kuku

  1. JamiiForums Tanzania Wafugaji wa Kuku: Pakua Hii App uone Inavyobadilisha biashara yako ya Ufugaji mara moja (Na Ni BURE!)

    Katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi kwa wafugaji wadogo na wa kati wa kuku, Fuga App imekuja kama suluhisho la kiteknolojia linalobadilisha mchezo kabisa! Pakua Fuga App hawa : [ Fuga - Apps on Google Play ] Wafugaji wengi walikuwa wakitumia daftari au spreadsheets kufuatilia gharama...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Insha ya kwanza: Ya Mungu mengi, ya kuku mayai

    Ya Mungu Mengi, ya Kuku Mayai Utangulizi Methali ya Kiswahili isemayo "Ya Mungu mengi, ya kuku mayai" ni methali yenye maana pana na yenye mafundisho tele. Methali hii hutufundisha kwamba Mungu ndiye chanzo cha baraka nyingi na kubwa, wakati viumbe kama kuku wana uwezo mdogo wa kutoa vitu vya...
  3. JamiiForums Tanzania Kama Bado Unakisia Tarehe ya Chanjo, Unahatarisha Kuku Wako! Fuga App Hukumbusha kwa SMS Kabla Ya Siku Kufika!

    Kitu kimoja kidogo cha kuondoa kwenye kichwa chako. Kama umewahi kufuga kuku unajua jinsi ilivyo rahisi kusahau chanjo inayofuata ni lini… na chanjo gani hasa. Maisha yamekuwa ya haraka sana, na wafugaji wana mambo mengi ya kushughulikia kila siku. Kusahau chanjo ni jambo la kawaida lakini lina...
  4. JamiiForums Tanzania NANUNUA KUKU WA KIENYEJI

    📢 TANGAZO LA UNUNUZI WA KUKU WA KIENYEJI 🐔 Ninatafuta kuku 30 wa kienyeji kwa ajili ya matumizi ya haraka. 💰 Bei: Tsh 11,000 kwa kila kuku 📍 Eneo: Dar es Salaam ⏱️ Nahitaji haraka iwezekanavyo! Ikiwa unauza kuku wa kienyeji au unamjua anayewauza, tafadhali wasiliana nami mara moja! 📞...
  5. JamiiForums Tanzania 🚨Fuga App sasa ipo live playstore !! Usiikose wewe mfugaji wa kuku

    Baada ya muda wa kuzungumza na wafugaji, kusikiliza changamoto zao na kujifunza kutoka kwao hatimaye Fuga App ipo hewani kwenye Play Store! 🐔📱 Tunashukuru kwa moyo mmoja kwa usaidizi wenu kwa wafugaji wote mliochangia maoni, timu yetu kwa juhudi kubwa, na kila mmoja aliyeamini kuwa jambo hili...
  6. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mfugaji wa kuku app hii itakusaidia kusimamia shamba kiurahisi mno

    Kabla hatujaanza kutengeneza Fuga, tulizungumza sana na wateja wetu, tukijitahidi kuelewa changamoto zao na kujibu maswali ya kila siku wanayokutana nayo katika shughuli zao za ufugaji wa kuku. Moja ya maswali yaliyoulizwa sana na ambalo tunafurahia kulitatua kupitia app yetu ni hili hapa : ⏳ Ni...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha ya Waafrika hayana thamani kwa Waafrika wenzao? Nigeria watu wamechinjwa kama kuku na magaidi ila kimya tu!

    Wakati dunia nzima imejikita katika vita vya Iran na Israel huko Nigeria kwa mashemeji zetu katika jimbo la Benue watu zaidi ya 200 wamechinjwa kama kuku na magaidi wiki hii ila hizo habari hazipewi uzito wowote hata na Waafrika wenyewe! Mzungu wa huko Vatican Roma ndiye amezipa umuhimu na...
  8. JamiiForums Tanzania Wakulima wa JF. Nikianza na kuku jike 30 and majogoo 5 na mambo yakaenda vizuri, nitarajie kupata kuku wangapi na mayai kiasi gani kwa mwaka?

