kuku

  1. JamiiForums Tanzania Indonesia: Miji yazawadia wananchi kuku kwa wanaopata chanjo

    Habari wakuu, Huko nchini Indonesia katika mji wa Cipanas wamebuni mbinu ya kuwashawishi wazee (watu wenye umri mkubwa) wabishi wasiotaka kupokea chanjo ya COVID 19 kwa kuwazawadia kuku mmoja pale watakapokubali kuchanjwa chanjo hiyo. Mbinu hiyo imezaa matunda kwani wazee wengi wamejitokeza...
  2. JamiiForums Tanzania Kanusho la kuwepo kwa Mayai ya Kuku kutoka nje ya Nchi yaliyosababisha kushuka kwa bei ya Mayai Nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Dodoma, Juni 17, 2021 A: UVUMI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA UWEPO WA MAYAI YA KUKU KUTOKA NJE YA NCHI YALIYOSABABISHA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI Ndugu waandishi wa Habari, Tarehe 14/06/2021 Wizara ya...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Gharama kiasi gani kulisha kuku 500 wa nyama kwa Dar es Salaam mpaka kuuza?

    Habari wadau wa ufugaji Naomba kujua gharama za kufuga kuku wa nyama idadi 500 kuanzia siku ya kwanza mpaka hadi kufikia mwezi kwa mtu ambaye anafanya shughuli hizo au alishawahi kufanya kwakipindi kisichopungua miezi 8 iliyopita.
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Habari za Leo Wanafamilia! Pole na Majukum, Mm naitwa Hussein, naishi Tandika Magorofan, nna miaka 34, nna mke na watoto watatu. Nnajishughulisha na Ufugaji, utengenezaji dawa za Asili za Kuku na uuzaji wa Kuku, kwa Sasa nimejikita zaidi kwenye Kuku wa nyama kwa kuwanunua directly kwa Wafugaji...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanda cha chakula cha kuku Dar es Salaam

    Natafuta kiwanda cha chakula cha kuku DSM, pia nawezaje kuuza damu ya ngo'mbe iliyokaushwa?
  6. JamiiForums Tanzania Naombeni machimbo ya kuku wa kienyeji tafadhali

    Naomba kufahamishwa wapi/mkoa upi nitapata kuku wa kienyeji kwa jumla na kwa bei nzuri? Pamoja na aina ya usafiri toka huko masokoni /minadani kuleta mjini. Asanteni
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua sehemu wanapouza kuku wa kisasa wa mayai Jijini Dodoma

    Wadau habarini, Msaada kwa mtu anaeishi jijini Dodoma na anajishughulisha na uuzaji wa kuku wa kisasa wa mayai wanaotaga mwezi kwa mwezi ,kama yupo tuwasiliane tafadhali nahitaji hio bidhaa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya kuku wa kienyeji imekuwa juu sana

    Kuna jamaangu mmoja yupo Dar juzikati akaniuliza kuhusu bei ya kuku Dodoma.nikamwambia sijui mana mm nipo mjini ngoja niulizie watu wa vijijini. Nilivyouliza watu wa vijijini wakaniambia kuku mkubwa kabisa Tsh 7000 hadi 8000. Jamaa akaniomba nikamnunulie kuku 200 nikasema ngoja niende...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Vijogoo wa nyama vinauzwa

    Kuku "vijogoo wa nyama" wanauzwa kwa ajili ya kufugwa. Wana wiki 6. Wanapatikana Kibamba, Dar es Salaam. Wapo 300. Bei ni 6000 kwa kila mmoja. Piga 0715066185 au 0753066185 kwa maelezo na maelekezo.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kuku aina ya Kuroiler F1 wanapatikana wapi?

