Kijana usikubali kuombwa pesa na mwanamke ambaye hana kazi yoyote ya kumuingizia hata 5000 kwa siku🤔
Utakuja lia mno na kulaumu dunia 🤣🤣
Labda kama unataka kuichapa na kusepa tu🤔
Najua huyo aliyeposti hana ubavu wa kufanya chochote zaidi ya kuwa shujaa wa nyuma ya keyboard (keyboard warrior), lakini bado mawazo haya si ya kubeza.
Hata nchi ikija kutawaliwa na viongozi wa kiimla kama Mobutu Sese Seko, msithubutu kufanya maamuzi ya kuomba msaada kwa Watutsi. Watu hawa...
gani
hali
hata
kamwe
kilio
kujikomboa
kujikwamua
kulia
kuomba
kusaga
kusaga meno
kutoka
kutumia
kwenda
mbaya
meno
mlango
msaada
mtakuja
mtego
nchi
vijana
Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao.
Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
Anonymous (f160)
Thread
changamoto
daruso
kuombakuomba rushwa
loan
loan officer
mikopo
rushwa
serikali
udsm
viongozi
wanafunzi
waziri
wizara
zao
Baada ya Mdau kuandika hoja akieleza ~ MWAUWASA na urasimu unaofikia kiwango cha juu, ufafanuzi umetolewa kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA).
MWAUWASA:
Kuhusu suala la maunganisho mapya ya huduma ya maji, kwa sasa Mamlaka imeboresha zaidi na Mteja anaomba...
Sijui ni Mimi tu au na wengine wanapata hii changamoto? Kwa upande wangu mfumo mzima wa kujaza online unasumbua.
Mtu akijaza taarifa step one, akifika step ya 2 akajaza, inamrudisha step one. Ni kwanini, ni matatizo ya mfumo au ni Nini?
Kuomba ni spiritual communication na Mungu na si vingine tuache kujidanganya.
Kwa mifumo ya liturujia za makanisa ya kikiristo ndani Kuna kuombea viongozi wa serikali, Kuna kuombea wagonjwa, Kuna kuombea yatima na wajane na Kuna kujiombea pia. Hayo yapo automatic na yanasomwa si kwa kuyatamka...
My Take
Tushike lipi?
https://www.instagram.com/reel/DevpsREotHp/?psln=ZXdlbzlocTFxODEy
Kutoka Kwa TMA wao wanasema El Nino ilishaanza Toka mwezi wa 5.
https://www.instagram.com/reel/DexIUhdsYeW/?obrf=MWhuZXZzbGpiY2NodA==
My Take 2
Watanzania ndio watu pekee Duniani wanaoombea wapate majanga...
Baada ya serikali HARAMU ya samia na kikwete KUPUUZA maelekezo ya Commonwealth (Jumuiya Madola) ya kurejesha utawala wa kidemokrasia Tanzania, hatimaye RUNGU la Vikwazo limeanza kutembea sasa.
Jambo la kufurahisha ni kwamba wameanza na MACHAWA wao, Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) ya...
Trump atangaza makubaliano ya dizeli ya Urusi huku Zelensky akikosoa 'zawadi kwa Putin'
Rais wa Marekani Donald Trump anasema amefikia makubaliano na Rais wa Urusi Vladimir Putin kuruhusu Moscow "kutoa mara moja" dizeli katika soko la kimataifa.
Trump alisema Putin alikuwa amekubali kutoa tani...
Habarini za wakati huu wanajamii forum.
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 23.Nimekuja hapa kuomba ushauri nasaha juu la tatizo la kiafya linalosumbua kwa muda wa miaka mitano sasa .
HISTORIA YA TATIZO (Nahisi ndiyo chanzo lakini madaktari huwa wanakataa wakidai havina uhusiano)
Mwaka 2020...
Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi:
“Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.”
Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
divorce
gharama
gharama za matibabu
habari
hawezi
hivyo
huwa
jamii
jicho
kijamii
kinga
kulinda
kuomba
kupunguza
kuugua
kuvunja
kuvunja ndoa
maamuzi
mali
matibabu
mume
mume wake
mwanamke
ndoa
ndugu
talaka
ugonjwa
wake
Je,
ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi?
Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
bado
edward
hayati
hukumu
kabla
kisiasa
kiuchumi
korokoroni
kuomba
lowasa
mpinzani
mtuhumiwa
muda
nguvu
ni kwanini
siku
tanzania
tena
uhaini
ulimwenguni
ushawishi
wana
watuhumiwa
watuhumiwa wa uhaini
zao
Je,
alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia?
Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
bila
chochote
darasa
hii
kesi
kisheria
kisiasa
kufanikiwa
kuomba
kusaidiwa
lisu
mawakili
mtuhumiwa
muhimu
nchi
sana
tanzania
tundu
uhaini
wanasheria
wote
Iran: Ujumbe wa Hamas ukiongozwa na afisa mkuu wa Hamas Bassem Naim uliwasili Tehran kwa ziara, ambapo Naim alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi na Spika wa Bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf.
Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha
Habari wana JF,
Leo asubuhi nimeamka na wazo moja zito sana kichwani. Kuna kipindi katika maisha mtu anapitia hali ngumu, lakini jambo gumu zaidi siyo hata kukosa—bali ni kujua namna ya kuomba msaada.
Wengine wana...
Kuomba kwa bidii kama Eliya ni kuomba kwa namna gani
Maandiko yanasema Eliya aliomba kwa bidii hadi akasimamisha mvua kunyesha kwa muda wa miaka 3 na nusu (Yakobo5:17) Je, kuomba kwa bidii ni kuomba kwa namna gani?
Hebu tusome Yakobo 5:
17 “Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja kama sisi...
Sehemu ninayokaa hamna bomba kuna mtu wa nyumba ya pili alikuwa amevuta maji akawa anatuuzia maji ila baadaye akaja kuzuliwa na DAWASA DAWASA kuwa hana kibali cha kuuza maji lakini pia sisi sehemu tulipo tupo ndani ya mita 50 kutoka bomba kubwa hivyo tunatakiwa kuvuta maji yule mtu akakatiwa...
Wanawake kuomba pesa ni kwa sababu wao ni masikini na tegemezi zaidi kwa wanaume au kwa sababu ni wajibu wa wanaume kuwapa pesa wanawake wao bila kujali utofauti wa hali zao za uchumi / ukwasi ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.