    KUKU NI WA KIENYEJI NIKO KANDA YA ZIWA. Sio vibaya pia tukapatiana hints za ufugaji. Karibuni
  9. JamiiForums Tanzania Kuku Chotara🐔 Wanaojilisha na Kujigharamia wenyewe💰? Hivi ndo jinsi ya kuwafikisha Hali Hiyo Kwa Siku 84 au Chini

    ❌ Usianze Ufugaji Kabla Hujajua Kuku Wangapi Unafuga na Gharama Zake.Ukipuuzia Itakugharimu 💸Zaidi Kuliko Unavyofikiria Nakumbuka nilivyoanza niliweka lengo la kufuga kuku kwa miezi mitatu yaani siku 84( wiki 1 ni siku 7) ili wakifika umri huo na uzito wa angalau kg 3 niweze kuuza nipate faida...
  10. JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kutengeneza pellets kwa ajili ya mifugo kama kuku na nguruwe

    Habari za kazi Nina mashine ya kubadilisha chakula cha mifugo cha ungaunga kuwa katika mfumo wa pellets ambazo ufanisi wake unajulikana katika ulishaji wa mifugo,pia huduma ya kuchanganya cha mifugo kuanzia 1000kg kwa saa pia inapatikana kwa kutumia Mixer.Huduma hizi zinapatikana Mbeya japo...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  12. JamiiForums Tanzania Wamevuka mabahari yoooote, kuja kituuzia miguu ya kuku 🙄

    Yani miguu ya kuku 2000.Raisi wanatuonaje.
  13. JamiiForums Tanzania Wameliamsha Dude. Gwajima asjibiwe ili akasirike amwage Mchele kwenye kuku wengi

    Ameahidi atarudi anasubiria wamjibu. Na kasema atarudi mara nyingi tu. Yaani watakavyozidi mshambulia ndo atakavyozidi kuwapasua. Wana CCM wengi smart huwa hawapendi ugomvi na Gwajima. Wanamfahamu huwa anaingia deep sana. So watu wanajipanga watoke vipi.
  14. JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini kama kuku Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?

    Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?. Hii ni kwa mara ya kwanza nchi kushuhudia unyanyasaji mkubwa wa binadamu kwenye utawala wa samia. Huu ni uthibitisho tosha kuwa nchi haina utawala wa sheria, jeshi la...
  15. JamiiForums Tanzania Usifanye kosa hili, Uzito wa Kuku wako, ni silaha ya mafanikio

    ⚖️Uzito ni Msingi wa Mafanikio Katika Ufugaji wa Kuku wa Mayai! Kwa muda sasa tumekuwa tukitembelea wafugaji wa kuku wa mayai katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kitu cha kushangaza (lakini cha kawaida sana) ni kwamba wafugaji wengi hawana mizani kabisa ya kupimia uzito wa kuku wao! Hii...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Video: Hatua kwa hatua jinsi Bastola "Mguu wa kuku" inavyotengenezwa

  17. JamiiForums Tanzania 🐔 Wafugaji wa Kuku Karibuni! Jibu Maswali 3 Tu Upate Nafasi ya Kushinda Vocha ya Bure! 📱💰

    Habari ndugu mfugaji! 👋 Tunatengeneza App ya kusaidia wafugaji kama wewe kufuatilia chakula cha kuku, chanjo, matumizi na kupata faida zaidi 💪🐓 Tunaomba tusaidie kutengeneza App bora kwa ajili yako kwa kujibu maswali kadhaa kwenye fomu hii 👇 📋 Bonyeza hii Link kujaza fomu ...
  18. JamiiForums Tanzania Tupike pamoja wali nazi, maharage nazi na miguu ya kuku

    Leo siku ya Ijumaa niliamka nikiwa nina hamu ya kula kitu kichachu chachu japo sina 🦎 wala nini. Asubuhi huwa naamka na hii detox special kwa ajili ya kupunguza uzito. Imenipunguza toka huko niliko mpaka sahv kwenye kg 75. Huwa nina program hiyo kwani hukata uzito balaa na huwa nakuwa nayo...
  19. JamiiForums Tanzania Ukibahatika kula kuku kwa mrija acha mdomo sana. Kuwa humble na utulie uenjoy maisha

    Unakuta una taarab nyingi utafikiri umeshafika mwisho wa safari. Ofcourse atukufundishi namna ya kuishi na hayo mafanikio yako ila kumbuka kushuka chini ni kwa kasi sana zaidi ya ulivyokuwa una panda juu.
  20. JamiiForums Tanzania JE WALIJUA SHAMBA LA KUKU BORA?

    🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓 AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ 📠☎️ 0781647066 WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM , DODOMA NA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…