kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Rais wa Mongolia atangaza kujiuzulu kufuatia tuhuma za rushwa dhidi yake

    Rais wa Mongolia, Khurelsukh Ukhnaa, ametangaza kujiuzulu Jumanne kufuatia tuhuma za rushwa zinazowakabili yeye pamoja na baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali. Kwa mujibu wa shirika rasmi la habari la Montsame, chama kikuu cha upinzani cha Democratic Party kimewatuhumu viongozi wa chama...
  2. C

    Mkurugenzi Mtendaji wa Nvidia ajiuzulu baada ya miaka 33 kufuatia shutuma ya mahusiano nje ya ndoa

    Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya teknolojia ya Nvidia, Jensen Huang, amejiuzulu wadhifa wake baada ya miaka 33 ya kuiongoza kampuni hiyo aliyoianzisha, kufuatia taarifa za madai ya kuwa na mahusiano mawili nje ya ndoa. Moja ya mahusiano hayo yanadaiwa kumhusisha mfanyabiashara mwanamke...
  3. E

    Mbeki aunga mkono Ramaphosa kujiuzulu baada ya ANC kufanya vibaya uchaguzi

    Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, amesema Rais wa sasa wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa, anapaswa kuwajibika kwa matokeo mabaya ya Chama cha African National Congress (ANC) katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2026, akieleza kuwa kujiuzulu kungekuwa hatua sahihi. Soma zaidi...
  4. Heci

    Kuna taarifa Wasira kujiuzulu

    Mzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti. Tunasubiri tu barua ijibiwe na mtangaziwe
  5. C

    Vijana wameanza kuandamna Albania kushinikiza waziri mkuu Edi Rama kujiuzulu

    Maelfu ya vijana nchini Albania wameingia mitaani katika Mji Mkuu wa Tirana kwa siku ya nne mfululizo , wakishinikiza kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Edi Rama kufuatia kuongezeka kwa ghasia na kutoridhishwa na usimamizi wa serikali. Maandamano hayo yaliyoanza kwa amani miezi kadhaa iliyopita...
  6. Kamanda Asiyechoka

    Kwa aibu kubwa Chacha ulitakiwa kujiuzulu. Prof Kabudi amekuaibisha na hufai kuwa kiongozi wa kisiasa

    Nilipoona tu unalia kwenye vyombo vya habari kuwa ulitongozwa na ukashitaki polisi hapo ndipo nilijua hufai kuwa mwanaume na kiongozi. Prof Kabudi amekuumbua, kuwa vyombo vya dola sio mali ya CCM ni mali ya wananchi na hii ni kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa na Katiba ya JMT. Wewe...
  7. Tlaatlaah

    Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  8. S

    Tetesi: Mwigulu akataa kujiuzulu, kunafuka moto

    Mapya yameibuka katika sakata la video inayodaiwa kutengenezwa ili kumshinikiza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kujiuzulu. Anadaiwa kuwataka walioitengeneza waache kumtishia kuachia video nyingine na badala yake wamlete hata mwanamke ambaye picha yake inadaiwa kutumika kutengeneza video hizo...
  9. mrxtz2026

    Spy Catcher: Kuna Ujumbe wa siri ulitolewa hapa na Dkt; Nchimbi kabla Kujiuzulu kwake. | Code +255

    Mnamo mwaka 1987 Nchini uingereza kuliibuka tetesi kwamba Idara ya ujajusi wa ndani MI5 kupitia kwa maafisa wake walihusika katika mpango wa kumdhoofisha aliekuwa waziri mkuu "Harold Wilson", na kumlazimisha Kuondoka Madarakani kwa kujiuzulu. Jina la Spy Catcher Linasomeka moja ya vitabu...
  10. Mohamed Said

    Kujiuzulu Kwa Dr. Nchimbi na Kujiuzulu Kwa Prof. Malima Kunashahabiana Vipi?

    https://youtu.be/3gY5VgA-BUA?si=Zc6hjZOu27FXtDs4
  11. S

    Jicho la tatu: Nchimbi kujiuzulu na kutoonekana hadharani, alKitangulia mbele za haki kwa natural death, watakwepa lawama?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na pia ni hatari ninayaiona iwapo hilo litatokea japo hatuombei ila tusisahai kifo ni wakati wowote na kws yoyote. NB: Kama yuko kwenye depression na ana magonjwa ya kiutu uzima kama vile pressure au kisukari, basi risk inaongezeka na hii ni hatari zaidi...
  12. Kamanda Asiyechoka

    Kujiuzulu kwa Dk Nchimbi sio justification kuwa katiba ya sasa inafaa. Haifai na tunatakiwa tupambane tupate katiba mpya

    Nimesikia mahala Mwenyekiti wa CCM akijinasibu kuwa Katiba hii ya CCM yq mwaka 1977 inafaa kisa tu wameweza kumfukuza Nchimbi uanachama na kuweka makamu mwingine. Huu ni uongo na uzandiki. Hii Katiba haifai hata kidogo . Ni katiba ambayo haikutungwa na wananchi bali ilitungwa na wanaCCM...
  13. Hismastersvoice

    Kujiuzulu kwenye ajira ni haki kikatiba, mwanasheria mkuu wa serikali acha siasa.

