kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Namna 'Royal Tour' ilivyoikoa sekta ya utalii kutoka ICU

    Mwaka 2022 sekta ya utalii nchi iliimarika zaidi baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kucheza na kuzindua filamu ya Tanzania: Royal Tour. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya Taifa letu, ambapo Rais anacheza filamu nzima, tena kama muhusika mkuu katika harakati za...
  2. JamiiForums Tanzania Jamaa kutoka kahama katisha Sana na huu wimbo

    Jamaa ana ujumbe mzuri sana, Japo kachanganya na kilugha huu wimbo ni elimu tosha. Sema tu binadamu wagumu. Kuelewa.
  3. JamiiForums Tanzania Sitausahau usiku wa Ngwasuma nikiwa na pisi kali kutoka Arusha

    Nilipata demu nikiwa kijana kijana, tukatoka kwenda naye Ngwasuma, 2007 hiyo Ngwasuma wanapiga Makumbusho Village. Ukumbi ulikuwa unajaza sana, Ngwasuma walikuwa wanapendwa sana. Watu walikuwa wakitoka Tunduma, Mwanza, Kahama etc kuja kuwaona Ngwasuma, hivyo ni lazima uingie ukumbini mapema...
  4. JamiiForums Tanzania Tatizo la kutotoa shahawa au kutoka kidogo

    Kwema wakuu nasumbuliwa na tatizo la kutoa shahawa kidogo au kutotoka kabisa pindi ninapojamiiana, hali hii imeambatana na maumivu ya korodani Je, ni ipi tiba? Shukrani.
  5. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

    Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu? Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa? Natanguliza shukrani.
  6. JamiiForums Tanzania Hivi serikali ya Tanzania inakusanya kiasi gani kutoka Zanzibar?

    Mara zote nimekuwa nikisia pesa inatoka Tanganyika kwenda Zanzibar. Mfano soma nukuu hii kutoka kwa rais wa JMT; ”Kwa mfano mwezi huu kulikuwa na vimaneno sijui hakuna pesa serikalini pesa kwasababu mikopo tulikopa imechelewa ya kufanyia kazi hizi lakini mbili kuna mikopo iliyo ‘mature’ kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mandonga aibukia Kenya na ngumi mpya aina ya Sungunyo kutoka Ukraine

    Mwamba mwenyewe, Karimu Mandonga, mtu kazi a.k.a Sungunyo kaibuka kivingine huko Nairobi Kenya na aina ya ngumi kali sana itakayomvagaa mtu tarehe 14.01.2023. Kazi ya hatari inaenda kufanywa na Mandonga kaingia msitu wa Mau Mau na ngumi Sungunyo, awe Mkenya awe Mjaluo atakutana na kipigo cha...
  8. JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite kufungwa kuanzia Januari 2, 2023 mpaka Januari 9, 2023

    Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi. Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
  9. JamiiForums Tanzania Wanasayansi 10 kutoka Tanzania waliotamba Kimataifa

    Tanzania imeshika nafasi ya pili Afrika Mashariki na ya tisa kati ya nchi kumi bora barani Afrika zenye wanasayansi bora waliotoa mchango mkubwa katika ulimwengu wa sayansi, kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la kimataifa la sayansi (AD Scientific Index 2023). Duniani, Tanzania ni...
  10. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa ndio wameongozwa kutazamwa Facebook 2022 kiulimwengu. Wachekeshaji wetu wajifunze kitu kutoka kwao

    Habari! Mwaka jana nilizungumza kitu kuhusu hawa comedians jinsi wanavyotisha. Wachekeshaji wetu waache kupoteza muda kuropoka. Mimi wachekeshaji wetu wanabiboa, kazi yao ni kuropoka majukwaani tu, wakizidi zaidi basi wataiga kazi za wenzao. Hawana ladha kabisa. Soko lao linaishia ndani tu...
  11. JamiiForums Tanzania Nini unajivunia kutoka kwa mwenzi wako?

