kupokea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

    Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 11, 2025
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Breaknews: China imekataa kupokea chips za NVidia toka Marekani

    China imekataa kupokea chips za Nvidia, kampuni maarufu ya Marekani inayotengeneza vifaa vya kompyuta na graphics. Sababu kuu ya hatua hii ni hofu ya usalama inayoletwa na Marekani, ambayo inatuhumu China kwa matumizi ya teknolojia ya kisasa kwa madhumuni ya ujasusi na matumizi ya kijeshi...
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Je, Askari anaruhusiwa shoot to kill bila kupokea order yoyote kwa mujibu wa sheria ya Tanzania na za UN

    Ukisoma sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania tukianzia na ile sheria na Penal Code, CAP. 16 R.E. 2022 kifungu cha 18. Kinaeleza kuwa katika kulinda mali za umma au za mtu binafsi zinaweza kutumika nguvu za ziada na yule ambaye atahusika kumuua mtu yeyote katika tukio hilo hatakuwa na kosa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania usije ukakubali kupokea hela kutoka barabarani eti unamuunga mkono Samia.

    Hivi vimchezo vya madikteta tunavijua
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mahakama za mwanzo ziruhusiwe kupokea ushahidi wa kimtandao

    Habarini, Kwa sasa mahakama za mwanzo haziruhusiwi kupokea ushahidi wa kimtandao kama vile nalala za email,whatsapp,fax,nk hadi kuanzia mahakam za wilaya. Sidhani kama hii ni haki kwa sasa hasa ikizingatiwa kwa sasa mawakili wanaruhusiwa kufana kazi mahakama za mwanzo. Kuna jambo pia la...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Tokea Fred Vunjabei aweke Jezi mpya za Yanga zilidoda ila tangia aweke Jezi mpya za Simba anauza hadi anachoka kupokea Pesa

    Yaani Jezi zitengenezwe Italia zisiuzike halafu zile zilizotengenezwa Tandahimba na kupigwa Chapa Tandale ndiyo ziuze?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ya mikopo 2025/2026 yasogezwa

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya mikopo imesogezwa mbele kutoka tarehe 31 Agosti hadi tarehe 14 Septemba, 2025. Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yakubali kupokea wahamiaji kutokea Marekani. Wapinzani wakosoa uamuzi huo

    Uganda imekubaliana na Marekani kupokea wahamiaji watakaorudishwa iwapo hawana rekodi za uhalifu na si watoto waliotengwa, ingawa masharti kamili bado yanajadiliwa. Serikali ya Uganda inapendelea wahamiaji hao wawe raia wa nchi za Afrika. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Waziri...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wananchi wa Tabora wakataa kupokea mwenge ulionakshiwa na picha ya Rais Samia

    Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm? Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Maono: 2026 ni mwaka mpya na wa kipekee kupokea na kukamilika kwa total system overhaul

    Salaam! Haya ni maono. Nimmekuwa nikilisemea hili tangu May 2022, kwamba, Year 2026 ni mwaka mpya, mwaka wa kipekee ambao, mfumo mzima wa kutawala ,na mifumo yote muhimu juu ya nchi yetu unakwenda kubadilika. Ni mwaka ambao, Rasimu Ile ya Warioba kabla ya kuchakachhuliwa itarudishwa mezani...
  11. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Nimepata mke wa tano sasa lakini naambiwa siwezi kumuoa hadi akabidhiwe mikoba ya uganga

    Naomba kuja kwenu waungwana na wananzengo kutokana na kugagasika na tàarifa ya kupokea mikoba. Nimepata mke wa tano sasa lakini naambiwa siwezi kumuoa hadi akabidhiwe mikoba ya uganga. 1. Naomba kujua mikoba ya uganga ni nini? 2. Mikoba ya uganga inahusisha vitu gani? 3. Mikoba ya uganga...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya kupokea tarehe 8/8 (nanenane) je, inalipwa tarehe hiohio au inasogezwa mbele?

    Habari za majukumu na heri ya sikukuu ya wakulima ya nanenane wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kila taasisi,shirika na kampuni mbalimbali huwa na tarehe maalumu ya kuwalipa wafanyakazi wake. Je kwa wale ambao tarehe yao ya mshahara ina angukia tarehe nane(8),maana yake kwa mwezi wa...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Heche kuwa makini usiharibu mambo.CHADEMA hii sio ya kupokea makapi ya CCM

    Nimesikitika sana kusikia kuwa Heche angewakaribisha waliookatwa CCM kama CHADEMA ingeshiriki uchaguzi. Heche kumbuka CHADEMA hii sio kama ya Mbowe ya kuwa inakaribisha mamluki alafu baada ya uvhaguzi wanarudi CCM Umekosea sana.
  14. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Karatu kuna hoteli za kutosha kupokea timu 4?

    Sijawahi kufika karatu kwa siku za karibuni.Timu za taifa 3 zitakuwa hapo kucheza michezo ya cecafa,naulizia kwa mliopo huko,je kuna hoteli zenye hadhi kupokea ugeni mkubwa huo?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Ardhi ilaaniwe kwa kupokea damu ya Abili, iliyomwagwa na Kaini nduguye?

    Salaam, Shalom! Njooni tujadili, Nikiongea Mimi sana, labda nakuzuia pia kufikiri in deep. Ni hivi, KITABU CHA( Genesis 3:17, 4:10-11) Kaini anafanya suiside, anamuua nduguye Habil, damu inamwagika ardhini. Sasa inapotoka adhabu, hakuadhibiwa Cain pekeake, ardhi pia inapewa laana. Laana...
  16. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waagizaji wa magari baada ya kupokea magari yao

    Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa. Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Upinzani Iran waanza maandalizi ya kupokea uongozi maana ni dhahiri Ayatollah atalazwa muda usio mrefu

    Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu... Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that plans are in place for a 100-day transitional period if the Islamic Republic regime falls in war...
  18. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ukraine yatangaza kupokea miili 1,200 iliyokabidhiwa na Urusi

    Ukraine imerejesha nyumbani miili mingine 1,200 iliyokabidhiwa na Urusi, hatua mpya katika makubaliano yaliyofikiwa wakati wa mazungumzo ya hivi majuzi kati ya pande zinazozozana mjini Istanbul, taaasisi ya serikali ya Ukraine inayohusika na suala hilo Ukraine imepokea miili mingine 1,200...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kama takwimu zinadai tunaongoza kwa kupokea Watalii inakuwaje TANAPA na NGORONGORO hawajaongoza katika kutoa Gawio kwa Serikali?

    Something is wrong somewhere! Kwa muda wa miaka miwili na zaidi sasa takwimu zinazotolewa na Serikali na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi zinadai kuwa Tanzania tunaongoza kwa kupokea idadi kubwa ya Watalii wanaotembelea nchi yetu ikiwemo mbuga zetu za wanyama na vivutio...
  20. Thegoat

    JamiiForums Tanzania Gari kukataa kupokea GIA ya kurudi nyuma tatizo ni nini?

    Wakuu habari .kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoelezea Nina gari yangu aina ya Wish old juzi imeanza tabia ya kugoma kurudi nyuma je wabobevu tatizo laweza kuwa ni nini?
Back
Top Bottom