Ninaandika hivi kuwakumbusha wanasiasa na umma wa Watanzania kwamba Tume ya Jaji CHANDE ilipendkeza kuwa na Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa ,Kuwa na Katiba mpya ifikapo 2028 na kwamba chaguzi zijazo za 2029/2030 zifanyike chini ya Katiba mpya,Fidia kwa waathirika nk.
Lakini kwa...
Moja ya changamoto kubwa zinazowakabili wafanyabiashara wengi ni kuwa na bidhaa au huduma nzuri, lakini watu wachache wanaofahamu uwepo wa biashara zao.
Ukweli ni kwamba, kuwa na bidhaa nzuri pekee hakutoshi. Unahitaji pia kuwa na mikakati sahihi ya kuitangaza biashara yako ili iwafikie watu...
Katika biashara, si lazima kila mara uanze kwa kuuza bidhaa au huduma zako. Wakati mwingine, njia bora ya kuvutia wateja ni kuwafundisha na kuwapa suluhisho la changamoto zao.
Unaposhiriki elimu yenye manufaa kupitia mitandao ya kijamii, blogu au video:
Unajenga uaminifu kwa wateja wako...
Maonyesho ya Kimataifa ya Uingizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamefunguliwa hivi karibuni mjini Shanghai, yakivutia idadi kubwa ya makampuni na wafanyabiashara kutoka Afrika.
Katika siku ya kwanza ya maonesho hayo, Kampuni ya kuchakata kakao ya Ghana ilipata oda ya tani 250 za kakao yenye thamani...
Kupata kibali cha ujenzi Dodoma imekuwa usumbufu mkubwa wanasema mpaka upate hati na hati siyo kitendo cha wiki moja, ni miezi na ukianza ujenzi wanakuja kusimamisha.
Hati zinatolewa kwenye Mfumo wa E Ardhi, binafsi nina muamala ambao ni wa tangu Machi 2025 mpaka leo haijapatikana Control...
Anonymous
Thread
dodoma
kibali
kibali cha ujenzi
kupata
raia
shughuli
ujenzi
Mh. Lissu baada ya kukamatwa alifunguliwa kesi 2 ya Uchochezi ambayo alipata dhamana na ya Uhaini. Uhaini ikaendelea. Uhaini imeonekana imeshindwa ila kuna uchochezi ambayo sawa na ile iliyopaki Kisutu. Sasa inakuwaje Mahakama kuu imalize mchezo juu kwa juu? Yaani baada ya mahakama kuu kumkuta...
Ni utaratibu wa kawaida mke na watoto kuwa bega kwa bega pale baba au mwanafamilia mmoja anapopata tatizo lolote iwe maradhi,misiba au hata mashtaka ya kimahakama,tuwe tu wakweli,je mke wa aina hii anafaa kwenye jamii yetu na udugu wetu wa kitanzania?
Let be frankly and truly,
Maisha ni...
Nimefanya hesabu kwa kutumia masharti ya Kifungu cha 49(1) cha Prisons Act, Cap. 58 na Kifungu cha 172(2)(c) cha Criminal Procedure Act, Cap. 20.
Prisons Act, Section 49(1): Hutoa uwezekano wa kupata punguzo la theluthi moja kwa mwenendo mzuri na kufanya kazi.
Punguzo la 1/3 la miaka 4 = Mwaka...
NAOMBA UFAFANUZI: MABOMU YA GONGO LA MBOTO YALILIPUKA LENGO NI NINI, NA NANI ALIYATEGA?
Naomba kupata ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa, wataalamu wa masuala ya usalama, historia na wale wanaofahamu vizuri tukio la milipuko ya mabomu iliyotokea Gongo la Mboto, Dar es Salaam.
Kuna maswali...
Mbali na timu ya taifa kuandaliwa kushiriki na kushinda kombe. Taasisi kama vyuo wanapaswa kubangua bongo kunufaika na globap/continental/regional events kama hizi, hata kwa kushirikiana na sekta binafsi (PPP).
Mna eneo zuri, kubwa katikati ya mji mngeweza kujenga hotel na kiwanja kikubwa cha...
Kuna habari nimezipata kuwa Lema ameanza kufanya process za kupata uraia wa Canada kupitia mpango unaoitwa Family Class – Spousal Sponsorship.
Bado nafuatilia kupata ukweli huu.
1. Fanya utafiti mdogo juu ya gari unalolitaka: Uliza ujue gari unalolitaka linauzwa kiasi gani[makadirio]. Ukiweza kujua bei ya showroom au ukiagiza mwenyewe Japan halafu linganisha na bei utakayopewa hapa. Hili ni muhimu kwa sababu nimeshuhudia watu wananunua magari yaliyotumika Tanzania kwa...
"Wengi siku hizi wanajipendekeza ili wachaguliwe kuwa wakuu wa wilaya, administrative officers, ama sijui ma... maofisa watawala. Yaani watu akili zao zote kupata uteuzi... nini kujipendekeza. Na wanahabari wamo!"
"Zamani zetu sisi, unaweza ukakaa mwezi mzima hujaona picha ya Mwalimu front...
Wakati baadhi ya watu wanatumia AI kuuliza maswali ya kawaida, wengine wanajifunza kuitumia kutengeneza huduma ambazo watu na biashara ziko tayari kuzilipia. Tofauti haipo kwenye teknolojia pekee, bali namna unavyoitumia.
Gemini AI inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza ufanisi na kuanzisha...
Ibiteketeke, mboga ya majani ya magimbi yaliyokatwakatwa.
Ni matamu lakini yanawasha sana mdomoni. Nilikuka jana usiku.
Muda huu natoka chooni, nimepata choo kwa mateso makali sana, njia nzima ya haja kubwa inawasha na kuwaka moto
Wahangaza hii kitu msirudie tena kuwapa wageni. Mnawatesa.
Ndugu zangu Watanzania,
El Niño maana yake ni nini?
El Niño ni hali ya mabadiliko ya hali ya hewa inayotokea pale maji ya bahari ya Pasifiki katika ukanda wa ikweta yanapokuwa na joto zaidi kuliko kawaida. Hali hii hubadilisha mifumo ya mvua na joto katika maeneo mbalimbali duniani, ikiwemo...
Alhamdulilah nimetoka salama nimepata mikwaruzo kidogo kwenye mikono na mguu wa kushoto niliubamiza unauma kimtindo.
Dah niliona kabsa kifo hichi hapa ila maisha yamenipa another chance.
God did!!
Bilioni 730 za El Nino ije is8je lazima "zitafunwe". Wewe umebuni mradi gani?
Safisha mitaro, rekebisha madaraja, chimba mitaro mipya kuchepusha maji, bomoa nyumba zilizo karibu na njia za maji, mabinde, mito etcetc.
BUNI MRADI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.