kunyongwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    Wako wapi wale waliokuwa wanasema Lisu akifungwa au kunyongwa watakinukisha na wakaja na msemo wao wa free Tundu Lisu.

    Wabongo wengi ni wanafiki , haswa wanaokesha mitandaoni. Huku mitaani ni ngumu sana kusikia mtu anasema atakinukisha kama Lisu atafungwa au kunyongwa, ila njoo sasa mitandaoni uone hilo nyomi la watu wanaojazana ujasiri hewa , ujasiri ambao upo vidoleni tu ku type ila moyoni wamejawa na uoga...
  2. S

    Mwaka 1979 Jerry Rawlings alifanywa kiongozi wa Ghana akisubiri kunyongwa kwa kuhukumiwa kifo kesi ya uhaini kisha wanajeshi vyeo vya chini wakamuokoa

    Jerry Rawlings; Kutoka kuhukumiwa kifo kwa uhaini hadi kuwa raisi wa Ghana Mapema mwaka 1979 Jerry Rawlings, akiwa pilot katika jeshi la Ghana mwenye cheo cha luteni, aliongoza uasi dhidi ya serikali ya raisi wa Ghana Fred Akuffo ambae aliona serikali yake imejaa ufisadi, rushwa, wizi na...
  3. D

    Lisu kunyongwa tar 6 hili liko wazi kabisa.

    Tunaomba mahakama itende haki katika hili. Haki ina pande mbli. Negative au positive kutokana na perception. But all in all fairness au equitable decision does not mean favour. One reaps what he/she has sown
  4. Mjopho

    Man yuu, inabondwa na kunyongwa

    ndio kama mlivyosikia
  5. Q

    Walitaka Lissu afe kwa risasi Mungu akamjibu, wanapanga afe kwa kunyongwa Mungu atajibu

    Kifo ni kifo tu, kiwe kwa risasi, kiwe kwa kunyonga, kitokee kitandani ni kifo tu. Magufuli alipanga Lissu afe kwa risasi Mungu akakataa ila akajibu instantly, safari hii wamepanga Lissu afe kwa kunyongwa, naimani Mungu atakataa tena lakini atawajibu kwa kipimo kile kile pengine zaidi. Kama ni...
  6. D

    Ombi langu. Tar 6 Mungu saidia Tundu lisu ahukumiwe kunyongwa.

    Haya ni maombi yangu mana haitakii mema nchi hii. Tuna rais mpenda maendeleo na ameleta mapinduzi makubwa sana kila sector abapo jpm aliharibu kila kila kitu. Samia kila nchi inamtamnai akaongozw mana hana makelele yeye ni kazi tu shukrani atazipata mbinguni
  7. T

    Dada Poa anayeitwa Latifa adaiwa kuuwawa na "Mteja". Akutwa uchi akiwa amenyongwa

    Mwanamke aliyefahamika kwa jina moja la Latifa, anayefanya biashara ya ngono, amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukutwa ndani ya chumba namba nne katika Lodge ya Dolphin, eneo la Kaloleni jijini Arusha, usiku wa kuamkia Oktoba 18, 2026. Kwa mujibu wa mashuhuda, Latifa...
  8. Design Your Idea

    Ahukumiwa kunyongwa kwa kumtukana muhammad

    SAUDI ARABIA Mtu huyu alikuwa na mabishano huko Facebook. Waislamu wengine mtandaoni walimtukana mungu wake wa Kihindu, kwa hivyo yeye, naye, alimtukana muhammad. Wale aliokuwa wanabishana nar waka screensho maoni yake, wakamripoti kwa mamlaka, akamkamata, na sasa yuko tayari kunyongwa.
  9. Yoda

    Bad News: Kijana wa Sri Lanka kunyongwa Saudi Arabia kwa kumkashifu Muhammad.

    Mfanyakazi mhamiaji Mtamil kutoka Sri Lanka, Sivarasa Anojan, amehukumiwa kifo nchini Saudi Arabia kwa sababu ya maoni aliyoyaandika kwenye Facebook ambayo yalionekana kuwa ya kumdhalilisha Uislamu na Mtume Muhammad. Kesi hiyo ilianza baada ya video kusambaa nchini Sri Lanka ikimuonyesha...
  10. F

    Itakuwaje kama Tundu Lissu atahukumiwa kunyongwa kama alivyotahadharisha?

