kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Let us propose Justices of Appeal ambao at least wana rekodi ya kutoa hukumu za haki ie BOLD JUDGES OF THE COURT OF APPEAL

    Majaji wa mahakama ya Rufaa ambao bado wanatenda haki, na hivyo wakipewa kesi ya Lisu watatenda haki 1. .........................................
  2. Corticopontine

    CCM kutoa pesa kwa ajili ya kujenga nyumba ya kisasa nyumbni kwa Marehemu ALUTE LISU MGHWAI, kumuenzi mwanaccm mwenzao

    Kwa Taarifa zilizonifikia ni kwamba Chama cha Mapinduzi kitatoa tsh million 200 kwa ajili ya kujenga nyumba, nyumbani kwao ALUTE LISU MGHWAI ili kuenzi mchango wake ndani ya CCM, pamoja na kwamba TUNDU LISSU amekuwa mbunge kwa miaka 10, na amefanya nafasi kubwa kubwa za kimataifa na hajawajengea...
  3. Pascal Mayalla

    Kuhusu Hukumu ya Mwana TLS Tundu Lissu, Natoa Pongezi kwa TLS Kukaa Kimya Bila Kukurupuka Kutoa Maoni Yoyote Kuhusu Hukumu Hiyo, Halafu ...

    Wanabodi, Tundu Lissu ni mwanachama wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, TLS, Hili ni bandiko la kuipongeza TLS kwa kitendo chake cha TLS kukaa kimya tangu kutolewa kwa hukumu hiyo, TLS imekuwa kimya bila kusema chochote, au bila kukurupuka kutoa maoni yoyote rasmi ya TLS, kuhusu hukumu...
  4. mirindimo

    Madereva maegesho ya bandarini kurasini watakiwa kutoa magari ama wapasuliwe vichwa!!

    Sekeseke limewakumba madereva wanaopaki malori eneo la Kurasini baada ya kutakiwa kuondoa magari yao maeneo ya maegesho baada ya kuchukuliwa na mwekezaji. Madereva hao wameambiwa na mtumishi wa Bandari kua “toeni magari yenu ama tuwapasue vichwa”. Bado mpaka sasa madereva hao hawajajua...
  5. R

    Uhakika ni kuwa Majaji wana maelekezo kutoa hukumu ya hovyo maana nina uhakika wanajua maana halisi ya cognate offence

    A cognate offence is a lesser or related crime that shares several fundamental elements, class, or category with a primary, more serious criminal charge, even if it is not strictly a strict subset of it. Key Characteristics Shared Elements: It overlaps in core facts, intent, or statutory...
  6. F

    Nani mshindi kati ya Wanaharakati(Mange &co ) vs Britannica katika kutoa classified infos za kijasusi?

    Kwa kuanza, wote wapongezwe Kwa kazi nzuri za kijasusi kutupea classified infos Kwa uzalendo wao bila malipo yoyote. Katika hukumu ya kesi hii, nani amechukua point zote? Ingawa wote wanajitahidi. Maoni tafadhali
  7. A

    KERO Tunaiomba Serikali kufuatilia utendaji wa Msajili wa Vizazi na Vifo Wilaya ya Kilombero

    Tunaiomba Serikali kufuatilia utendaji wa Msajili wa Vizazi na Vifo Wilaya ya Kilombero, ambaye huchelewesha utoaji wa vyeti vya kuzaliwa licha ya waombaji kukamilisha na kuwasilisha mahitaji yote yanayotakiwa. Hali hii inaleta usumbufu kwa wananchi tunaohitaji huduma hiyo, huku kukiwa na...
  8. Tlaatlaah

    Athari za kijamii, kisiasa na kiuchumi za kuhamasisha uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi na kusababisha maafa zitatumika kutoa kuhukumuN6.

    Ni wazi msingi wa hukumu ya kihistoria katika taifa letu, utazingatia zaidi ukweli wa athari mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi zilizosababishwa na mipango fichi ovu, yenye nia na dhamira ovu iliyochochewa na kuhamasishwa na chama cha siasa husika kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia na...
  9. Roving Journalist

    Siku chache baada ya Waziri Kadogosa kutoa maelekezo, Mitambo 41 yarejeshwa katika Mradi wa Iringa Bypass

    Agizo lililotolewa na Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, mwezi Oktoba 2026, mkoani Shinyanga, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Msalala, wilayani Kahama, limeanza kutekelezwa baada ya vifaa na mitambo ya ujenzi kuanza kurejeshwa katika maeneo ya miradi husika, hatua inayolenga kuhakikisha...
  10. Carlos The Jackal

    Kwa Mujibu wa LEMA, kuhamasisha Maandamano ni Kosa, ila vyombo vya Dola kuua Watu Kwa Risasi moto , Sio Kosa !!!

