kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vita vya Mini Van (MPV) kutoka Japan: Ipi ni chaguo lako?

    Kuna wapenzi wa mini vans kwa matumizi ya familia, biashara (private/special hire) au misele mjini. Hizi nyingi zina seat 7 kwa configuration ya 2 + 3 + 2, na milango mitano. Ni spacious, kwa abiria na zina boot kubwa kwa mizigo. Pia zinakua na nguvu ya kutosha kabisa kuhandle uzito wa abiria...
  2. JamiiForums Tanzania Kero ya Moshi kwenye ofisi yangu kutoka kwenye jiko la chips na mishikaki.

    Habar wandugu..... Pemben na ofisi yangu imeanzishwa biashara ya kuchoma nyama na chips, naomben njia ya kukwepana na kero ya mosh kutoka kwenye majiko.
  3. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  4. JamiiForums Tanzania Nauza Samaki Aina zote Kutoka Ziwan Tanganyika, fresh fish (Wenye Bucha za Samaki)

    Aina za Samaki Sangara. Kg 1 Tsh 10,000 Kuhe. Kg 1 Tsh 11,000 Sato. Kg 1. Tsh. 9,000 Migebuka Kg 1. Tsh 8,000 Nungi. Kg 1. Tsh 8,000 Kungura. Kg 1. Tsh 8,000 Singa. Kg 1. Tsh 7,000 Napatikana Sumbawanga. (Usafr Juu yako Mteja) Name: Silvester...
  5. JamiiForums Tanzania Mafwele amendelea kutuhumiwa na utekaji

    Kutoka na ripoti na Kwa taarifa za kuaminik zisizo na mashaka kutoka BBC afisa wa juu wa jeshi la "Mafwele" ameendelea kutuhumiwa na utekaji
  6. JamiiForums Tanzania Khanga nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Kiongozi wa Upinzani Guinea-Bissau apata uhuru kutoka gerezani

    Kiongozi wa upinzani nchini Guinea-Bissau, Domingos Simoes Pereira, ameachiwa huru kutoka gerezani baada ya kukaa mahabusu kwa miezi kadhaa. Alikuwa mmoja wa wanasiasa waandamizi waliokamatwa na jeshi baada ya kuchukua madaraka mwezi Novemba, kwa mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Rais Umaro...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke anahitaji nini kutoka kwa Mwanaume?

    Mtafiti mmoja alinunua kitabu chenye kichwa "Wanawake Wanahitaji Nini?" Akakutana na vitu 2.000, Akatabasamu, Kisha akakichoma. Kwa nini? Kwa sababu katika asili, Jike halina orodha ya vitu linavyovihitaji. Ndege, Wanyama, Viumbe wote wa jamii ya kike huwa hawachagui kwa huruma au kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kama unaujua mpira vizuri, historia na positioning, ebu chagua viungo watatu bora kutoka katika picha hii

    Hao waliosimama ni lothar mathaus na dunga Mimi: Mathaus Keane Makelele
  10. JamiiForums Tanzania R Kelly kutoka Gerezani mwaka 2045

    Unaambiwa Mwanamuziki wa RnB R Kelly anatazamiwa kuachiliwa huru kutoka gerezani Disemba 21 mwaka 2045 na wakati huo atakuwa na umri wa miaka 78! Mwaka 2021, R Kelly alihukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kutiwa hatiani kwa makosa 9 ikiwemo mashtaka ya unyanyasaji wa kingono...
  11. JamiiForums Tanzania Safari ya Moteswa: Kutoka Kwenye Ndoa Hadi Kuwa Madada poa

    Disemba moja baada ya kuchapika sana hapa mjini nilienda kijijini kwetu Songea. Nikiwa huku nikakutana na pisi moja inaitwa MOTESWA. Nilidata sana basi nikaanza kumfukuzia mchumba na hatimaye akaja kwenye mfumo. Basi nikaona sio mbaya kumuoa, iliwekwa mikakati ya ndoa hatimaye nikamuoa kipenzi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Dawa za nguvu za kiume kutoka "sanitarium clinicks", ni tiba ya kweli?

    Habari wana jf? Hivi karibuni kumekuwa na utitiri WA DAWA za kuongeza nguvu za kiume HASA kwenye hizi "SANITARIUM CLINICKS", mpaka nachanganyikiwa kujua DAWA ipi inasaidia na DAWA Gani ni feki. Nimekuwa na tatizo Hilo Kwa mwezi Sasa na nilienda lupimo sanitarium clinic, wakanipa sawa zao...
  13. JamiiForums Tanzania Ni online platforms gani zinaweza kutusaidia kupata wawekezaji kutoka nje ?

    Ndugu zangu heri ya mwaka, Leo nina ombi moja, maana najua humu kuna watu wanajua mambo mengi na wana exposure kubwa za kimataifa. Naomba kwa mwenye idea anisaidie, je ni online platform gani ambayo nikiwekeza muda na hata pesa (kama ni ya kulipia) naweza kupata wawekezaji katika sekta...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

    Hello guys Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika. Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza. Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation. Siongezi maneno but within...
  15. JamiiForums Tanzania FT | Al Ahly 2-0 Yanga SC | CAF Champions League | Borg El Arab Stadium | Jan 23, 2026

    AL Ahly vs Yanga Leo Saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki Afrika itasimama yote kupisha mtanange mkubwa zaidi kati ya Al Ahly SC na Yanga SC Kaa nami katika Uzi huu kwa update zaidi Kikosi kazi dhidi ya Al Ahly #cafcl #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko Mpira umeanza Dakika ya 14...
  16. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Mstaafu Kikwete alipoomba aachwe apumzike

    Hii ilikuwa mwaka 2016 wakati wa zama za JPM ila kwasasa ni kama anaomba aendelee na madaraka!! Nini kimemkuta mstaafu JK?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Jeep Wrangler kutoka kwa watanzania waishio Oman

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea ufunguo wa gari aina ya Jeep Wrangler kutoka kwa Khalid Al Barwani lililotumika katika ziara ya Watanzania waishio nchini Oman, ya kuunga mkono juhudi za kiongozi huyo kutangaza utalii wa Tanzania duniani kupitia filamu ya “Tanzania: The Royal...
  18. JamiiForums Tanzania Safari ya kutoka Ushirombo Bukombe kwenda Meatu

    Tafadhari 🙏wana JamiiForums, naomba kuelekezwa njia kufika Meatu nikiwa natokea Ushirombo Bukombe DC
  19. JamiiForums Tanzania Zanzibar wanashindwa Kuvuta Maji kutoka Dar km 67 tu? Wanakazana kujenga Misikiti

    Yaani Zanzibar wanatunywesha maji ya Chumvi kama Wanyama(Ng'ombe) Kutoka Dar (Tanzania bara) hadi Kisiwani si mbali. Wanasiasa wa Zanzibar wanachoweza ni kuzalisha Janjaweed wa kuua watu wanaoandamana bara kupinga tume ya Uchaguzi. Shame on you! Akili zao eti zinawatuma kujenga daraja la...
  20. JamiiForums Tanzania Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

    Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…