Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameanza Ziara ya kukagua na kupokea vyumba 58 vya Madarasa vikiwa na samani zake Katika shule 21 za sekondari zilizogharimu kiasi cha Billion 1.16 zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita ,ziara hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku Mbili...
Nianze Kwa kuusema ukweli, Nimewai kupata zawadi nyingi sana Mosi ni uhai kutoka Kwa Mwenyezi Mungu.
Pili ni zawadi ya Elimu kutoka msingi mpaka Chuo kikuu namshukuru sana Mama yangu Mzazi.
Zawadi ya Tatu ni penzi Tamu kutoka kwa Mke wangu mpenzi (likivurugika naweza kuwa mwehu Bure).
Zawadi...
Wana jamvi wasalaam
Njooni hapa tupeane mazingira tatanishi ya rushwa tuliyowahi kukutana nayo, eidha kwenye kutoa rushwa au katika kupokea rushwa.
Mimi binafsi nilishawahi kupokea rushwa mara kadha, lakini sikumbuki kuwahi toa rushwa, labda shukurani tu baada ya huduma tena kwa hiari yangu...
Tesla Inc inaanza uzalishaji wa malori ya kibiashara yanayotumia umeme na tayari CEO Elon Musk amesema kampuni ya Pepsi itapokea magari hayo ya kwanza kuanzia Desemba 1.
Musk aliwahi kusema mwaka 2017 kuwa Semi Truck hizo zingeanza kuingia sokoni kuanzia mwaka 2019, alisema lori la Daraja la 8...
Ukraine wamedhihirisha uwezo wao wa kutumia kidogo walichopewa, vitu kama HIMARS wamevitumia vizuri na kupokeza adhabu, sasa wanapandishwa ngazi na kupewa madubwasha ya maana, kama haya hapa kazi yake kudungua ndege, mizinga, drones na chochote cha kupaa angani.
NASAMS are surface-to-air...
Hali sio nzuri nchi za Ulaya na Marekani, mfumko wa bei ya mafuta, gesi na chakula umevuruga mipango ya serikali na raia ya wazungu. Hivi karibuni majira ya baridi yataikuta Ulaya ikiwa na uhaba wa gesi na umeme kupashia nyumba joto. Hii itawafanya wazungu wengi kuja kujisalimisha nchi za joto...
Kiongozi wa muungano wa Azimio La Umoja Raila Odinga hatahudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais mteule William Ruto siku ya Jumanne.
Katika taarifa yake siku ya Jumatatu, Odinga alikiri kuwa Ruto alimwalika yeye binafsi kwenye hafla ya kuapishwa lakini akasema hataheshimu mwaliko huo kwa vile...
Wizara ya ulinzi ya Urusi imekiri kuondoa wanajeshi wake Balakliya na Izyum, hii ni kutokana na mapigo wanayopokea kutoka kwa wazalendo wa Ukraine na huu ushindi umewapa mzuka mpya raia wa Ukraine ambao wengi wamejitokeza kufanya usafi.......
==========================
CHUHUIV, Ukraine — After...
Wote tunakumbuka bajeti ya serikali iliyowasilishwa kwa mwaka 2022/23 ni TZS Trilioni 41.48 ikiwa ni ongezeko la 9.2% ukilinganisha na mwaka jana. Sehemu kubwa ya bajeti hii inategemea fedha za ndani (kwa zaidi ya 67%, hili ni jambo la kihistoria na la kipekee).
Baada ya uwasilishwaji wa bajeti...
Ni hivyo tuu, huu utaratibu urudishwe haraka. Sababu iko wazi, makato mapya ya kutoa na kuweka pesa bank hayavumiliki hata kidogo na yanamnyonya mfanyakazi directly sababu hajapewa option(s), yaani automatically anafosiwa kukatwa sababu hakuna njia ya kuuchukua huo mshahara bila kukatwa...
Haruyuki Takahashi ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Michezo ya Olimpiki ya Tokyo nchini Japan pamoja na watu wengine watatu wamekamatwa leo kwa tuhuma za kuchukua #Rushwa Tsh. Milioni 886.1.
Waendesha Mashtaka wamedai kiongozi huyo na wenzake walipokea pesa hizo kutoka kwa muuzaji wa nguo za...
Take it back: Scholz calls on Russia to accept turbine needed for Europe's gas supplies.
German Chancellor Olaf Scholz has slammed Moscow over its refusal to take back a key piece of equipment used to pump gas from Russia to Germany.
Visiting Siemens Energy near Duisburg, Scholz took the...
Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi....
Update.............
Tantrade nimejulishwa kuwa wao Wana mfumo, barua au email ikipokelewa inakua...
Ukiwa na mpenzi au mwenza wako kwenye marital bed, ni busara kuweka simu kwenye vibration. Mihangaiko ya mchana kutwa inachosha, na usingizi ni njia pekee Mwenyezi Mungu alituwekea kupunguza uchovu bure bila gharama.
Kuna wale wanaotegemea simu za biashara ya kazi na nyingine huingia hata saa...
Wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wameonesha kufurahia ujio wa wageni waliohamiawilayani humo kutokea Ngorongoro. Pamoja na kutaja faida kadhaa wameeleza pia kuwa, ujio wao umeanza kukuza Mnada wa Nderema kwamba utakuwa ni moja ya mnada kubwa Afrika Mashariki.
Tayari Serikali imeanza...
Agenda ya nchi za Magharibi kuidhoofisha urusi kwa kuitumia ukraine hasa ilianza tangu mwaka 2014 baada ya kumpindua Rais aliyekuwa wa mlengo wa Urusi.
Tangu wakati huo nchi za Magharibi zimekuwa zikiipa Ukraine silaha na mafunzo ya kijeshi ili hatimaye ukraine itiwe kiburi kukataa makubaliano...
➡️ Kwa muda mrefu wadau wahafidhina wa michezo hapa nchini wamekuwa wanakereka na tabia iliyoota mizozi ya Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za nchi nyingine zinazokuja kucheza na timu mojawapo kwa kusema kuwa wanakosa uzalendo
➡️ Jambo hili wamepambana nalo na limeshindikana kwa...
Balozi wa utalii nchini Tanzania Nangasu werema, amesifia.
Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii 2022/2023 ilisomwa na Waziri mwenye dhamana Balozi Dkt Pindi Hazara Chana Leo Bungeni Dodoma,ambapo amesema Serikali ya Awamu ya Sita imeleta bajeti bora zaidi inayojibu na kutatua matatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.