Sir David Attenborough, ambaye anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 100 leo, amesafiri karibu kila kona ya Dunia kama sehemu ya azma yake ya kuwaelimisha wengine kuhusu ulimwengu wa asili.
Mtangazaji huyo, maarufu kwa sauti yake ya kipekee ya utulivu, aliweka viwango vipya vya makala za...