kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Mwanaume alieoa anapata tendo la ndoa kwa shida kuliko ambaye hajaoa

    Wengi wanaamini wanapoteza ela kununua wanaamini wakioa watapata tendo la ndoa kwa urahisi bila longolongo ila kumbe walijidanganya/walidanganywa. Ukioa unapewa kwa kipimo mda mwingine inapita wiki mpaka mwezi bila kugusa iyo mbususu Na wakipewa wanapewa kishingo upande bila ushirikiano wowote...
  2. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli kuwa mwanamke ni shida sana kuliko kuwa mwanamke yeye na hospitali ni pete na chanda.

    wanawake wanapitia magumu sana haswa wakianza kuvunja ungo. Hapo ndo shida rasmi zinaanza ule usumbufu wa kuingia period kila mwezi na wengine period zao zinaingia na maumivu pamoja na kutokwa na damu nyingi inapelekea kupata shida ya damu mfumo wa homoni usipokaa sawa kidogo tu matatizo...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Madikteta wako efficient kwenye kuendesha uchumi kuliko viongozi wa kidemokrasia

    Wote kipaumbele chao ni kuendelea kubaki madarakani. Ili dikteta aendelee kubaki madarakani lazima awe na hela za kuwalipa wapambe, wanajeshi na vyombo vingine vya dola. So akili ya dikteta siku zote imefocus kwenye hela na uchumi. Kama nchi ina resources kama mafuta basi akili yote ya dikteta...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda angekuepo hayati Chacha Zakayo Wangwe Chadema kingekua chama cha siasa cha kizalendo kuliko hivi kilivyo sasa kimesheheni vibaraka na mamaluki.

    Ni wazi sura na taswira ya Chadema kwa sasa inajionyesha wazi kwamba ni kichaka cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magaharibi, wanaokusudia kuvuruga umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania kwa maslahi ya hao mabwenyenye ya magaharibi wanaowafadhili chadema na kuwafadhili...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Android inauza simu mara 4 zaidi kuliko Apple kila mwaka, lakini Apple inaongoza kwa mapato

    Mwaka 2025, Android ilisafirisha simu 1,000,000,000 huku iPhone ikisafirisha 240,000,000, hivyo kwa idadi ya vifaa Android iko ligi tofauti kabisa. Hata hivyo, bei ya wastani ya iPhone ni dola 1,060 sawa na Tsh. 2.756 Milioni, ikilinganishwa na dola 370 sawa na Tsh 962,000 kwa simu za Android...
  6. Think2

    JamiiForums Tanzania Airport ya Arusha ni local sana kuliko uhalisia wa jiji lenyewe

    Sis watanzania na Serikali yetu hii yaani jiji la Arusha linakuwa na uwanja wa ndege wa ajabu ajabu namna ile mapato ya utalii yanaenda wapi? Kwanini serikali isiupanue uwanja na kuwa wakimataifa zaidi. Just imagine AFCON2027 itakuaje kama kiwanja cha ndege ndo kile ukitoa hako kajengo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya mauji ya Oktoba 29, CCM sasa inahitaji maridhiano kuliko hata wapinzani

    Huu ndio ukweli japo hawezi kukiri hadharani. Safari hii wanahitaji maridhiano sio tu na wapinzani, bali wanahitaji maridhiano na umma wa watanzania kupitia wapinzani. Japo wanaendelea kumshikilia Lissu kwa uonevu, bado wanatamani sana kupiga picha na Lissu kuliko mtu mwingine yoyote yule...
  8. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Watoto waliozaliwa kwa operesheni wanakuwaga na akili kuliko wale wa kawaida

    Hawa wa kawaida wanapitia misukosuko mingi inawasiligi hata ukuaji wao kichwa kinapovutwa vutwa Wale wa operesheni wanatolewa wanaweka pembeni mdo mana wanakuaga na akili
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kuliko kuchomwa moto wa Milele ni Vyema na haki Mungu akatufanya watumwa. Tuwatumikie watakatifu huko mbinguni

    Mimi kila nikitazama mbele sioni kama nitatoboa na hatimae kuingia paradiso. Nimekaa nikafikiria na kuwaza sana Mungu atakuwa na faida Gani iwapo atatuchoma moto wa Milele? Na vipi tulio tiyari kufanywa watumwa tuwatumikie tu hao watakatifu wake? Kwakweli kutuchoma moto hapana manabii...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mourinho: "ni vigumu kuwa Cristiano kuliko kuwa Messi"