    Ndugu zangu kila mtu ana wake anayempenda kwa dhati mke/ mume au mchumba. Hembu jivunie hapa mazuri yake toka umekuwa nae. Nianze mimi, mama watoto wangu Anna nakupenda mno aiseeh, miaka mitano sasa toka tumeoana, muda mwingine huwa yunaparurana hasa. Ila tunakaa na kuyamaliza kisha tunasonga...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Msaada usafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama

    Wakuu kama title inavyosema, nahitaji kusafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama karibu na chuo cha Mwalimu Julius Nyerere University of Agriculture and Technology, kwa anayefahamu bus ninalotakiwa kupanda, pamoja na routes za kupitia kufika hapo naomba anisaidie please🙏.
  13. JamiiForums Tanzania Nimeufunga mwaka 2022 kwa kupokea zawadi nzuri na tamu kutoka kwa Zitto Zuberi Kabwe. Mitandao ya kijamii itumiwe vyema

    Nianze Kwa kuusema ukweli, Nimewai kupata zawadi nyingi sana Mosi ni uhai kutoka Kwa Mwenyezi Mungu. Pili ni zawadi ya Elimu kutoka msingi mpaka Chuo kikuu namshukuru sana Mama yangu Mzazi. Zawadi ya Tatu ni penzi Tamu kutoka kwa Mke wangu mpenzi (likivurugika naweza kuwa mwehu Bure). Zawadi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa haya ninayoyasikia na kuyaona! Tusahau CCM kutoka madarakani kwa namna yoyote ile

    Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu zenu au bibi zenu wa bara wanaifahamu Twitter au jamiiforum? Nyie kutwa kazi ya kupiga kelele humu...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Kuhusu Mikopo ya Riba nafuu kutoka Hazina.

    Heshima kwenu! Nimesikia kuna mikopo inatolewa na serikali kupitia hazina kwa watumishi wa uma. Nimetafuta nyuzi humu JF kuihusu lakini nimeona michango ni kidogo sana haitoi usaidizi mzuri. Ninaomba kwa yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu mkopo huu,vigezo na masharti vya kupata ,utaratibu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kutoka Shajara (Diary) Yangu 2 June 1991

    KUTOKA KWENYE SHAJARA YANGU 2 JUNE 1991 Huenda msomaji utakachosoma hapo chini ukaona hakina maana kwako. Kwangu mimi hayo niliyoandika yamenipa jibu la swali lililokuwa likinitaabisha kwa muda mrefu. Hapo chini nimeandika sentensi mbili katika diary yangu tarehe 2 June 1991: "June 2, 1953...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe Urusi walipokea msaada wa silaha kutoka Korea Kaskazini na bado wakashindwa!

    Supapawa anazidi kutia huruma, amesaidiwa na Syria, Iran, Korea Kaskazini, wafungwa kwenye gereza zake wakiwemo baadhi ya Waafrika, ameokoteza hadi wanywa gongo mtaani ila bado anapigwa tu. WASHINGTON - ;North Korea has delivered arms to Russia's private military group Wagner, the White House...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria Kwa mtu aliyekatalia kutoka kwenye kiwanja baada ya usuluhishi wa baraza la ardhi la kata kuamua aondoke

    Ndugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale Kwa muda, tulipo taka kwenda kujenga akakataa kuwa kile kiwanja ameisha pewa na serikali ya Kijiji...
  19. JamiiForums Tanzania Utaje ni wimbo kutoka kwa members wa JF ambao unafunga mwaka 2022 -2023

    Ni wimbo gani unahisi unafunga mwaka 2022 vizuri.. Majukwaa yote Matusi au kejeri au dhihaka haziruhusiwi twendeeeeeee ENTERTAINMENT mshindi ni comment ya mwisho au itakayokuwa na maombi mengi zaidi yatayotakayopatikana au itakayogota saa 00.00(saa 6 kamili usiku) tar 01 /01/2023 zawadi...
  20. JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke kutoka Kanda ya Kaskazini

    Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo Aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila? Sio poa kabisa. Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old Moshi tukabadilisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…