Kitu kinachokufelisha wewe kuyafikia malengo yako na mafanikio yako ni TABIA ZAKO!
The Mind Game Control
Wengi wetu tunapenda kulaumu uchumi, serikali, ndugu zetu, au hata bahati mbaya pale mambo yanapoenda kombo.
Lakini ukweli mchungu ambao huenda hutaki kuusikia ni huu: Wewe ni matokeo ya...