Watanzania ebu tuache mihemko ya Kisiasa inayozidi kujenga Uadui baina yetu.
Labda niwaulize:- Hivi kweli kwa akili timamu kabisa Ukiisikiliza ile clip ya Tundu Lissu akiwahutubia Watia nia kwa kutumia maneno haya:- "Tutahamasisha Uasi, Tutazuia Uchaguzi, Kitakinukisha na Hakuna Uchaguzi" na...
Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
Katiba ya Marekani inampa Rais Nguvu kubwa katika kuamua hatua za kuchukua kuhusiana na masuala ya kimataifa (Foreign Policy) Rais huhitadi uungaji Mkono wa Mabunge ya Senate na Congress ktk domestic policies na uteuzi wa viongozi wakubwa na Majaji Supreme Court. Na endapo mabunge yakatofautiana...
Sio kila ukimya ni kushindwa; wakati mwingine ni maandalizi ya kurudi kwa nguvu zaidi!
Kuna nyakati unajikuta huna nafasi ya kusema unachotaka kusema. Unalazimika kusubiri, kutafakari na kujifunza kutokana na mambo yaliyotokea.
Lakini nimejifunza jambo moja: Usiruhusu changamoto za muda...
Wanaukumbi.
Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kutoa maoni yake kuhusu matokeo ya uchaguzi wa katikati ya muhula kupitia mtandao wake wa Truth Social, akiwalaumu baadhi ya wanachama wa chama chake na kituo cha televisheni cha Fox News kwa kushindwa kwa wagombea wa Republican.
Trump...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuweni Makini sana na Maigizo yanayoletwa kwa njia tofautitofauti.
Maria Sarungi amewahi kufanya Maigizo ya kusema Ametekwa halafu eti baadaye akajifanya kwamba eti aliwashinda nguvu watekaji .
Lengo likiwa ni kutaka kuichafua Nchi yetu na serikali yetu kwa maslahi...
Sambhav Jain alikuwa na miaka 28 tu.
Aliwahi kuwa mume, baba, na mwana ambaye alijaribu kubeba majukumu yake yote kwa nguvu zake zote..
Alisoma kwa bidi, Alijituma, Alijenga ujuzi wake hadi akawa Software Engineer, Kazi kama hiyo haiji tu na kukaa ukisubiri.
Alioa mwaka 2023, na baadaye...
Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!!
================
Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga.
DPP na...
adhabu
basi
court
final
hana
hatia
high
high court
hukumu
hukumu ya kifo
jamhuri
jela
katika
kesi
kesi ya uhaini
kifo
kifungo
kituko
kushindwa
lissu
mahakama
miaka
tundu
tundu lissu
uhaini
uhaini wa lissu
waiomba
yakubali
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaambieni na Kuwakumbusheni Ya Kuwa Mwamba Mwenyewe Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile katika vita zote alizowahi kupigana . Mwamba hajawahi kupoteza wala kuweka silaha chini katika Uwanja wa Vita .
Mwamba hajawahi kurudi nyuma ...
Hellow wanandugu jamaa.
Nina changamoto kwenye suala la kufanya mapenzi, yani nikianza tu huwa nahitaji kuwahi kumaliza, la sivyo mambo yanakwenda haraka. Baada ya hapo huwa sirudii tena, hamu inakata. Mazoezi nafanya, yani sijui nini shida, stress au nini. Naombeni msaada wanaume wenzangu.
Maisha ya kuangalia Jamii inasema nini?, Dini inasema nini? Elimu inasema nini ni maisha ya kitumwa na yaliyojaa ushindani, hofu na mashaka. Ni maisha yanayolipa suala la kushindwa kipaumbele kuliko kushinda. Ni utumwa na gereza kuu dhidi ya uhuru wa mtu halisi.
Mtu anapojirejelea yeye ndiyo...
Habari za jioni wakuu?
Mimi nina changamoto moja, nilikwenda Uganda lakini nikakutana na changamoto ya misosi migeni kwangu ambayo sijawahi kula hata kwenye kinywa ilikuwa haipiti kabisa, nikaishia vinywaji, matunda na biskuti tu!
Point yangu ni hii naombeni ushauri kwamba nikifika nje ya nchi...
Tunatumia zaidi ya elf 10 kufika na kurudi kutoka mbezi mwisho tunapopandia daldala kwenda makazini kwa siku moja tu .
Bajaji na bodaboda wanaamua tu waseme bei gani hakuna wa kuwagusa zaidia yako mzee wa show show maana uligusa vibaka wakatii ,ukatamka maji tukaungiwa sasa tamko lako la kupata...
Kimsingi kesi ya Tundu Lissu imeshaisha. Lakini CCM, Samia na serikali yake kupitia DPP sio wajinga kuruhusu aachiwe tu kwa "NO CASE TO ANSWER" kwa sababu;
1. NO CASE TO ANSWER ingemaanisha au kuthibitisha madai ya kuwa kumbe ni kweli kesi hii ilikuwa ni ya kutunga.
#Mahakama za bongo hazina...
Kuna baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakisema kuna wateja ni wasumbufu sana, mpaka wengine wanafikia hatua ya kutotaka kuwahudumia. Kwa mtazamo wangu, hakuna mteja msumbufu; mara nyingi ukiona mteja analalamika, ujue kuna sehemu hajapata huduma aliyotarajia.
Customer care ina uwanja mpana...
afcon
afcon 2027
caf
chadema
dalili
evarist chahali
fifa
gani
hii
iko
jasusi
kushindwa
kuu
kwao
maana
msigwa
peter msigwa
political
poor
salama
samia
strategy
ugaidi
ujumbe
wanajua
wenzake
Mwanamuziki TID amekanusha vikali madai ya kushindwa kulipa bili ya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe, Tabata.
Amedai sakata hilo lilopelekea kukamatwa na Polisi, ulikuwa mpango wa kumchafua.
TID ameeleza kama kweli alikuwa anadaiwa, basi wangekata deni lao katika fedha...
Mwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake.
Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe Tabata lakini ilipofikaa saa ya kulipa ikawa ugomvi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.