kulia

Kulia is the administrative center and capital of the district of Niutao in the Pacific island state of Tuvalu. Kulia is located in the west of the main island of Niutao. The place has 224 inhabitants as of 2010. Historically, Kulia was known as Tuapa.Kulia has a church of Te Ekalesia Kelisiano Tuvalu, a post office, and school.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hata hali ya nchi iwe mbaya kiasi gani, kamwe msiwaze kujikomboa kwa kuomba msaada kwa Watutsi. Mtaingia kwenye mtego usio na mlango wa kutokea!

    Najua huyo aliyeposti hana ubavu wa kufanya chochote zaidi ya kuwa shujaa wa nyuma ya keyboard (keyboard warrior), lakini bado mawazo haya si ya kubeza. Hata nchi ikija kutawaliwa na viongozi wa kiimla kama Mobutu Sese Seko, msithubutu kufanya maamuzi ya kuomba msaada kwa Watutsi. Watu hawa...
  2. Sifi Leo

    Staki kuamini yakuwa Tume ya Chande haikumshauri, rais awatibu marejeruhi wa risasi za 29/10/2025 mpaka wajitokeze leo na kulia lia hadharani.

    Ile ripoti kama haikumshauri mh rais na serikali yake, iwatibu wa majeruhi waliojeuliwa tarehe 25/10/2025, basi ile haikuwa tume ulikuwa ni "ushuzi" tu ulioundwa kupoteza muda wa watanzania. Nimemwaga machozi baada ya kukutana na clip ya mtoto Anger kule the chanzo mtoto akilalamika kuanza...
  3. M

    Kati ya dagaa na mlenda, Mboga gani unapendelea kula na ugali?

    Ili ugali upande na unoge unahitaji visindikizaji yaani mboga, kwa upande wangu mie napenda sana ugali na dagaa ukiwepo na mlenda naweza kula ugali kwa raha sana. Kama kuna mlenda napenda dagaa wakavu au wapikwe rosti changanya nyanya chungu na bamia yaani wee acha tu. Wakuu, wewe ugali...
  4. Financial Analyst

    Unadiliki kulia mbele ya mwanamke kisa mapenzi alafu mwanamke mwenyewe anakuchukua video anakupost mitandaoni. Hivi huwa mnayapendea nini magube gube?

    Hivi ni hayo makebo yao makubwa na sura za kutmbeka ndio zinawapa hamsha hamsha mnachanganyikiwa? Moja ya kitu ambacho kimedondosha wanaume wengi ni "USHAMBA WA MAPENZI"
  5. Alexido jz instagram

    Huu mti niutazamapo najihisi kulia

    Kipindi huu MTI unapandwa tuliweka nguvu sana kuhakikisha una kua salama, tulimwaga maji mengi sana kadiri ya uwezo na ilikua ni kawaida yetu. Sikua na muda nao sana nikiendelea na ratiba zangu za kila siku. Siku Moja nikiwa naingia ndani, nilipata mshituko, Kuna jambo nililishuhudia, la...
  6. Design Your Idea

    jana nilileta uzi wa kulia lia kuwa duka langu lina mauzo madogo, sasa nimeona kulia lia hakuna suluhisho, nafikiria kujibana na nianzishe side hustle

    Jana👇 https://www.jamiiforums.com/threads/hamna-kitu-kinauma-kama-tangu-asubuhi-umeuza-elfu-30-tu-alafu-nje-ya-duka-lako-jamaa-kapaki-hilux-number-e-tsh-70m-hivi-mnapataje-pesa-wakuu.2472707/ Leo👇 OMBI LANGU KWENU WANA JF Sihitaji kuomba kukopeshwa humu wala msaada wa fedha bali maarifa kuhusu...
  7. Idrisa1510

    Mtoto alichelewa kulia baada ya kuzaliwa na anapitia changamoto kazaa, naomba ushauri wa kitabibu

    Mimi si mtaalam wa masuala ya afya, frstborn wangu amepatwa na changamoto na mimi ni mzazi mpya (baba mpya). Tarehe 11 mwezi huu wa 9 ndio alizaliwa. Njia ya uzazi ilikua ni ya kawaida japo iliambatana na changamoto nyingi kutokana na mke wangu ndio alikua napata uzazi kwa mara ya kwanza...
  8. comrade_kipepe