    Anaendelea kusema: "Ninaendelea kusema kwamba ni vigumu kuwa Cristiano kuliko kuwa Messi. Messi alikulia katika timu anayochezea, pamoja na wachezaji wenzake anaocheza nao. Cristiano alitoka Uingereza hadi kwenye timu iliyokuwa ikifeli. Ilimbidi akue katika miaka 2 ili wakati timu ikiwa...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania JamiiForums kuna wanawake wazuri sana, nimeshawahi kukutana na Wana JF warembo kuliko malaika, wazuri kuliko hela♥️😍

    It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa? Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Serikali kuuza dhahabu ni jambo la hatari kuliko tunavyofikiria

    1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni kiranja mkuu kila siku tunamuona Trump anahangaika kuiokoa dollar kwa sababu maji yamefika shingoni...
  13. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Iran - Nchi inayohofiwa zaidi ulimwenguni na Marekani kuliko Taifa lolote lile duniani

    Niaje waungwana. Kama kawaida, leo nimekuja kutoa somo kamili kwa wale wayahudi uchwara wa Tandale kwa Mtogole, wasiojua nguvu halisi ya Iran katika miaka iliyopita, iliyopo na ijayo. Bila kuongelea kuhusu dola la Iran (Persia Empire) ambayo ilitawala eneo zima la Mashariki ya kati kabla hata...
  14. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Putin huwa anawakaribisha vizuri sana wajumbe wa Trump kuliko wa Ulaya

    The United States has been holding parallel discussions with Moscow, Kyiv and European leaders, reviewing multiple draft frameworks aimed at ending the war. Despite repeated assurances from Trump that an agreement was within reach, a final dea
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Victor Mhagama ahojiwa na TAKUKURU kwa tuhuma za rushwa katika mchakato wa kura za maoni jimbo la Peramiho

    Siku chache baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Songea Vijijini, Thomas Masorwa, kwa tuhuma za rushwa zinazohusiana na madai ya kushawishi wapiga kura kumpigia Victor Mhagama wakati wa mchakato wa kura za maoni, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemuita na...
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa 'ushindi' wake wa kishindo Samia aweza kuwa rais anayekubalika kuliko wote ulimwenguni

    Niseme wazi. Hata wakati wa utawala wa chama kimoja, ilikuwa nadra kwa mgombea urais kushinda karibia aslimia mia. Hii ilitokea hata wakati ambapo mgombea husika alikuwa akigombea na kivuli kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Julius Nyerere na waliofuatia kabla ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi ambao...
  17. Keynez

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Makonda anaongea kisomi kuliko "daktari" Mwigulu

    Moja ya alama ya mtu yoyote aliyesoma na kuelimika ni uongeaji wake. Hata mtu ambaye hajasoma shule sana ila ni msomaji wa vitabu, ni rahisi kumtambua. Kuanzia upangaji wake wa maneno, akiwa anatoa mawazo yake, nk. Mwigulu sijawahi kumkubali kwa sababu toka nimeanza kumsikiliza day 1, naona ni...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kumbe CCM waoga kuliko Museveni?

    Pamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana. Nimefuatalia vituo kadhaa vya kupigia na kuhesabu kura, nimependa staili yao ya kuhesabu kura hadharani mbele ya wapiga kura kadhaa. Mambo ya kuhesabu kura...
  19. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania The Chanzo: Tanzania yauza Afrika Mashariki kuliko inavyonunua

    Tanzania ina trade surplus dhidi ya nchi jirani — hii inamaanisha inapata fedha zaidi kutoka mauzo ya nje kuliko inavyotumia kwa uagizaji kutoka nchi hizo. Nchi zinazotoa surplus kubwa zaidi ni DRC, Rwanda, Uganda na Burundi. Hii inaonyesha Tanzania imekuwa muuzaji mkuu wa bidhaa (hasa bidhaa...
  20. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Siri ya Waislamu kuwa na Amani kuliko watu wengine hapa duniani

    My people, Kwa Nini Waislamu Huishi Kwa Amani: Imani ya Kuamini Mtoa Riziki ni Allah na Kadari Iliyokwisha Andikwa Moja ya nguzo kuu zinazowatofautisha Waislamu katika mtazamo wa maisha ni amani ya ndani wanayoilea mioyoni mwao. Amani hii haiji kwa bahati, wala haitokani na wingi wa mali au...
Back
Top Bottom