Ni kwamba......
1. Hata siku moja usije Kumuamini 100% kiumbe kiitwacho Mwanamke
2. Hata siku moja usipende Kujimaliza 100% kwa Mwanamke / Mkeo
. Hata siku moja ukiwa katika Public usipende sana kumtambia Mkeo wa Watu kwani hawa Hawatabiriki
4. Hata siku moja usiyaamini maneno matamu matamu...
SMZ INAVYONUFAIKA NA MIKOPO, MISAADA NA DHAMANA KUPITIA SJMT
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Zanzibar inanufaika na fedha zitolewazo na Wadau wa maendeleo kupitia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT).
Mhe. Khamis...
Mataifa ya afrika ni wakati wetu wa kuamka na kupigana hii vita ya tatu ya dunia iliyobadilishwa upepo na kugeukia kwenye vita ya kiuchumi.
Waafrika hii vita ni yetu na tukicheza vizuri hakika tunatoboa na kusonga mbele na kuacha kuwapigia magoti mabeberu kuwaomba msaada ili hali tuna maligafi...
Ushahidi wa Historia Kupitia Maneno ya Kawaida
Maneno tunayoyatumia kila siku yanaweza kutufundisha mengi kuhusu historia. Mfano mzuri ni neno "algorithm," ambalo linatokana na jina la mwanasayansi wa Kipersia wa karne ya 9, al-Khwarizmi. Hapa chini ni hadithi za kuvutia nyuma ya baadhi ya...
Habarini za usiku,
Je, inawezekana vipi kuwe na shitani mwingine zaidi ya Yesu na Muhamad iwapo hawa ndiyo walitumika na wazungu na warabu kuwafanyia WAAFRIKA mabaya ambayo ndiyo DHAMBI zenyewe?
Yaani mwarabu amtumie muhamad kuja Afrika kuwakamata Waafrika walioumbwa na Mungu na kwenda kuwauza...
Dar es Salaam, 28 Machi 2025 - Kampeni ya Magift ya Kugift kutoka YAS na Mixx by YAS imeendelea kubadilisha maisha ya Watanzania, ambapo siku ya tarehe 28 Machi, ilibadili maisha ya ndugu Ramadhani Abdallah Mwinchande, mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam baada ya kumkabidhi rasmi gari...
Papa Francis (88) amejitokeza kwa mara ya kwanza hadharani baada ya kulazwa kwa wiki tano kutokana na nimonia kali iliyohatarisha maisha yake. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki atatoa baraka kutoka Hospitali ya Gemelli, Rome, kabla ya kurejea Vatican kwa mapumziko ya miezi miwili.
Daktari...
# Wanatangaza Ajira 14 elfu.
# Wanafanyisha interview.
# Wanafauru vijana kwa kadri wanavyoweza.
Kisha. TAMISEMI INAANZA KUTOA MAJINA 40 KILA SIKU kanakwamba hizo Ajira walilazimishwa kuzitangaza
vijana wameacha kujihusisha na shughuri za kiuzalishaji fully toka January mpaka Leo huo mchakato...
TAARIFA YA KIFO: DAVID - Mwandishi na Mzalishaji wa Kazi za katuni.
Kwa huzuni kubwa, tunapenda kutoa taarifa ya kifo cha David, aliyejulikana kwa mchango wake mkubwa katika ulimwengu wa uandishi na uundaji wa michoro, hususan kupitia kazi ya Courage the Cowardly Dog.
David alileta kwa...
Makusanyo ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Kagera yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/ 2025 ni Shilingi Bilioni 3.2
Kagera ilipangiwa kukusanya Shilingi Bilioni 5.8 na mpaka mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu wa...
Ni ngumu sana gari aina ya V8 zile ambazo utumiwa na serikali kusimamishwa ovyo kama utakuwa probox au passo.
Na wakikusimamisha uwanza kujitafakari maana walishajengewa kuwa wenye magari haya ni wakubwa wasio guswa.
Watu wanasema kulikua na mazingira ya Rushwa Mara kulikua na Uvunjifu wa Amani.
Niwaaambie mnao raise hizo hoja sisi hatukatai hoja zenu ila tunataka mtu dhibitishie hivo vitu over...
Mjue Nini Mimi nimesoma sheria na Kuna Mwalimu wakat ananifundisha Criminal aliwahi sema, kusema umefanyiwa...
Binti anayeenda kunyongwa Vietnam inaelezwa kwenye video hii na inaonekana Njoroge ambaye ni miongoni mwa watu wa Serikali waliofuma mbinu kwa Nduta kusafirisha madawa ya kulevya huko Vietnam,
Baada ya kukamatwa wao wakazima simu ,
https://youtu.be/VK_s6RGOlps?si=EZe_9fBY4mHLeXyH
Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel
Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali.
Wako...
Ndugu Mwekezaji Mtarajiwa...
Baada ya kusoma ujumbe huu mpaka mwisho, utakuwa na SIRI MUHIMU za kuwekeza kwenye hisa kwa faida kubwa, huku ukiepuka makosa yanayowaangusha wawekezaji wengi.
LAKINI…
Kabla sijakufundisha mbinu hizi, hebu nikupe STORY FUPI inayoonyesha kwa nini Watanzania wengi...
Wakuu ili kujenga taifa lenye uchumi imara na imara ni muda wa shirika la umeme Tanzania TANESCO kuweka utaratibu wa kuwaungia umeme wateja wapya ambao hawana uwezo wa kulipia gharama za umeme kwa mkupuo kwa utaratibu wa malipo ya polepole. Faida kuu itakayopatikana ni pamoja na:
1. Kuimarisha...
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini.
Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Hazina Ndogo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara...
Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation.
Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet)
Leo nitakupa sori na njia wanazotumia kupata hizo pesa
Wengine wapo chuo, dropout
Nimewashuhudia wakiwa...
Inawezekana na Iliwezekana huko kwa nchi za wakubwa wetu..kutumia Afya,magonjwa na milipuko ya magonjwa kama chanzo cha upigaji fedha.
chondechonde tusiingie kwenye mtego huu.
Makampuni ya dawa,vifaa tiba na other medical supplies yamekamata uchumi duniani na yapo katika ushindani wa kiuchumi...
Kwa miaka hii nimekuwa nikikutana na watu waliopata mafanikio au maendeleo yoyote Yale kupitia connection huwa Nina mdharau sana, na muda mwingine huwa naudharau hata ushauri wake,..akiwa anaongea huwa najisemea kimoyomoyo "huyu ataniambia nini!"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.