Nyerere ni muasisi wa CCM, alitumia short cut kuukwepa ukabila kwa kuanzisha CCM. Naweza kusema hakuona mbali kwa sababu mfumo haujaweza kufanya kazi bila yeye kuwepo.
CCM ni zaidi ya makaburu wa south ambao Nyerere alipigana nao
Moja kwa moja ..
Hili nimefuatilia sana ;
1. Kipindi Samata kajiunga Aston Villa , page ya Aston Villa ilijaa wabongo mpaka na aliponyimwa pasi wabongo walimshambulia sana Grealish
2 . Aziz Ki ; alipojiunga Wydad page ya Wydad waarabu walikimbia walijaa wabongo kupiga stori na kumtaka Admin...
Hii ni sababu moja kubwa ya umasikini wa sisi Waafrika. South Korea ina kama watu milioni 52 lakini inazalisha tani milioni 62 za chuma kila mwaka. Afrika ina watu bilioni 1.6 lakini inazalisha tani milioni 22 tu kwa mwaka. Kati ya hizo, tani milioni kumi zinazalishwa na Misri na tani milioni...
Kipindi cha nyuma, simu za Iphone zilikuwa ni za moto katika bei, kuipata lazima upate connections na wanaofanya kazi kwa wadosi ili uuziwe kwa bei nafuu, ilikuwa ni simu inayouzwa kwa bei kubwa, kulinganisha na Android. Ila kwasasa flagship za android ndizo zimekuwa zinauzwa bei kubwa mno...
Yawezekana kweli mtu ana mapenzi na mtu au taasisi.lakini namna yake na hoja zake za uteteaji na usifiaji inatia mashaka, ni TOO MUCH!
Kumtetea mtu kwa sifa zinazopitiliza viwango.
Kusema hadi uongo kwa lengo tu la kusifia,hadi kumpa mtu sifa ambazo sio za kibinadamu ili tu kumpamba...
Sijui kama tittle imeeleweka.
Ila, kwa mfano unataka ku-lock/unlock gari, ila upo mbali mfano mita 100 kutoka kwenye gari, uki-point na kuclick lock isifanye kazi, kwasababu ya umbali.
Ukiwa hapo hapo, ila this time Ile remote ukajigusisha kichwani mfano juu ya sikio, gari italock/unlock.
Ni...
*
Ni hali ya simanzi na majonzi inaendelea ndani ya wilaya ya Muleba na nje ya Muleba. Haki ya kuishi iko wapi? Vyombo vya ulinzi na usalama kazi yake ni ipi? Tumefikia wapi mpaka kufanya Muleba kuifanya kuwa kama machinjio ya binadamu? Hofu inaendelea kutanda kila mahala baada ya kuona vijana...
Baadhi ya wafanyakazi hawashindani tena kwa kuboresha utendaji wao wa kazi. Badala yake, wanashindana ili wawe karibu zaidi na wakubwa wao. Badala ya kuongeza ujuzi wao, wanajitahidi kujenga uhusiano na watu wenye mamlaka ndani ya taasisi.
Badala ya kuleta matokeo mazuri, wanashughulika...
Hii imekaaje, ina ukweli wowote wa kisayansi? Watu wameanza kudai kuwa mafuta ya mbegu kama alizeti na mawese si mazuri kiafya ukilingsnisha na yanayotokana na wanyama kama ya kitimoto na ng'ombe.
Hapo nyuma kidogo walisema mafuta ya wanyama yana lehemu na hayafai. Leo wanasema ya mbegu ndiyo...
Unaweza kukuta mfanyabiashara ana account nzuri mtandaoni, kama social media na google business lakini ukimtumia ujumbe kuulizia huduma au bei ya bidhaa, hakujibu. Mwingine anakujibu baada ya siku mbili na mwingine week ni mwendo wa blue tick. Majibu kujibiwa ni kama unatafuta hesabu za hiza utt...
Asilimia kubwa ya wakulima lazima utukute kwenye mazao yale Over rated yanayo zalishwa na kila mtu. mazao ya jamii kama Mahindi, Mahargwe, Mazao kama Vitunguu, Nyanya, Tikitiki maji, Maembe na kadhalika. Huko utatukuta kwa wingi sana
Utatukuta kwenye mifugo kama Kuku labda na nguruwe na Ng'ombe...
Wanajamvi Kenya ni mashemeji kwahiyo mambo mengi sisi kama Wabongo huwa tunafanya comparison na mashemeji.
Sasa nilikuwa na kasafari Nairobi kwa siku kadhaa kuna vitu nimegunduwa ni tofauti sana na kwetu kwaleo nitaongelea huduma za Internet na sample ni Jiji la Nairobi.
Hali iliyopo nyumbani...
Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili.
Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM.
Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29.
Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM?
Au kazi hii inaweza kumgharimu...
Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kuna kitendawili kinachoshangaza lakini kikitazamwa kwa kina kinaeleweka kijamii na kisaikolojia: mada zinazohusu ushangiliaji wa kisiasa au kijamii—maarufu kama "uchawa"—zinapata wafuatiliaji na mwingiliano wengi (engagements) na kujadiliwa kwa kasi kubwa...
Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !!
Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi.
Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza.
Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza.
Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali.
Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
dalili
hatua
hofu
jambo
kuchukua
kuchukua hatua
kujiongoza
kulazimishwa
kuliko
kutafuta
lawama
maji
mapema
moja
moto
muda
nidhamu
tatizo
tuanze
tuna
visingizio
wapo
watanzania
wengi
Huu ni msemo maarufu ambao unatumika na waamini mungu wengi siku ya leo lakini muanzilishi wake ni mwanahisabati na mwanafalsafa Mfaransa Blaise Pascal katika Karne ya 17, hoja hii imepwa jina la kamari ya Pascal. Inasema kwamba mtu yeyote mwenye busara anapaswa kuishi kana kwamba Mungu yupo...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Kwanini nchi za NAM (Non-aligned Movement) zinaonekana ni za kijamaa zaidi kuliko kuwa "neutral"??
Mfano: Tanzania, Zimbabwe, Venezuela, Cuba, Belarus.
Are they really non-aligned?? What might be the problem??
Kwa kurelax,
elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.