Says Z, Douaa Lahyaoui na Lartiste...
  18. JamiiForums Tanzania ICPC yapokea malalamiko kutoka Aliko Dangote dhidi ya CEO wa NMDPRA

    Tume huru ya kuzuia rushwa na makosa mengine yanayohusiana (ICPC) inapenda kuthibitisha kuwa leo jumanne tarehe 16 desemba, 2025 imepokea rasmi malalamiko (petition) kutoka kwa alhaji aliko dangote kupitia wakili wake. malalamiko hayo yanamlenga mtendaji mkuu (CEO) wa nmdpra, Alhaji Farouk Ahmed...
  19. JamiiForums Tanzania Shutuma kutoka kwa Mzee wa Kizanzibari kuhusiana na vijana wa Kizanzibari kuzidisha anasa za mapenzi zinazovuka mipaka zina ukweli?

    Shutuma hii inawapa watu wengi maswali wakijiuliza anasa kwa vijana wa Kizanzibari imekithiri kwa kiwango gani hata kufikia kupeleka malalamiko mitandaoni Je haya yasemwayo ni kweli vijana wa Kizanzibari wanayafanya? Binafsi nawachukulia vijana wa kizanzibari kama watu wapole na wanyeyekevu...
  20. JamiiForums Tanzania Tujifunze Kutoka Libya

    My people, 15 - February -2011 Benghazi, Libya Ghasia zilianza rasmi baada ya Utawala wa Muammar Gaddafi kumkamata mwanasheria anayejulikana kwa jina la Fathi Terbil ambaye alikuwa mtetezi wa haki za binadamu Baada ya wananchi kujua hilo tukio walikasirishwa sana,na hapo ndipo Maandamano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…