    Haji Manara apandwa na wazimu baada ya Oscar kuilalunu serikali, ataka kulia studio

    Haji manara apandwa na sukari studio. DIWANI WA KARIAKOO KAPANIC
  9. MakinikiA

    Trump anajuta na kulia kuhusu Iran

    Mashambulizi ya Iran yamejeruhi takriban wanajeshi 100 ndani ya wiki mbili - Pentagon Chanzo cha picha,Getty Images Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imesema takriban wanajeshi 100 wa Marekani wamejeruhiwa katika mashambulizi ya Iran ndani ya kipindi cha wiki mbili zilizopita, hali...
  10. wakunyonya

    ONYESHA VIDOLE VYA MKONO WAKO WA KULIA NIKWAMBIE TABIA ZAKO.

  11. Fbn

    😄 Yale yale ya wakajifanya Waroma kumbe watu wengine.Embu angalia kushoto na kulia nao ni wachungaji wakisimama na shikh mwaipopo.

    Kuna mambo yanazidi kuweka aibu na kutufanya kuwa channel ya vituko kwa wengine wanaotutazama. Hivi ushaona mchungaji mara nyingi wa KKKT wana kora kama hiyo upande wa kushoto. Huyu wa kulia sijui wamemkurupusha na visungura na koti la kuokota. 😄
  12. Dr Adam Francis

    Muungano wetu na methali ya mchelea mwana kulia, hulia mwenyewe

    Hivi karibuni kumekuwa na kauli zenye mwelekeo wa kibaguzi kutoka pande mbili za muungano wetu. Na mpaka sasa hatujasikia kauli thabiti ya serikali kuzikemea kauli hizi. Wasiwasi wangu, kauli hizi zikiachwa zishamiri zitauingiza muungano wetu kwenye mgogoro mkubwa. Tusisahau mdharau mwiba huota...
  13. zee_latown

    Hawa wanaume wanaoleta nyuzi za kulia lia ifike mahali wadhibitiwe

    Habari everyone. We're too weary... you did it long enough, no more chance for that. haipiti week mwanaume analeta uzi analia sijui kaachwa, mara sijui anaitwa bahili na vitu kadha wa kadha... binafsi nakwazika sana na nadhani wapo wengi wanakwazika kama mimi. MMU kuwa jukwaa la mahusiano...
  14. Gobole Lenye Risasi

    Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera

    Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera awe Chakula Cha Mamba. Miaka hiyo tunaimba hizo. Tuliamini mtu mbaya ni Nduli Idd Amin Dada tu. Kumbe Nduli Idd Amin Mama Kashata naye roho mbaya muuaji. Chakula Cha Mamba (CCM) HAWAFAI KABISA KUSIKITIKIWA. HAO SI BINADAMU NI WANYAMA WA KUPEWA...
  15. H

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Swede

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
  16. H

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akijadiliana jambo na Mkunga Mkuu wa Shirikisho la Wakunga la Kimataifa (ICM), Prof. Jacque

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akijadiliana jambo na Mkunga Mkuu wa Shirikisho la Wakunga la Kimataifa (ICM), Prof. Jacqueline Dunkley-Bent, wakati wa Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini...
  17. H

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) p

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga na Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya ya SMZ, Dkt. Salim Slim (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya...
  18. October 2pm

    Dec 6 Askofu atakuja kama Winga wa Kulia

    Ametokota akarojeka. Hajui kilichombele yake. Haehe! Halula! Nilisema soon huu ujinga wakomeshwa. Jazeni ulinzi Chooni. Heheee! Bafuni hehee! Litakufa jitu. Na bado. Najuzwa Yule askofu sasa ataingia kama sub super akiwa winga ya kulia. Dec 6 kuna Jambo. Semeni nisiseme. Walahi watu wabaya...
  19. The Magnifico

    Sheikh Shafii: Kicha changu kina pande kuu 3: Kulia Quran, Kushoto Bible, Dunia ipo katikati

    Hiyo kumaanisha kwamba, dini hizi 2 ndizo zinaibalance dunia na sote tunategemeana. Shaloom alley kum ndugu zanguni, muwe na jumapili njema.
Back
Top Bottom