kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. masara

    JamiiForums Tanzania Akataa kuolewa kisa mwanauwe hawezi kuandaa sherehe ila mahali yuko tayari kutoa

    Za mda huu wadau, Ni mama wa miaka 40 na ambaye pia ni mzee wa kanisa haya makanisa ya kilokole na alishawahi kuolewa na kudumu kwedumu kwenye ndoa kwa miaka 7 ila hakubahatika kupata mtoto mwanaume akamkimbia . Sasa kapata kijana mdogo tu wakaelewana, kijana akasema yeye yuko tayari kutoa...
  2. financial services

    JamiiForums Tanzania Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

    Hello wakuu!, Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu zinazopelekea watu kutokuoa au kuolewa

    Kipindi cha zamani kushuka 2000 kila jumamosi au siku za ijumaa popote upitapo lazima ukute sheree ambayo ni ndoa. Ilikuwa ni fahali na heshima kubwa unaposikia au kuona mtu kaoa au kaolewa. Hata kunapotokea vikao au maongezi kama ujawa sehemu hii uwezi kuruhusiwa. Jambo lilo nileta hapa...
  4. Perfectz

    JamiiForums Tanzania Kama ulitumia hii kitu na hujaoa au kuolewa kaza buti aisee

  5. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kafaulu lakini anataka kuolewa

    Wakuu habari za wakati.....! Unaambiwa kwa mwenzako sikia ila omba yasikukute, Mimi yamenikuta na ni kitu ambacho sikuwaza.....! Iko hivi Nina mwanangu wa kike kamaliza kidato cha nne mwaka huu kafaulu vizuri kwa div 1 kali tu...! Lakini cha ajabu amegoma kata kata kwenda shule akidai anataka...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Sabubu za Kuolewa nini nini hasa?

    Nilikutana na dada mmoja nilisoma nae ameolewa na kuachika mara nne na sasa yuko kwenye ndoa ya tano! Shida ilianza pale nilipo muuliza mumewe mzima! yeye naye aliniuliza yupi ninayemzungumzia Inawezekanaje mwanamke akaolewa na kuachika zaidi ya mara tano lakini wenzake hawajapata bahati hata...
  7. Bome-e

    JamiiForums Tanzania Oscar Oscar:Baba ameshakula mahari,watoto mkubali kuolewa!

  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Usitoe ahadi kuwa utamuoa au akuoe kabla hamjakubaliana. Kitakachokutokea utajuta

    Mahusiano ni sehemu ya maisha yetu na kwa wale ambao wanaingia kwenye mahusiano ndio wanaongoza kuwa na ahadi kama kichwa cha habari. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe hii kitu usije kufanya kama hujatulia, bado ujapanga kufanya hivo. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe ina matatizo makubwa mpaka wengine...
  9. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya endapo wazazi wako watamkataa mchumba unayetaka kumuoa au kuolewa naye?

    Hakuna safari ndefu kama safari ya mahusiano huwa ina mabonde na malima lakini Moja kati ya changamoto kubwa katika mahusiano kuelekea ndoa ni wazazi kupinga au kumkataa mchumba unayetaka kumuoa au kuolewa kwa sababu mbalimbali wanazozijua wao. Ni kitu gani cha kufanya katika hili?
  10. Informer

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kufanyiwa marekebisho kuhusu umri wa kuolewa

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali imepanga kutekeleza uamuzi wa Mahakama ya Rufani kwa kuandaa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, kuhusu umri wa kuolewa. Profesa Kabudi alisema hayo Novemba 18,2021 alipoeleza mafanikio ya wizara yake...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Wamuua binti kwa kipigo wakimlazimisha kuolewa ili wapate ng'ombe

    JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa kijijicha Lufubu wilayani Uvinza kwa tuhuma za kumpiga fimbo mtoto wake Mbaru Juakali (17) hadi kusababisha kifo huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa ni kumlazimisha mtoto huyo kuolewa...
  12. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi kwa waliooa au kuolewa

    Habari za kazi waungwana Mie nina swali fikirishi kwa walio oa au kuolewa. Swali lenyewe liko hivi: Pale mzazi wa mke wako au mme wako anahitaji kutolewa figo, kwa kuwa figo zake zimefeli. Sasa basi mwenza wako akataka kutoa hiyo figo kwa mzazi wake, utamruhusu? Picha haihusiani ila uzi bila...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tarajio lako la kuoa au kuolewa lilikuwa ni lipi?