    Kesi ya 'uhaini' inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu imefikia pazuri. Kilichobaki sasa ni hukumu. Je, itakuwaje kama Lissu atapatikana na hatia na adhabu yake ikishushwa? Tunasema hivi kwa sababu kosa la uhaini lina adhabu moja yaani...
  11. econonist

    Tuache ubabaishaji, hakuna Adhabu mbadala kwenye kosa la uhaini Zaidi ya Kunyongwa au kuwa huru.

    Naona Kuna njama zinafanywa na jamhuri kutaka Lissu apewe adhabu nyingine ili kumdogosha Lissu. Kwa ushahidi wa Jamhuri na utetezi wa Lissu ni ukweli kwamba Mh Lissu hana hatia ya Uhaini. Hivyo wanajaribu kitafuta vikosa vidogo vidogo na adhabu za kumdhalilisha Lissu. Kwa mfano, wanataka wampe...
  12. S

    Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani: Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
  13. Z

    Lissu anaogopa kunyongwa ndio maana anajitetea siku tatu mfululizo

    Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake.. Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake. Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
  14. Red black

    Mh.Tundu Antipas Lisu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa hadharani lazima vita itatokea Tanganyika.

    Lisu ni Icon ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm
  15. M

    Athari za Lagacy ya kisiasa ya Rais Samia kama Lissu atahukumiwa kunyongwa

    Umebaki muda mfupi kabla ya mahalama haijatoa hukumu kwa ndugu Lissu. Ndugu Lissu anashitakiwa kwa makosa ya uhaini. Si lengo langu kuingilia mahakama na sitofanya hivyo lakini najaribu kuiangalia possibility ya hukumu inayoweza kutokea katika worst case scenario na athari zake kwa Legacy ya...
  16. Mto wa mbu

    Kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa Vs akiachiwa huru na mahakama?

    Watu wengi wanaongea kwa mihemuko, eti Lissu atafungwa ata miaka miwili then ataachiwa, sijui sheria wameisoma wapi. Hapa Kuna mawili akutwe na hatia , ahukumiwe kunyongwa hadi kufa au hasikutwe na hatia achiwe huru na mahakama. Kwa hizo scenarios kutatokea nini Lissu akikutwa na hatia na...
  17. M

    Humphrey Polepole alisisitiza kwamba Samia na Kikwete lazima watashitakiwa na kunyongwa. Unabii utatimia wengi tukiwa hai

    Utawala wa Samia umefanya makosa makubwa ya kimkakati (strategic mistakes) yaliyoweka fursa ya kushitakiwa na kunyongwa. Kosa la kwanza ni "Coup D'etat" mtu yoyote anayejua siasa na sheria anafahamu October 29 Samia na Washirika wake walifanya mapinduzi dhidi ya maamuzi ya kiraia (Katiba...
  18. Idugunde

    Tangu tupate uhuru, Tundu Lissu ndio atakuwa Mwanasiasa wa kwanza Kunyongwa kwa ajili demokrasia ya taifa lake

    Hakuna mwingine ambae alishaandika historia kama ya Tundu Lissu. Kusingiziwa kesi isiyo na mashiko wala mbele. Kama watamtia hatiani atakuwa Mwanasiasa wa kwanza kumwaga damu yake kwa ajili ya demokrasia ya taifa lake.
  19. K

    Wanaodhani Mh. Lisu hatahukumiwa kunyongwa, warejee kisa cha Babu Seya na kesi yake ya ubakaji

    Nadhani walio wengi mnakumbukumbu na aina ya kesi aliyohukumiwa nayo Babu Seya na familia yake Kesi ile haikuwa ya uhaini kama ya Tundu Lisu, lakini iliendeshwa kimezengwe mizengwe kama ya Tundu Lisu Ilivuta hisia za wengi kama hii ya Tundu Lisu, Ushahidi wa kesi ile uliohusisha watoto wadogo...
  20. G

    Siku ya hukumu ya kunyongwa Kwa Lissu kama wataamua hivyo itampa umaarufu Dunia nzima na chama chake huku ikiwachawachafua na nchi yetu ikipata aibu

    Kwa hatua aliyofukia Lisu akiachiliwa au akinyongwa Bado credits zote zinarudi kwake na chama chake maana wamechagua haki na ukweli Lakini waswahili wanasema heri nusu shari kuliko Shari kamili au heri aibu kuliko fedheha Hamna haja ya kumtumia Lisu kama kete ya kulazimisha maridhiano...
Back
Top Bottom