kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Sasa Waandamanaji wanaogopwa kuliko Jeshi

    Huu ni ukweli ambao Wala hauna shaka kabisa, kwamba Waandamanaji wanaogopwa Sana kuliko majeshi yote ya hapa nyumbani. Pamoja na kwamba majeshi yote yalitoa hakikisho la usalama Kwa raia kwamba wajitokeze na waendelee na shughuli zao za Kila siku, wamepuuzwa, hakuna aliyetoka. Maduka na...
  2. JamiiForums Tanzania Vaa KONDOMU. Kinga ni bora kuliko Tiba.

    Vaa KONDOMU jikinge na maambukizi yasiyo na sababu. Kumekua na kawaida wanawake hawataki uvae condom wanataka upige kavu. Nakukumbusha vaa Condom.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Katambi: Hakuna mtu aliyembabe kuliko Serikali, yoyote atakayetishia usalama wa Nchi atakuwa halali wa vyombo vya ulinzi na Usalama

    VIDEO:Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ametoa wito kwa Watanzania kuheshimu utawala wa kisheria na mamlaka ya serikali nchini Tanzania huku akitoa onyo kwa wale wanaofikiri kuwa wanaweza kuwa juu ya sheria.Akizungumza na waendesha bodaboda, bajaji, na machinga mkoani Dar es...
  4. JamiiForums Tanzania Bora dada poa anaweka bei kuliko hawa wameficha bei.

    Mi nikiona mtu mwanaume mwenzangu ana lalamika kuwa wenye pesa wamemchukua au kadanganywa na mali. Kichwa cha habari kishajieleza hapo juu. Wanawake wengi wamejificha kwenye bei ya kujiuza kama bidhaa zilizopo sokoni na madukani. Bora wale wengine wanakwambia kabisa bei ili ushindwe wewe au...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ndio nyimbo ninazozipenda kuliko zote katika maisha yangu ya kufuatilia mziki mzuri duniani kote.

    1) one in a milion- Aaliyah 2) tease me- chaka demus and plies 3)send it on - D' Angelo 4) hallo-Beyonce 5)shawty- plies 6)Lollipop- lil' wayne 7) yako wapi mapenzi- rubby 8) masogange- belle 9 9) fu-gee-la- fugees 10) let me hold you- bow wow ft omarion 11) if you realy wanna know- mac dosley...
  6. JamiiForums Tanzania Kulea mtoto wa kiume ni ngumu kuliko wa kike,

    Tuwe makin sana Kwakuwa mmmm watoto wanaharibika sana hasa wa kiume wanaokulia pwani na dar
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa mashuhuri kuliko wote Tanzania yupo Gerezani!

    Mwanasiasa mzalendo na anaependwa kuliko wote yupo jela. Hilo ni tatizo kubwa
  8. JamiiForums Tanzania " Pepo" ya Mashahidi wa Yehova (Jehovah Witnesses) ndio pepo bora kuliko zote

    Nianze kwa ku declare interest. Nimezaliwa sio tu kwenye familia na ukoo bali kabila ninalo toka watu wake wote ni Waislamu. Ni kabila lipo njia ya Back City.. Kabila la akina " KINYOGOLI" na " ZOMBOKO" . But mimi sio tena Muislamu wala Mkristu.. Baada ya kutafakari maisha kwa kina sikuona...
  9. JamiiForums Tanzania Homa ya ini ni hatari kuliko ukimwi?

    Homa ya ini ni hatari zaidi kuliko UKIMWI kwa sababu virusi vyake vina nguvu kubwa na vinaambukiza kwa urahisi wa hali ya juu. Virusi vya homa ya ini (hasa aina ya Hepatitis B) vina uwezo wa kuambukiza kwa kasi ya mara 50 hadi 100 zaidi ya virusi vya UKIMWI (HIV). Pia, virusi hivi vinaweza...
  10. JamiiForums Tanzania Milioni 3 za mazishi yako zitapatikana haraka kuliko laki 3 za matibabu yako

    Milion Tatu za Maandalizi ya Mazishi Yako Zitapatikana Kwa Haraka Kuliko Laki Tatu za Mchango wa Matibu Yako. Jamii ya Leo Kuna Ndugu Yao Anaweza Kua Anapitia Kipindi Kigumu Sana Katika Matibabu Yake na Kupelekea Kuomba Msaada wa Pesa Ili Aendelee Kupata Matibabu Ajabu Ndugu Hao Watashindwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Marvel Inaonekana Bora Kuliko DC Katika Ulimwengu wa Filamu

    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Marvel Studios imefanikiwa kujijenga kama kampuni inayoongoza katika utengenezaji wa filamu za mashujaa duniani. Ingawa DC ina baadhi ya wahusika maarufu zaidi kuwahi kuundwa kama Batman, Superman na Wonder Woman, bado Marvel imeweza kutawala soko la filamu kwa kiwango...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini waislamu wanaona mbwa ni haramu kuishi nae ila historia inasema mbwa ndio kaishi na binadamu kuliko paka.