    Hela za Abdul ulizokula zinakulazimisha ulopoke kama Mtu aliyekatwa kichwa !!. LEMA wewe ni kadudu kadogo sanaaa kulinganisha na CHADEMA.
  11. Sifi Leo

    Uwezi kutoa siku za ikulu ikabaki salama,R.I.P Mzee.

    Nina kusihii wewe aliyeenda nae ikulu mkaketi, uwe makini sana la sivyo watapita na wewe kama walivyopita nae chapu. Nakushii kuwa makini sana.
  12. H

    Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lamec

    Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo Oktoba 28, 2026 wakati akizungumza kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu...
  13. Ndagullachrles

    ACP Mwanyasi aongoza maofisa wa polisi K'njaro kutoa pole msiba wa ajuza wa miaka 120

    Habari Kutoka Dawati la habari polisi Kilimanjaro Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Polisi Jamii kwa kushirikiana na Dawati la Jinsia na Ulinzi wa Mtoto, limetembelea familia ya marehemu Elizabeth Yohana Simba na kutoa pole kufuatia kifo chake akiwa na umri wa miaka 120, katika...
  14. W

    Ifakara, mradi wa maji miji 28, kutoa hali ya huduma asilimia 42 hadi 100

    Mradi wa maji wa miji 28 Ifakara, kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa asilimia 100 kutoka asilimia 42. Maji yatazalishwa kwa siku lita milioni 20 kwenda kwa wananchi, ilhali mahitaji ya wananchi kwa sasa ni milioni 10. Serikali imewekezakiasi cha Shilingi bilioni 48 katika kuhakikisha...
  15. Zee la madawa

    Nini inasababisha wanawake wengi ( slay queen) kutoa harufu mbaya ya mdomo?

    Aisee hii inakera sana utakuta mdada amevaa vizuri na anavutia vizuri tu ila ukimsogelea ukitaka kumuongelesha ile anafungua tu mdomo wake anatoa harufu mbaya ya mdomo tena mbaya mpaka inafikia anaharibu hali ya hewa aisee hii sio mara moja yaani kati ya Maslay quuen 10 ninaoongea nao 8 au 9...
  16. SuperHb

    Mwanamke kutoa namba ya simu haraka

    Habari ndugu?... Kuna Mwanamke Nilikutana nae Stendi ya Magari,, wakati Yuko kwenye harakati za kudandia gari.. Nilimpa hi...then nikamuomba namba ya Simu,,akaniuliza namba ya Nini huku akiwa kama anataka Simu yangu aniandikie namba,,sikumjibu nikampa Simu akandika namba yake..... Then...
  17. Roving Journalist

    Serikali yaendelea kuimarisha uwezo wa nchi kujiandaa na maafa kwa kutoa mafunzo

    Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu inaendelea kuimarisha uwezo wa nchi katika kujiandaa na kukabiliana na maafa kwa kutoa mafunzo kwa Timu ya Taifa ya Kukabiliana na Dharura, inayolenga kuongeza ufanisi wa uratibu na utekelezaji wa hatua za kukabiliana na matukio ya dharura. Hayo yameelezwa...
  18. L

    Mkoa Wa Dodoma Umebahatika Kutoa Viongozi Wakubwa Karibu Wote Kuanzia Makamu Wa Rais John Ndejembi ,Waziri Mkuu John Marecela na Spika Jobu Ndugai.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge . Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
  19. K

    Hatimaye CWT (Chama cha Walimu Tanzania) kimeanza kutoa mlio hadharani

    Historia ya kuanzishwa kwa vyama vya wafanyakazi ilikuwa ni kuja kuwa sauti ya wafanyakazi dhidi ya mwajiri Hata hivyo, baadhi ya viongozi wa vyama hivyo wamekiuka lengo na kuvigeuza kuwa vitegauchumi vya kujichotea hela na kuwatelekeza wanachama wao Moja ya chama hicho ni Chama cha walimu...
  20. Financial Analyst

    Kila siku Wakristo wanachinjwa nigeria, watu wasio na hatia wanauliwa Sudan, n.k, sasa unajiuliza tofauti na kutoa matamko kazi maalum ya AU ni ipi?

    Mtaji wa masikini ni nguvu yake mwenyewe. Ukitaka kuharibu siku yako nenda uangalie damu zinavyomwagika sudan na nigeria.
Back
Top Bottom