kupokea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili flash yangu iweze kupokea movie za 4K?

    Nimedownload movie zenye 4K kwenye laptop ila nikirusha kwa flash inagoma licha ya flash kuwa na ukubwa wa 64gb. Naombeni muongozo Cc: Chief-Mkwawa
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa maombi ya Serikali, Dhamana ya Boni Yai sasa kutolewa Oktoba 7, 2024

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai. Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam...
  3. JamiiForums Tanzania Naweza kupokea mzigo kutoka Marekani? Je, kwa njia gani?

    Kuna ndugu mmoja yupo Marekani California amepark mzigo wenye device mbali mbali wenye thamani dola 26000. Kwa wazoefu naomba kujua namna ya kuupata huu mzigo Asante. Your package contains 26000/USD money 4 coverage cameras 2HP computer set 6toshiba laptops 5 iPads 5 Iphone 25 samsung tabs...
  4. JamiiForums Tanzania Kama mwanaume unaweza kukaa siku nzima bila kupokea meseji ya " mambo" basi jua kuna kitu kina miss kwenye maisha yako

    Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike. Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!! Haya pokea. Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
  5. JamiiForums Tanzania Kupokea malipo

    Mtu anaye nitumia anakuwa kama analipa kwa credit card yake alafu mimi napokea pesa nimecheki azampay link naona ni tigopesa tu Vp siwez tumia visacard ya voda kupokea?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Serikali boresheni mfumo wa kidigitali kupokea maoni ya watu kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu nchi yao

    Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi. Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro wamasai wajitokeza kwa wingi kupokea ujumbe wa Rais Samia.

    Wapinzani na wanaharakati walikuwa wakihoji kuwa Rais wetu si msikivu. Hata hivyo, leo Rais Samia amemtuma mwakilishi wake wa ngazi ya juu kabisa kuwasikiliza na kuzungumza na Wamasai wa Ngorongoro. Walimaanisha kwamba Wamasai hawawezi kuzungumza na mtu mwingine zaidi ya Rais, lakini leo...
  8. JamiiForums Tanzania Natumia njia Gani kati ya hizi kupokea hela?

    Kuna hela kidogo nimezipata mtandaoni Sasa Kuna hizi njia za ku withdraw kama Kuna anayejua inayosupport apa bongo anipe details 👇
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kutoa na Kupokea

    Kutoa na Kupokea Biblia inasema nini kuhusu kutoa Biblia inatutia moyo kutoa kwa hiari na kwa nia nzuri. Inaonesha kwamba kutoa kwa njia hiyo kunamnufaisha anayepokea na anayetoa pia. (Methali 11:25; Luka 6:38). Yesu mwenyewe alisema hivi: “Kuna furaha zaidi katika kutoa kuliko ilivyo katika...
  10. JamiiForums Tanzania TANESCO kuzindua kituo cha kupokea na kupozea umeme cha Mgodi wa Geita mine

    Hatimaye Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) inaenda kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa kutokana na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kukamilisha ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme unaofikishwa mgodini hapo Kituo hicho kilichojengwa kwa gharama ya Sh60.6 bilioni...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA wanasumbua kusaini au kugonga mihuri kupokea barua

    Habarini, Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ofisi za serikali hasa naadhi ua ofisi za TRA kupokea barua na kukataa kugonga mhuri wa received kwenye barua ya pili anayobaki nayo mteja kwaajili ya kumbukumbu zake kwa madai wamekatazwa kufanya hivyo hadi mteja aje na dispatch book. Hivi hii...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba tu Kuuliza je, Mjanja anakubali kupokea Milioni 200 kwa Mwaka ili aweze kuipata Bilioni 1 baada ya Miaka Mitano?

    Siku zote Thamani ya Mjanja anayejitambua kama Rafiki yangu Bila bila haiwezi kuwa ya kupewa Shilingi Milioni 200 kwa mwaka wakati Mjanja mwingine anayejitambua kama GENTAMYCINE Yeye anajijua kabisa kuwa Thamani yake kwa sasa na kwa jinsi alivyo hapa Barani Afrika ni kuanzia Bilioni 3 kwa Mwaka.
  13. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lianze kupokea Taarifa za kupotea kwa watu ndani ya masaa 14 hasa watoto

    Niko mikononi mwa Polisi Maisha yangu bado ni mikosi wote itikieni Afandee…. Wanabodi nianze kusema binafsi sifutahishwi na huu utaratibu wa polisi kusema mtu akipotea hawapokei taarifa chini ya masaa 24 tangu mtu amepotea. Huenda ndani ya masaa hayo jitihada zikafanyika na mtu akaokolewa uhai...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka enzi zile za nchi nzima kukutana uwanjani kupokea na kushangilia ndege mpya, huwa nacheka sana

    Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka. Nchi imetoka mbali hii. Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo zile hii nchi ingekuwa ya masela.
  15. JamiiForums Tanzania Hatua za haraka zisipochukuliwa hapo Slovenia kunaweza kutokea jambo kubwa

    Wale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda Britanicca
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii za kiislamu wanapenda sana kupokea kuliko kutoa? Hawaoni kama wanaharibu utu wao?

    Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda Tabora, Ujiji, Zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee. Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Tumejiaandaje kupokea wakimbizi toka Kenya?

    1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan). 2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
  18. JamiiForums Tanzania KUNA DEMU KALA VITU VYANGU HAJIBU SMS WALA KUPOKEA SIMU

    Wakuu bila kupoteza mda naomben maoni yenu hela za muhun haziliwi bure *****.
  19. JamiiForums Tanzania Manyara Tayari Kupokea Wanafunzi Kutoka Pande Zote za Nchi

    MANYARA TAYARI KUPOKEA WANAFUNZI KUTOKA PANDE ZOTE ZA NCHI Nimewaelekeza viongozi husika kuzingatia utoaji wa huduma katika sekta hii ya elimu kwa kuzingatia ubora, maadili, taratibu, miongozo na sheria hasa katika shule hii mpya ya wasichana ya Mkoa Manyara. "wazazi wote ambao watoto wenu...
  20. JamiiForums Tanzania Inawezekana kupokea gari bandarini na kusajili kwa niaba ya mtu mwingine?

    Habari wakuu, Nipo nje ya nchi, nataka niagize gari kutoka japan, kisha nimtume rafiki yangu akanipokelee bandarini ikifika pia anisajilie kwa TIN number yangu. Tutatumia agent kufanya clearance ila malipo nitafanya mimi. Je, kwenye cosignee details wakati wa kununua kwenye website najaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…