    Kuna tafiti na zilishakuwepo sana ila uwezi kusema mbwa ni haramu kuishi nao. Jamii ya mbwa tokea kuwepo mwanadamu walianza kuwa marafiki au kutafuta urafiki ulianza hivi. Mbwa walikuwa ni jamii iliyoshindwa kukabiliana na wanyama wenye nguvu kwenye kundi lao la jamii kama simba na wote wenye...
  13. JamiiForums Tanzania Zanzibar ya Zamani Ilikuwa Mbele Kuliko Bara – Kwa Nini Leo Imerudi Nyuma?

    Wakati wengi wakizungumzia maendeleo ya Afrika Mashariki, mara nyingi husahaulika kwamba Zanzibar ilikuwa miongoni mwa maeneo ya kwanza kabisa Afrika kupata umeme mwaka 1888 chini ya utawala wa Masultani. Wakati huo huo, Zanzibar ilikuwa tayari na reli ya Bububu, mojawapo ya reli za mwanzo...
  14. JamiiForums Tanzania Mashindano makali zaidi kuliko ya kombe la dunia

    Wakati mashindano ya Kombe la Dunia yanaendelea na mamilioni ya watu wakifuatilia kwa hamu kuona nani atainua kombe, nakukumbusha kwamba mashindano makali zaidi duniani hayafanyiki katika viwanja vya michezo bali ndani ya moyo wa mwanadamu. Ni mashindano kati ya mwili na roho. Mwili unatamani...
  15. JamiiForums Tanzania Dar Es Salaam Jiji, linalokua haraka kuliko Mipango yake

    DAR ES SALAAM, JIJI LINALOKUA HARAKA KULIKO MIPANGO YAKE Nianze kwa RAI kuhusu upanuzi wa Barabara za Sam Nujoma na New Bagamoyo kwa kutumia njia zile zile za awali. Kwa maoni yangu, huenda tumeelekeza nguvu yetu katika suluhisho la muda mfupi sana badala ya muda mrefu. Kinachonisikitisha ni...
  16. JamiiForums Tanzania Yawezekana Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa mzuri kuliko yote Tanzania

    Katika siku zangu hapa Tanzania nimefanikiwa kuishi mikoa ifuatayo Dar Morogoro Iringa Mbeya Njombe Kagera Manyara Mwanza Lakini katka mikoa hyo sikuona mambo makubwa ya kufurahia mpaka nilipofika mkoa wa Kilimanjaro Aisee huu mkoa n mzuri hali ya hewa yake n nzuri , uchumi mzuri warembo...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Binadamu Hana Shukrani Kuliko Hata Tumbo?

    Ukiachana na msemo kwamba tumbo halina shukrani; hata lipewe chakula kizuri na kitamu kiasi gani, ni lazima baadaye litahitaji tena, Ni kitu gani kingine unadhani hakina shukrani? Umewahi kukutana na mtu asiye na shukrani? Umetenda wema kwa uwezo wako wote, ukajitolea kadiri ulivyoweza Lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Ethiopia & Tanzania Zina Uchumi Mkubwa(GDP) Kuliko Uganda Lakini Bajeti Zake ni Ndogo Kuliko ya Uganda.Hii Inatokana na Nini Kiuchumi?

    1.Kenya 2.Uganda 3.Tanzania 4.Ethiopia 5.Rwanda 6.Burundi. My Take Wachumi tusaidieni kudadavua.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar ni watu wema sana, Uislamu wao umewafanya wawe hivyo

    1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa 2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa. Wakiristo wengi wanakula-Ushahidi wa hili nenda msikiti shurba kidongo chekundu mwezi wa ramadhani 3. Wakiristo wengi hasa J2...
  20. JamiiForums Tanzania Mnaowaita ombaomba wana maisha mazuri kuliko nyie

    Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…