kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo bila kuchelewa?

    Habarini za leo wakuu, Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum. Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila...
  2. Chimala: Basi la Isamilo lapata ajali, linadaiwa kusababisha vifo 3

    Nimesikia taarifa ya ajali ya Basi la Kampuni ya Isamilo kutoka kwa kanda ya Ziwa kwenda Mkoani Mbeya majira ya kati ya saa Tisa na saa kumi alfajiri baada ya kupita kidogo Chimala. Iasemekana kuna vifo vya watu 3 akiwemo katoto kadogo, hatuji chanzo cha ajali lakini najiuliza hawa madereva...
  3. Nawezaje kupokea hela kutoka nje ya nchi bila kuwa na akaunti ya Benki?

    Hey guys ! I hope mko powa,mm sipo pow sana afya yangu inamgogoro kidogo God is good all the time nitakaa sawa Nina rafiki yangu yupo UK alikuwa anataka kunitumia pesa kidogo akaniuliza una account ya bank nikamwambia sina,akaniuliza kama kuna namna nyingine ya kutuma, Jf kuna wa somi wengi na...
  4. J

    Basi la Classic kutoka Kampala lililopata ajali Shinyanga lilikuwa limebeba Wazanzibari tu?

    Kupitia taarifa ya habari ITV wameonekana abiria waliopata ajali ya basi la Classic kutokea Kampala kuja Dar es Salaam wakielezea namna ajali hiyo ilivyotokea. Majeruhi wote waliohojiwa ni Wazanzibar na abiria watatu waliofariki ni Wazanzibar. Naibu waziri wa mambo ya ndani ambaye ni Mzanzibar...
  5. Vituko kutoka kwenye Makanisa ya Kilokole -Tupia chako

    Wakuu, ni dhahiri kuwa kuna makanisa yanaibuka sasa kama uyoga. Sioni shida kuibuka kwa makanisa kila kukicha, kwasababu hata baa mpya zinaibuka kila siku. Pamoja na yote, haya makanisa kuna baadhi yana vituko sana, yaani Mtumishi anaweza kuwa Mtume, Nabii au Mchungaji lakini mambo wanayofanya...
  6. Esther Matiko: Umeme Tanzania ni Ghali sana, Kagera elfu 10 unapata unit 80 kutoka Uganda badala ya 28

    Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha CHADEMA, Esther Matiko amelalamikia gharama kubwa za umeme Tanzania huku akitolea mfano wakazi wanaoishi Kagera na kutumia umeme kutoka Uganda wanalipia 10,000 na kupata unit 80 ilihali kwa fedha hiyo Tanzania inanunua unit 28 pekee.
  7. Juice na unga wa ngano kutoka viwanda vya Kenya vitaingia Tanzania bila vikwazo na sementi kutoka viwanda vya Tanzania vitaingia Kenya bila vikwazo

    Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya kutoka viwanda vyetu ambayo ina ubora wa hali ya juu hususani ile ya Dangote, kiasi kikubwa kitakuwa...
  8. K

    Coolant kumwagika kutoka kopo lake

    Wadau naomba kuelewa nimekuta gar imemwaga coolant mpaka imeanza kugandamana wakati inakuja toka japan haikuwa hvi,je hili ni jambo la kawaida au niende Garage...natanguliza shukrani
  9. Maoni: Dkt. Batilda Buriani ameshushwa mno kuteuliwa kuwa Katibu Tawala

    Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
  10. Wafanyakazi 3 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kosa la kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael

    WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na wandishi wa habari leo Mei 30, 2021 Kamishina...
  11. C

    Maono yangu kutoka Temple Mount: Ipo siku CHADEMA itaongoza Tanzania

    Shabbati Shalom from Jerusalem, Brethren, nikiwa natembea hapa Temple Mount mahala lilipokuwa hekalu lililojengwa na Mfalme Solomon wa Israel yapata miaka 3000 iliyopita kabla ya kubomolewa na wababiloni, kujengwa, kisha kubomolewa tena na Warumi miaka kadhaa baada ya Yesu Kristo kupaa. Kwa...
  12. P

    Hivi katiba mpya ni hisani ya kutoka Kwa mtawala ama ni takwa kisheria?

    Nauliza tu Kwa watalaamu wa Sheria zetu Kuwa na katiba mpya, ni hisani ya mtawala kukuubali kusimamia kitu hichi ambacho kwayo takwa hili halimo kwenye Ilani iliyomweka madarakani Kama siyo huruma na hisani ya mtawala kupokea Jambo hili na kuamua kulifanyia kazi, Kwa nini kila anayesimama na...
  13. INAUZWA Pata TILES bora kutoka Twyford

    Jipatie tiles aina mbalimbali Kwa size 60*60, 50*50, 40*40, 30*30, 25*40 Kwa bei 50*50 _tsh 38000 kwa box..Grada A Kwa bei 40*40 _tsh 28000, 24000 ,23000 •SQM 60*60_Sqm 1.44 50*50_Sqm 1.75 40*40_Sqm 1.92 30*30_Sqm 1.53
  14. P

    Ni kivipi Serikali itajiwajibisha Kwa upotevu wa mabilioni ya fedha kuhamia Dodoma kumbe ni geresha?

    Upole wtu ni mzuri na unapaswa uendelezwe Kwa kila mtu, lakini endapo tunataka tuondokane na kichefuchefu cha umasikini uliotopea, some time ni kuvunja upole wetu hasa linapokuja swala la masilahi ya nchi yetu Kwa ujumla, Ni Kwa namna gani serikali tunaweza kuiwajibisha inapotumia fedha zetu...
  15. Usiku wa kwanza katika ardhi ya Tanzania, Junior alilala mahabusu Keko

    Junior ni Mholanzi mwenye asili ya Tanzania. Wazazi wake walihamia Uholanzi wakiwa bado vijana. Maisha yake yote Junior ameishi Amsterdam. Alikuja Tanzania kwa mara ya kwanza akiwa na miaka mitano. Baada ya sherehe yake ya kuzaliwa akifikisha miaka 18, babu na bibi walimnunulia tiketi aje...
  16. U

    Pini jingine kutoka kwa Rosa Ree utata mtupu Kanisa lahusika, adai "I'm not Sorry"

    Huu wimbo dah utata mtupu, lakini huyo demu kauwa sana humu
  17. House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  18. Kutoka kwenye maktaba ya Taifa

  19. J

    Barua ya Ole Sabaya akiomba hela kampuni binafsi kusaidia CCM - 2019

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…