    Nahitaji kujua wapi naweza kupata kuku aina ya kuroiler ambapo naweza kupata vifaranga wa F1. hii ina maana huyo supplier yeye awe na Parent stock ya F0. Location iwe kati ya Morogoro, Iringa au Dodoma
  11. JamiiForums Tanzania Wataalam wa kuku nimsaidieni tatizo hili kwa kuku wangu

    Ni mzoefu katika ufugaji. Lakini kitu kinachonipa wasiwasi ni kwamba nina jogoo wangu mkubwa tu wa miaka kama miwili hivi. Sasa tangu juzi sauti yake inanipa mashaka anapowika. Ni kama vile kaisha chaji. Sauti inatoka kinyonge na hata mda mwingine anaishia katikati hamalizii kuwika mpaka...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Ufugaji wa Kuku wa Kisasa

    Wakuu Kwema? Nahitahi kumfungulia mtu Biashara ya Kufuga Kuku wa Kisasa, ambapo kwa Kuanzia tumekubaliana kwanza aanze na Box moja. Sasa nilikua naomba mchahngahnuo wa kimahesabu juu ya gharama za kuwafuga hawa Kuku 100. Sababu ndio kwanza anaanza ningeomba Mchanganuo huo uwe katika mtiririko...
  13. JamiiForums Tanzania Nyegere wanamaliza kuku bandani, je nitawadhibitije?

    Wakuu nina banda la kuku nimelijenga kwa miti na kukandika kwa udongo sasa usiku nikiwa nimelala anakuja mnyama anachimba na kuingia kisha anakamata kuku tena wale wakubwa kabisa anaondoka nao. Cha kushangaza matukio yote hayo (kuchimba mpaka kuondoka na kuku) anayafanya ndani ya usiku mmoja tu...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania ni kwa vibaka na wezi wa kuku lakini kwa mambo ya msingi ni pazia

    Nenda mahakamani sasa hivi utaona jinsi mahakama zetu zinavyo washughulikia vibaka na wezi wa kuku bila huruma hata kama mtuhumiwa ni dhoofu bin hali kwa njaa na umasikini. Inapokuja suala la kushughulikia mambo ya msingi ya kulinda katiba, sheria za nchi dhidi ya serikali, utawala bora na haki...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta supplier wa kuku wa kisasa

    Natafuta mfugaji wa kuku wa kisasa ambaye tutafanya biashara. Nahitaji kuku kwa wingi! Mwenye nao tafadhali tuwasiliane. Location awe Dar es Salaam! Capacity: 500 pcs per week Uzito: 1+KG Bei elekezi: 5,500-5,800
  16. F

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya haya maneno? "Kuku kukosa maziwa"

    Je, nini maana ya "kilichomfanya kuku kukosa maziwa"?
  17. JamiiForums Tanzania Biashara ya bucha la samaki, nyama na kuku naweza kupata 60,000/= kama faida kwa Dar es Salaam?

    Ndugu wana JamiiForums nimekuja kwa mara nyingine kuomba ushauri kuhusiana na biashara ya bucha. Huu mwaka ni mpango wangu wa kuongeza biashara nyingine ili kukabiliana na ukali wa maisha. Ukiachilia mbali biashara ya nafaka ambayo hadi muda huu nakomaa nayo wazo la kwanza nililokuwa nalo ni...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (broiler)

    Salaaams wanajukwaa, poleni na majukumu. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji partner wakushirikiana nae kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama ( BROILER ). Mabanda ni makubwa na ya kisasa, yenye uwezo wa kuingiza kuku (BROILER) 6000. Partner anahitajika aweke BROILER kuanzia 2000 kwa kuanzia...
  19. JamiiForums Tanzania Tunanunua Mayai ya Kuku wa kisasa (Arusha)

    GREAT DISTRIBUTION AND MARKETING SERVICES iliyopo Arusha inanunua mayai kwa bei ya 5500 kuanzia trei 100. Tupo Arusha Mjini Kama una mayai wasiliana kwa namba zifuatazo 0622887399 au 0622115570 Karibuni
  20. J

    JamiiForums Tanzania Hatua za kufuata unapompatia kuku chanjo

    - Nunua chanjo, kama inahitaji ubaridi hakikisha umefungiwa kwenye kifungashio Chenye barafu. - Safisha vyombo vya maji vya kuweka chanjo yako na ikifaa viache vikauke. Kwa maji ya bomba, kisima na mvua inashauriwa yachemshwe na uyaache yapoe kabisa ndipo utachanganya na chanjo. - Iwapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…