kuongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Lengo la Serikali ni kuongoza Broken Families, kwani ni rahisi kutawala watu chokoraa wasio na familia.

    LENGO LA SERIKALI NI KUONGOZA BROKEN FAMILIES, KWANI ni RAHISI KUTAWALA WATU CHOKORAA WASIO NA FAMILIA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Watibeli tunajua moja ya mbinu ya kimedani katika kutawala watu na Dunia kwa ujumla ni kanuni inayosema Wagawe uwatawale( Divide and Rules). Siasa za...
  2. M

    Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  3. Tlaatlaah

    Athari za kijamii, kisiasa na kiuchumi za kuhamasisha uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi na kusababisha maafa zitatumika kutoa kuhukumuN6.

    Ni wazi msingi wa hukumu ya kihistoria katika taifa letu, utazingatia zaidi ukweli wa athari mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi zilizosababishwa na mipango fichi ovu, yenye nia na dhamira ovu iliyochochewa na kuhamasishwa na chama cha siasa husika kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia na...
  4. F

    Katiba ya nchi yetu inaruhusu kiongozi wa dini kuongoza maandamano kama alivyofanya Desmund Tutu na Martin Luther?

    Nimeuliza swali, Majibu yawe mafupi yakiambatana na kifungu ndani ya katiba, tafadhali Karibuni.
  5. Scars

    Ballon d'Or wabadili gia angani baada ya Cristiano Ronaldo kuongoza kwa idadi ya kura kwenye B.O.A.T

    Mwanzoni mwa mwezi huu Ballon d'Or walitangaza kuja na tuzo za B.O.A.Y (Ballon d'Or of all time) Hii ilikuwa inawahusu wachezaji ambao walichukua tuzo za Ballon d'Or kwa zaidi ya mara mbili. Ballon d'Or wakaweka mfumo huru kwa kila mtu kuweza kumpigia kura mchezaji ambaye alikuwa na msimu...
  6. A

    BAKHRESA acha kutuibia watanzania Sinema zetu tumelipia ila imejaa matangazo, kila baada ya dk 5 matangazo, huu ni wizi. TCRA mko wapi? Basi iwe bure

    Maneno matakatifu yalivyosema kwa tajiri kuona ufalme wa Mungu ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano ni kweli. AZAM TV ina channel ya Sinema zetu inayoonesha movie za kibongo kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 2. Hii channel mtu amejipinda amelipia sh 12,000 kwa mwezi. Ni kipindi cha saa 1 moja...
  7. Yoda

    Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

    Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ? Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata...
  8. A

    Dr. Alex Malasusa VC wa Tumaini University Makumira Prof. Faustine Mahaki ameshashindwa kuongoza, mnasubiri nini kitokee? Subirini kesi ya mabilioni

    Tumeshaandika mmeshupaza shingo, mmejaa kiburi na dharau, wahadhiri na wafanyakazi hawana mishahara rangia mwezi wa 7 na hakuna dalili ya kulipwa, tunaambiwa VC ametumia pesa kwa mambo.mengine na tunaambiwa we umehusika. Viongozi wa dini mmekuwa wahuni, makatili, tunajua hii serikali mmeiweka...
  9. ShesRise_1

    🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Hello wana great thinkers 🧠 Blue Monday ✍️ Je, tunapaswa kuamini intuition yetu ya ndani bila kutumia reasoning? Yaani ile umekaa tu pap... ukapata sauti au msukumo wa ndani unaokuambia usifanye jambo fulani halafu ukaamua kuitii bila kwanza kufikiria kwa kina na kuchambua sababu? Umewahi...
  10. La Quica

    Kuongoza watu uliowazidi umri

    Wakuu situation imenikuta kua nimekuwa kiongozi wa watu ambao ni watu wenye umri kunizidi. Yani katika watu 10 mimi nimechaguliwa kuwaongoza na ndio mdogo wa wote. Mimi niko early 30s ila kwenye team kuna wenye 50+ Niishije na hao ma legend ambao wako mda mrefu kazini. Ku act hii position...
  11. O

    Marais Wastaafu Wazuiwa Kuongoza Vyama: High Court Yaweka Mipaka ya Ushawishi Baada ya State House

    Mahakama Kuu imeunga mkono sheria inayozuia Rais mstaafu kushikilia nafasi rasmi ya uongozi katika chama cha kisiasa zaidi ya miezi sita baada ya kuondoka madarakani. Justice Lawrence Mugambi alitupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga Section 6 ya Presidential Retirement Benefits Act, akisema...
  12. Parabolic

    Eda ni nini? Je, Rais Samia kuendelea kuongoza akiwa eda?