    Kitendo cha kumfukuza kazi mfanyakazi anayejiuzulu kwenye ajira ni uswahili. Mhe. Nchimbi apewe haki yake kwenye ajira ya serikali badala ya kuendeshwa na kanuni za CCM.
  14. Pascal Mayalla

    Je Wajua Kuwa Licha ya Kujiuzulu na Kufukuzwa CCM, Mpaka Sasa Dr.Nchimbi Bado ni VP Mpaka Tar. 4 Sept?. Kufutwa Uanachama CCM, Hakuathiri Mafao Yake!

    Wanabodi, Wakati wengi wengi bado tumepigwa shock na bumbuwazi kwa kilichotokea haswa hii double tragedy ya VP. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, hili ni bandiko la kuwaelimisha watu na kuwasisitiza tuwe na heshima kwa viongozi wetu, kwasababu licha ya kujiuzulu mwenyewe na kufukuzwa CCM kwa...
  15. kavulata

    Viongozi wakuu kujiuzulu ni kukua kwa demokrasia nchini, ni kama Uingereza tu. Tuambiwe makosa yao

    Kama na sisi tunaweza kumfanya makamu wa Rais ajiuzulu kwa amani kabisa ni dalili kuwa na sisi tumepevuka. Mambo kama haya hayapatikani sana nchi za Afrika bali Ulaya, NKorea, Japan na nchi nyingine za mbele huko. Pale Uingereza ndani ya miaka 10 wamejiuzulu viongozi wao wakuu zaidi ya 4...
  16. MIXOLOGIST

    Baada ya Kufukuzwa Uanachama, Upi ni Uhalali wa Yale Yaliomo Kwenye Notisi ya Kujiuzulu?

    Kwamba nitastahafu siasa kuanzia tarehe 4 Septemba, 2026 Nawaza tu, kama notisi ilikubaliwa, je huyu mwamba ni bado Makamu wa Raisi mpaka 4 September 2026 au kwa kufutwa kwake uanachama amefukuza wakati akiwa kwenye notice period. Wabobezi, wanazi na vilaza ni wengi, ila wote maoni yetu...
  17. Mohamed Said

    Kujiuzulu Kwa Makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi

    https://youtu.be/gxG_4KDoO5M?si=d3MdRYaigZxG9xKH
  18. Pascal Mayalla

    Barua ya VP ni Taarifa ya Uamuzi wa Kujiuzulu Sio Ombi!. Taarifa ya Ikulu ni Ombi Limekubaliwa!. Ilipaswa Iwe Rais Amepokea Taarifa Ameridhia!

    Wanabodi Tangu jana nilipoiona ile Taarifa kwa umma ya VP kujiuzulu, nilipata shock sikuiamini nikiamini ni fake news, mpaka leo nilipoiona Taarifa ya Ikulu, ndio nimeamini!. Nilipata shock kwasababu niliamini he is the best that we have for 2030. Hata hivyo, licha ya kujiuzulu, kwasababu...
  19. R

    Mtangazaji radio 47 Kenya: Je, Makamu wa Rais wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, alisukumwa kujiuzulu baada ya kuwataka Watanzania kudai Katiba mpya?

    Mtangazaji wa Radio 47 Kenya, Captain Emmanuel Mwashumbe, ameibua maswali kuhusiana na uamuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kutangaza kujiuzulu na kustaafu siasa kuanzia Septemba 4, 2026. Akizungumza kwenye kipindi chake, Captain Mwashumbe ameeleza kushangazwa na hatua...
  20. Zack Abdul

    Kujiuzulu kwa Dk. Nchimbi: Dharau au Utii?

    Uamuzi wa Makamu wa Rais Dk. Emmanuel Nchimbi wa kutangaza kujiuzulu nafasi yake umezua mjadala mzito huku hatua hiyo ikitazamwa kama dharau ya wazi na kukosekana kwa heshima kwa mamlaka ya ofisi aliyokuwa akiitumikia. Badala ya kuonekana kama uamuzi wa kawaida wa kiongozi anayepumzika lakini...
Back
Top Bottom