kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabaharia kutoka Syria waliokwama katika Bandari ya Mombasa wauza meli yao

    Mwenye meli aliwatelekeza mabaharia hao tisa na kukataa kuwalipa mishahara yao. Mabaharia hao kutoka Syria wamekwama katika bandari ya Mombasa kwa muda wa mwaka moja na miezi tisa. Mahakama ya Kenya imewaruhusu kuuza meli hio na kujilipa mishahara ambayo mwenye meli alikataa kuwalipa. Meli hio...
  2. JamiiForums Tanzania Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje

    Petroli ni moja ya mafuta ambayo huagizwa kutoka katika mataifa ya nje kwa ajili ya kutumiwa katika magari madogo na ya kati. Mafuta ya petroli ambayo yanaigizwa kutoka mataifa ya nje yanachukua karibia robo (1/4) ya bidhaa za mafuta ambayo huagizwa kutoka mataifa ya nje kama ilivyo ripotiwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

    Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake mna la kujifunza kutoka Taarifa ya TFF. Kuahirisha miadi ya mapenzi Wanaume hupata maumivu mara mbili

    Miadi ni saikolojia. Hizi ni kanuni za mahaba ingawa hazijaandikwa kama za TFF Wanawake mjifunze kutoka kwenye taarifa ya TFF! Mwanaume unapompa miadi kila kitu hufanya kwa kuzingatia appointment! Wapo wanaokula vizuri ili kujiweka sawa Wapo wanaopiga mazoezi kujiweka sawa Wapo wanandoa...
  5. JamiiForums Tanzania Ada ya kutuma Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda Equity bank ni Tsh 5,000. Tunaenda mbele au tunarudi nyuma?

    Leo kutokana na hizi mvua pamoja na kuwahisha pesa kwenye akaunti nikaona nihamishe Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda akaunti yangu ya benki, Equity Bank. Mweeeeeee...! Nakuta ada ni Tsh 5,000 kwa hako ka muamala. Hivi mbona ni kama hatuko serious na mapinduzi ya kiteknolojia? Moja kati ya...
  6. JamiiForums Tanzania Nigeria yapiga marufuku wasafiri kutoka India, Brazil na Uturuki

    Kamati ya rais ya kupambana na janga la Covid-19 nchini Nigeria, imesema taifa hilo litapiga marufuku wasafiri wanaokuja kutoka India, Brazil na Uturuki, kutokana na kuenea pakubwa kwa virusi vya corona katika mataifa hayo. Taarifa ya mwenyekiti wa kamati hiyo Boss Mustapha, imesema watu walio...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaondoa marufuku ya watu kutoka nje ‘Lockdown’

    Katika kusheherekea siku ya wafanyakazi duniani, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kuondoa zuio la watu kutotoka nje katika kaunti tano nchini humo kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona. Katika taarifa yake rais Kenyatta amesema wakati alipotoa agizo la pili kwa umma mnamo Machi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza umri wa Utegemezi kwa Wazazi kutoka miaka 18 hadi 21

    Rais Samia amesema kuanzia sasa umri wa mtoto atakayeruhusiwa kuwa mtegemezi kwa wazazi ambao ni wafanyakazi umeongezwa kutoka miaka 18 hadi 21. Hivyo mtoto wa miaka 21 atanufaika na marupurupu ya utegemezi kutoka kwa mzazi wake mathalani matibabu. Kazi Iendelee!
  9. J

    JamiiForums Tanzania PAYE kwa Wafanyakazi imepunguzwa kutoka 9% hadi 8%. Kodi kwenye marupurupu imeondolewa; hatua hii itaongeza mshahara!

    Serikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8% Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa. Kazi Iendelee!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza kupunguza kodi 1% ya makato ya Mishahara ya wafanyakazi kutoka 9% mpaka 8%..

    Asante mama
  11. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Furaha ya CCM ni kwa Nyalandu kuondoka CHADEMA na si kujiunga na CCM?

    Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema. Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM! Maajabu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama hii Tetesi niliyoisikia kutoka Magerezani ni kweli, leo Moto utawaka Uwanja wa Nelson Mandela huko Sumbawanga

    Inasemekana kuna Taasisi Moja muhimu sana kwa Wahalifu nchini Tanzania imewaahidi Wafanyakazi ( Watumishi ) wake wa Kimichezo kuwa leo Wakishinda Mchezo wao kila Mmoja wao anapanda Cheo na Mshahara Kuongezeka. Israeli na Roho ya Mtu leo huko Rukwa.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi; Jaffo kutoka kusimamia bajeti ya Tsh 3 trilioni TAMISEMI hadi 28 bilioni Muungano na Mazingira

    Ni kweli kuna Wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni. Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Halima Mdee, Esta na wenzake walitarajia kuwa siku moja wanaweza kuwa wahanga na mamluki kutoka CHADEMA

    Siasa ni ya ajabu sana wakati hili linashangaza watu wengi, yaani ukikumbuka nyuma ni ngumu kuitaja Chadema bila kumtaja Mdee lakini leo ni mamluki. Chakushangaza zaidi kesho utasikia wako tena pamoja na wanatwambia hakuna adui wala rafiki wa kudumu ndani ya siasa. Hata hivyo ninakaswali ka...
  15. JamiiForums Tanzania Umbali kutoka usawa wa bahari na tokeo la maisha ya viumbe na uhai

    Umbali kutoka usawa wa bahari una uhusiano mkubwa sana na maisha ya viumbe hai, nadharia mbalimbali zinaonesha asili ya viumbe engi kuwa na ukaribu na maji na hata viumbe wanaoishi kwenye maji. Kadiri umbali kutoka usawa wa bahari unavyoongezeka aina ya viumbe, mimea n.k hubadilika na uwezekano...
  16. JamiiForums Tanzania Kisimiri, Arusha: DC Muro afuatilia wakulima wa bangi usiku wa manane

    Ikimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi. Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi iliyopelekea OCD na RPC kuondolewa. Eneo hili ni eneo korofi kufikika kwani ndio eneo lililoko juu...
  17. JamiiForums Tanzania Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

    Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi. Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wa viti maalum Chadema wanaitwa ni wabunge kutoka Chachandu?

    Nakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU. Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia. Kazi Iendelee!
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa. Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, Taifa ambalo Wananchi wake wanapongeza 'copy and paste Speech' ya Rais wao wa sasa kutoka kwa Rais mwingine linaitwaje?

    Kuna Hotuba nimeiona kaitoa Makamu wa Rais wa Marekani ( Mwanamama ) ambayo kumbe 'ameikopi' kama ilivyo ( bila kubadili lolote ) kutoka kwa Hotuba ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump. Inabidi hawa Marais wa Marekani waje Kujifunza Kuandika Hotuba zao wenyewe bila 'Kuiga' za Watangulizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…