kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

    Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Karibu katika jarida la Uchumi Wetu toleo la tatu kutoka BOT

    Jarida hili litakuelimisha na kukupatia taarifa mbalimbali zinazohusu masuala ya uchumi na sekta ya fedha nchini, hususani yale yanayoratibiwa na kusimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania kwa mujibu wa sheria. Katika toleo hili, utapata taarifa kwa kina kuhusu shughuli na majukumu ya Benki Kuu Ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tukubali tumezidiwa tujifunze kutoka Kenya

    Tukubali tumeziwa tujifunze kutoka Kenya. Badala ya kuweka ushindani usio na sababu na majirani zetu na ndugu zetu wa Kenya kama taifa tungenufaika kwa kujifunza mazuri na kuacha mabaya badala ya kijidanganya kwamba tumewazidi. kuna mambo machache ya kujifunza 1. Katiba Mpya: Kenya pamoja na...
  4. JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenye uhitaji huduma za kodi TRA, barua kutoka TRA na mambo yote ya Kodi

    Karibu Leo, Linda na kuza biashara yako nasi.⚖️ Huduma zetu ⚖️ 1. Ushauri WA kodi ✓ Kufanya makadirio ya 2026 ( January -March) ✓kutuma return za PAYE, SDL, VAT na WHT ( January - December) ✓ Ukaguzi WA kodi ✓ kufanya mapingamizi ya KODI ✓ kusajili VAT 2. Huduma nyinginezo ✓ leseni za biashara...
  5. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 5 Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Mawasiliano: 0784 829565 @radhiyastore...
  6. JamiiForums Tanzania Mauzo ya kutoka nje ya Tanzania yameongezeka

    Mauzo na UTU
  7. L

    JamiiForums Tanzania Afrika haipaswi kufanya chaguo chini ya shinikizo kutoka kwa nchi kubwa

  8. N

    JamiiForums Tanzania Fundisho kutoka Iran

    Vyombo vya dola , naomba jifunze kutoka Iran, Mwanzo maandamano yalikuwa ya amani , wakaachwa wiki nzima yakiwa salama, Nilianza kulalamika kuwa Iran wanaanza kuwa wazembe , Baadae maandamano yakaanza na fujo kidogo kidogo na loeo yamesambaa nchi nzima majimbo 110 wakati kabla iyalikuwa...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Waajemi wanakaribia kujikomboa kutoka utawala wa wahuni wa Kiarabu

    Wakati waandamanaji wakijitokeza mitaani kila usiku nchini Iran, viongozi kutoka maeneo mbalimbali duniani wanakutana na hali ya kutokujua ikiwa Jamhuri ya Kiislamu inaweza kuangushwa — tukio muhimu ambalo litabadilisha siasa za kimataifa na masoko ya nishati. Utawala wa Kiongozi Mkuu Ayatollah...
  10. JamiiForums Tanzania Majirani zako ni watu wa namna gani?

    Jirani kama jirani ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku hasa hasa kama ikitokea mkawa mnaelewana vizuri. Mnaweza kushirikiana katika shida na raha, wakati mwingine jirani yako anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko hata ndugu yako wa damu. Pamoja na yote hayo wakati mwingine inaweza...
  11. JamiiForums Tanzania JamiiForums tegemeeni tamko kutoka kwa Makonda muda sio mrefu.

    Ni suala la muda tu , makonda anakuja kutoa tamko kuhusu jamiiforums. Tutegemee zaidi uhuru wa habari ukiminywa chini ya uongozi wake.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kichaa Trump kajitoa mashirika ya UN, akija mwingine say kutoka Democrats, anayarudisha!

    Let us wait and see baada ya miaka 3 iliyobaki ya Trump!
  13. JamiiForums Tanzania Polisi wa doria mitandaoni, mlikuwa wapi wakati Wachina wanakwapua Bl 6 kutoka kwenye Akaunti za watu?

    Ilinishangaza kidogo wale wanaojiita Polisi wanaofanya doria mitandaoni walishindwa kabisa kujua hili wachina juzi walifikishwa mahakamani wakidaiwa kukutwa na minoti kwenye masandarusi huko MASAKI tena kwa washua kabisa. inadaiwa wachina hao walikuwa wakiiba pesa toka kwenye ATM usiku yaani...
  14. JamiiForums Tanzania Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika-survive kwa saa 48 zijazo kutoka sasa. Polisi wamegoma kupokea orders

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa. Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC. Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Mawasiliano: 0784 829565 @radhiyastore @prathrealestate...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Poppy H, ni mtu mwenye bahati sana kutibiwa hospitali Ile na kutoka salama

    Salaam! Kuna hospitali moja hapa mjini, hospitali hii hutibu watu special,wenye nguvu, Kuna baadhi wamewahi kuifananiasha hospitali hii na nyumba ya kuhifadhia wafu, sababu kuu ni kuwa, wachache sana waliingia humo kutibiwa wakiwa hai, hawakurudi wakiwa hai,bali wamekufa. Pongezi zimwendee...
  17. JamiiForums Tanzania Salamu za mwaka mpya (2026) kutoka kwa askofu Mwanamapinduzi kwa watanzania akiwa ukimbizini

    Ndugu zangu Watanzania! Mvua ya Haki na Amani toka kwa Mungu wa Mbinguni iwe nanyi! Ashukuriwe Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka mpya. Kwani siyo jambo rahisi kwetu sisi Watanzania tuliobaki. Maana tumeshuhudia maelfu ya wenzetu wakiuawa, kutekwa na hawajulikani walipo huko wengine wako...
  18. JamiiForums Tanzania TRC yatangaza ratiba mpya za SGR kutoka Dar-Dodoma

    SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza ratiba ya safari za treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuanzia leo, Januari 3, 2026. Hatua hiyo inakuja baada ya shirika hilo kusitisha kwa siku chache safari zake ili kuepusha athari ambazo zingeweza kusababishwa na mvua zinazoendelea...
  19. JamiiForums Tanzania Ungepewa nafasi ukutane na mtu mmoja kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani?

    Nasoma Comment! Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
  20. JamiiForums Tanzania Kuna mada inasema ukiweza kutoka kwenye sayari,nyota ukatafuta mwisho unaweza usipate na kama umepata mwisho wake umerudi nyuma

    Wanasayansi kujikita zaidi kwenye quantum technology za hesabau mpaka sasa kwenye nyota yetu solar system tumefikisha sayari zaidi ya 5900 na zengine zikiendelea kutambuliwa . Hii yote ni mapinduzi ya hesabu na teknolojia ambazo wagunduzi wamechangia. Kuna kitu mpaka sasa kina wapa maulizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…