kuongea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Njia ya kuongea na shetani ni ipi ?

    Kama maombi au dua ni njia ya kuongea/kuwasiliana na mungu, Je njia ya kuongea na shetani ni ipi ?
  2. M

    Hoja za TAL baada ya Katuga kuongea siku ya hukumu zimenifanya nimfananishe TAL na AI

    Nimeshangaa uwezo wa TAL jinsi alivyotema nondo kukabiliana na equation ya Ndunguru na Katuga... hakika jamaa ni AI
  3. Q

    Lema alienda kuongea na balozi za nje kama nani? Je, CHADEMA ilimtuma?

    Viongozi wakuu wa chama ukimtoa Lissu ni Heche na Mnyika ndio wenye mandate ya kuongea kwa niaba ya chama. Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu sio kiongozi mkuu wa chama, labda kama alitumwa na chama. Pili, tutajuaje aliongea nini na hizo balozi, hata kama ni kwa nia njema nani alimtuma kukiwakilisha...
  4. R

    Mawakili wa Lisu kuongea na wana habari leo 24.10.2025 saa tano

    The placard tells it all Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, wanatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari leo, Oktoba 24, 2026, katika Makao Makuu ya chama hicho, Edwin Mtei House, Mikocheni jijini Dar es Salaam...
  5. Kaka yake shetani

    Iliwezaje mpaka shaikh mwaipopo kuwa anaweza kuongea mbele media na kujinasibu wakati ni raia wa Burundi.

    Ni kwamba CCM ukiweza kuisifu hata ukiwa muovu inakutunza na kukulinda. Kwa taarifa za ndani hata ilo jina mwaipopo wanadai ni kujipandikiza watu wasigundue uraia wake. Ila kigoma wana mfahamu vizuri kuwa alitokea burundi.
  6. M

    JE NI KWELI KANISA HALINA HAKI YA KUONYA AU KUKEMEA WATAWALA WAOVU? NA JE MAKONDA ALIKUWA SAHIHI KUONGEA YALE KWA KUJIVISHA UTUMISHI?

    Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine. Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo: 1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
  7. Yoda

    Nini kinapelekea Wazaramo kuongea sana ?

    Nini kinawafanya Wazaramo wawe wanaongea sana kwa muendelezo bila breki muda mrefu bila kuishiwa maneno kama vile Cherehani? Kuna Mzaramo introvert ?
  8. Idugunde

    Sandaland kuongea na wanahabari kesho. Ni kuhusu Makonda kuingilia mkataba halali na TFF

    Uongozi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear limited unatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho September 22 2026 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam kuanzia saa tano kamili asubuhi. Hata hivyo kupitia taarifa yake kwa Umma, Kampuni hiyo ambayo ndiyo yenye tenda ya jezi za Timu...
  9. Q

    Lema kuongea na vyombo vya habari kesho

    Kesho saa sita mchana nitakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Golden Tulip. Waandishi wa habari wote mnakaribishwa. Karibuni sana. Godbless Lema.
  10. The Ghost Scripter

    Usiishie kuongea tu, fanya sauti yako isikike

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuongea jambo… na kufanya watu wakusikilize. Unaweza kuwa na biashara nzuri. Unaweza kuwa na bidhaa bora. Lakini kama ujumbe wako haujawafikia watu kwa sauti sahihi, unaweza kupoteza nafasi ya kuwafanya wakuelewe, wakuamini na hatimaye wakuchague. Voice Over...
  11. figganigga

    Ajabu: Samia kaanza kuongea na Wanahabari wakati hajamaliza Eda! 🤔

    Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia...
  12. Nyendo

    ACT wanazungumza na Wanahabari, leo Septemba 6, 2026

    https://www.youtube.com/live/l9aMozamc9E?si=Uzp7jrGfBn-D6-UJ
  13. S

    Tafadhali sana Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) toeni agizo namba za customer service zote ziwe na option ya kuongea na mtoa huduma

    Tafadhali sana Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), tunawaomba angalau mtupunguzie mojawapo ya kero nyingi sana katika nchi hii, kwamba unapopiga namba yeyote ya Customer Service, iwe ni kampuni za simu, mashirika ya umma, biashara, NGO nk, ili mradi iwe ni customer service, basi...
  14. Jaji Mfawidhi

    Mahakama zetu ni huru 100% Mawakili Wapigwa Stop Kuongea Kesi za Mahakamani!

    Katika hali ya kufurahisha, mawakili wamefurahia sana kwa kitendo cha Mahakama zilizokosa weledi hupenda kufurahisha anayewateua majaji na si kufurahisha sheria. Kanuni hiyo inakiuka ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano Watanzania. Hivyo kanuni hiyo haina uhalali wowote wakuendelea...
  15. T

    Ahsante mwenyekiti John Heche kuongea na watanzania kupitia diaspora

    Mheshimiwa ahsante kuongea na watanzania kupitia diaspora. Tunaomba uwe unafanya hivyo mara kwa mara. Lazima tuikomboe nchi yetu. Thumb up mheshimiwa
  16. figganigga

    Polisi: Changamoto hazitatuliwi kwa kurushiana Mawe, kufanya Vurugu bali kwa kukaaa pamoja, kuongea na kusahihisha kama Watanzania

    Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Alphonce Misime akieleza hali ya Ulinzi na Usalama katika maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), amezumgumzia Amani ila hakuzungumzia haki. Kasema Baraka ambazo ametuwezesha Mwenyezi Mungu Pumzi inatuwezesha kufanya shughuli mbalimbali za...
  17. stabilityman

    Wapi wanafudisha kuongea lugha ya kichina?

    Wapi wanafudisha kuongea lugha ya kichina?
  18. Kilimi

    Nafasi 10 za kazi kwa watafsiri wa kichina na 10 kwa wapishi wa kichina

    naitaji watu 10 ambaye yupo tayari kufanya kazi KIBAHA na DSM kwa nafasi ya mtafsiri wa kichina na 10 mpishi wa kichina anaeweza kupika vyakula vya kichina (certified) -uzoefu wa miaka 2 au zaid tuma cv 0657392242
  19. ShesRise_1

    Je, una tabia ya kuongea na wewe mwenyewe?

    Je, una tabia ya kujiongelesha mwenyewe? Mfano kujipa maoni binafsi au kujiambia: Hiki ninachofanya si sahihi sitaki tena Kuna wakati kujisemesha mwenyewe ni muhimu sana ukweli ni kwamba hakuna anayekujua zaidi ya unavyojijua wewe mwenyewe. Kuna tabia zipo ndani yetu ambazo si rahisi mtu wa...
  20. instinct desire

    Tanzania wakiona mtu anaongea sana kwenye mikutano wanaona kama ni kiongozi bora, ndugu zangu kuongea sana siyo akili ni uchaa baridi

    Uongozi ni busara na hekima, ni kupanga na kuongoza, uongozi ni ulezi (guiding) uongozi ni taswira ya sehemu unayoiongoza. Uongozi ni ku-control hisia, uongozi ni utulivu wa mwili na akili, uongozi ni kuongea kidogo vitendo vingi. Nchini Kuna taasisi kibao zimepoteza direction sababu ya...
Back
Top Bottom