    Kifo cha Hafidh Ameir, mume wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kimeibua maswali kuhusu kipindi ambacho mwanamke Mwislamu huingia baada ya kufiwa na mume wake. Kipindi hicho kinachojulikana kama eda kina masharti gani, huchukua muda gani na kinatofautianaje na maombolezo ya kawaida? Soma...
  13. L

    CHADEMA Ilifanya Uchaguzi Wa Mwenyekiti Chama Kikapasuka na Kusambaratika . Halafu Utaona Wanabetua Midomo wanasema Wanaweza Kuongoza Nchi.

    Ndugu zangu Watanzania, Uimara ,Ushupavu na Umadhubuti Wa Chama cha Siasa na kilicho tayari kuongoza Na kushika Dola ni Pamoja na ukomavu wake wa kuhimili mikiki mikiki ya ndani ya chama . Ni Pamoja na kuweza kujiongoza chenyewe kama Taasisi ,Ni Pamoja na Kuweza kutatua migogoro yake bila shida...
  14. comrade_kipepe

    Kwa mfano akiamua kuongoza Hadi achoke yeye kama M7, anaweza sana tu

    Kwa hapa tulipofikia, akiamua aongoze mpaka achoke yeye ni kitu ambacho anaweza na chepesi sana kwake, hakuna kitu kitakachomzuia. Kuna jamaa alitoa Uzi asubuhi anasema mtanganyika ni mpumbavu na sio wa kuonea huruma, ukipata nafasi mpasue tuu hata kama Kuna ulazima wa kumuua wewe Fanya hivyo...
  15. O

    Muswada wa mfano (Model Bill) wa sheria ya kuongoza mchakato wa maridhiano

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tumeandaa Rasimu ya Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Sheria ya kuongoza Mchakato wa Maridhiano nchini.Lengo la Muswada huu wa Mfano ni kushawishi Serikali na wadau wote kuona umuhimu wa kuwa na Sheria itakayoongoza Mchakato wa Maridhioano...
  16. kavulata

    Shida ya Simba ni Mangungu kutumia busara zake badala ya Katiba ya Simba kuongoza timu.

    Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake. Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
  17. L

    Rais Samia Anaweza Kuongoza Taifa Kwa Mafanikio Makubwa Hata Bila Katiba

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile . Napenda kuwaambieni ya kuwa Hata uwe na katiba nzuri kiasi...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Unafikiri nani ana afadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura

    Unafikiri nani anaafadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura. Watakaoshika nafasi Tatu za juu. Itahesabika wanaushawishi hasa katika mtandao wa JF. Kwa wale wa CHADEMA na vyama vingine nanyi mnaweza kuchagua kama nilivyosema mwenye afadhali kadiri ya...
  19. Yoda

    Kijana wa kidato cha pili Kenya apigwa mpaka kufa kwenye ugomvi wa kuongoza maombi.

    Ugomvi wa vijana wawili nani aongoze sala au swala katika shule ya Sekondari ya Thika umepelekea kijana Mohamed wa jamii ya Wasomali kufariki baada ya kupigwa na mwenzake vibaya sana.
  20. E

    Jacinta Ngobese-Zuma: Kutoka kuwa mtangazaji wa radio hadi kuongoza "March and March"

    Hali sio shwari kwa wahamiaji nchini Afrika Kusini hasa wale wanaotoka mataifa ya Afrika. Maelfu ya wananchi kutoka Nigeria, Ghana, Malawi, Zimbabwe na Zambia na nyinginezo, wanatakiwa waondoke nchini humo kabla ya Juni 30, 2026. Siku hiyo yamepangwa maandamano makubwa ya kuwafukuza wahamiaji...
Back
Top Bottom