    Wengi wanapenda kuwa na wapenzi na hatimaye kufunga ndoa; Swali, Je tarajio lako la kuoa au kuolewa lilikuwa ni kwa ajili ya kupata watoto, kupata utamu, kuondoa upweke, au kuwaridhisha watu wanaokuzunguka kuwa upo kwenye mahusiano au ndoa?
  14. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Mahari laki 2 ipo tayari, anaehitaji kuolewa ajitokeze

    Hio hela iko fixed, nahitaji mwanamke mwenye akili timamu tuanze maisha kabla mwaka haujaisha. Umri ule ule wa kiserikali, top iwe 30. Mimi ni mkazi wa jiji la miamba, mvuvi wa samaki aina ya sato na sangala. Elimu yangu ya kuokoteza, ila najitambua na akili timamu Mahari ipo tayari narudia...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Njia wanayoweza kutumia wadada kupata waume wa kuwaoa kwa haraka

    Ulimwengu umebadilika sana, yale mambo ya kizamani ya kwamba, mwanaume ndio anatakiwa aanze kumtongoza mwanadada/mwanamke yalishapitwa na wakati. Kwa takwimu zilizopo duniani, wanawake ni wengi kuliko wanaume; sasa usipotumia ujuzi wa kuzaliwa, utajikuta unazeeka mwenyewe bila mwenza. Ndio maana...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kukubali kuolewa na wewe kuna mengi yapo akilini mwake au moyoni mwake

    Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanamke kukubali kuolewa ni hivi hapa! Umaarufu wako Hii inawakumba sana wasanii,watu maarufu au kitu fulani,biashara. Hapa bwana wimbi la wanawake watapenda kuolewa na wewe! Muonekano wako Hii inawakumba wale uwezi kujua ni maskini,yani mtanashati,mtu ambaye...
  17. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Unataka kuolewa? fuata haya...

    ‘Dodo’, ile ngoma la King Kiba, kalisikilize tena leo. Yawezekana hukuelewa jana na majuzi ile. Ni ngoma ambayo unaweza kuitumia kusaka ‘waifu’ flan hivi na ukafanaikiwa. Ni ngoma ambayo inakuwa tamu kadiri inavyoishi. Yeah (Ye Baba) Kupenda ni vitendo, Si maneno maneno, Leo nakupa kitengo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

    Habari zenu wakuu, Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha. Sitaki kuwa bi mdogo au mke wa pili nop natamani tu niwe...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wadada wenye akili, heshima na adabu ni ngumu sana kuolewa dunia ya leo. Ndoa zimebakia kwa micharuko tu

    Wdada waliojitunza na wenye kuishi kwa kufuata miiko na maadili hawaolewi. Kwasabb watu waovu ni wengi kuliko wema. Dunia imejaa ubatili na hivyo wenye ubatili wametamalaki. Wakaka wengi wametawaliwa na tamaa za kishetani. Akili zao ziko kwenye "kuonja", kuangalia makalio, shepu na rangi ya...
  20. mbegubora29

    JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Wasichana wengi waliomaliza vyuo vikuu ni mizigo na hawafai kuolewa!

    Mada iko nyepesi kabisa vijana wakiume tukimbilieni darasa la Saba au kidato cha nne aliyeshindwa Kwani wengi wao ndo wake sahihi ukimkuta mwenye dini. Msichana wa chuo kikuu anaamini ndo ni smartphone na kuweka bando tu kucheki sinema. Wanajua out Mara zawadi eeeh za kitoto kabisa lakini...
Back
Top Bottom