NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Just imagine gari yako imekwama kwenye mchanga maeneo ya Mbagala Chamazi kisha vijana watatu (3) wanakusaidia kuisukuma mpaka inafanikiwa kutoka.
Baada ya hapo, badala ya vijana kusema "kaka tunakutakia safari njema" wao wanasema "kaka tuachie hata ya soda basi"
Au...
Kuna changamoto kuhusu utekelezaji wa mikataba ya watumishi wa afya chini ya TAMISEMI iliyotolewa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watumishi wanalipwa kiasi cha shilingi 100,000 kwa mwezi, huku kukiwa na malalamiko kuhusu kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya kazi za ziada (overtime).
Baadhi ya...
Baada ya kipindi cha Clouds 360 cha Clouds Tv kumfungulia dunia Kijana 𝗜𝗿𝗲𝗻𝗲 𝗢𝗺𝗯𝗲𝗻𝗶 kwa kufanya nae mahojiano na jamii kuona anachokifanya, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Mhe. 𝗛𝗮𝗿𝗮𝗻 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮 (haransanga_) amemuwezesha Mwanadada Kijana 𝗜𝗿𝗲𝗻𝗲 𝗢𝗺𝗯𝗲𝗻𝗶 vifaa vya kisasa vya usafi wa mazingira, ikiwemo...
Kama mada inavojieleza hapo juu nimeota nasafisha mitaro ya barabarani
Ila wapita njia walikuwa wananipa moyo na kunifariji kuwa hivi karibuni naweza kupata tuzo au faida kubwa kwa kazi hiyo ya kujitolea.
Mimi pia nilikuwa naifurahia kwani nilifanya kwa bidii pia juzi kama siku tatu zimepita...
Habarini,
Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia “watumishi wa kujitolea” licha ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika.
Kuna watu wapo pale tangu 2010 wanajitolea tu hadi leo wakilalamikiwa wanapumzika kidogo halafu wanarudishwa kitu ambacho...
Anonymous (ffb0)
Thread
ardhi
jambo
kujitolea
manispaa
mara
mara kwa mara
ofisi
sumbawanga
wananchi
watumishi
Habarini,
Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia watumishi wa kujitolea richa ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika.
Kuna watu wapo pale tangu 2010 wanajitolea tu hadi leo wakiilalamikiiwa wwanapumzika kidogo halafu wanarudishwa kitu ammbacho...
Kero yetu sisi walimu wa kujitolea au wa mkataba katika shule za msingi kupitia mradi wa gpe, ambao tuliletwa na tamisemi. tupo nchi nzima, lakini mpaka sasa hatujalipwa. mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi februari 2026, tena baada ya kutoa kero yetu hapa jamii forums ndipo malipo yakafanyika...
Anonymous
Thread
gpe
kero
kujitolea
kupitia
mkataba
mpaka
mradi
msingi
nchi
nchi nzima
shule
shule ya msingi
walimu
walimu wa kujitolea
Mdau hapa. Leo ningependa kuzungumzia changamoto zinazowakumba baadhi ya watumishi wa kujitolea katika ofisi za serikali, hususan maeneo ya kusini mwa Tanzania. Sitapenda kutaja majina ya ofisi husika kwani wahusika wanajitambua wenyewe.
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watumishi wa kujitolea...
Anonymous
Thread
katika
kujitolea
kupata
ofisi
posho
serikali
stahiki
unyonyaji
uwepo
watumishi
Habarini ndugu zangu, mm n kijana wa miaka 23 nakaa dar es salaam mabibo, nina leseni ya udereva class D natafuta sehemu ya kujitolea nipate uzoefu zaidi na conntions kama ikiwezekana,, may be una private car au vyovyote vile sihitaji malipo yoyote kwa sasa focus yangu n kupata sehemu ya...
Wakuu,
Tukajitolee kujenga taifa jamani:Alien::Alien::Alien:
----------
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, amewahimiza vijana wa Kitanzania wenye sifa kujitokeza kujiunga na nafasi za kundi la kujitolea.
Mpango huu unalenga kuwajengea vijana uzalendo, umoja wa...
(Gafla Mwendawazimu akanyang'anya mic)
MWENDAWAZIMU:
Hebu njoo hapa kijana… njoo karibu, usiogope, mimi siwezi kukugusa - tayari nimegusa ukweli, na huo ndio ugonjwa pekee unaoambukiza nilio nao.
Uliniuliza “Kwa nini siku hizi kujitolea JKT ni hekima ya mpumbafu?”
Sikiliza basi.
Sijasema...
Nimesoma clinical medicine.
Nimemaliza mwaka huu, hivyo ninahitaji kupata sehemu ya kujitolea kupata kujifunza zaidi na kupata uzoefu.
Nimesoma chuo cha private, na changamoto kubwa wa hivi vyuo vya private ni kupata muda mchache wa kufanya mafunzo ya wodini maana chuo chetu hakina hospitali...
Habari za humu wakuu,,Mimi ni muhitimu wa shahada ya Taaluma ya Maendeleo (BA-DS) kutoka University of Dodoma mwaka 2022.
Lengo la kuandika huu uzi ni kuomba connection ya nafasi kujitolea kwenye Taasisi za serikali au Taasisi binafsi,itakuwa vizuri ikiwa mkoa wa Mbeya hasa mbeya mjini...
EDIT: Sio waziri tu, ni viongozi wakiwemo mawaziri, maspika, wakuu wa mikoa, wabunge, n.k.
Kujua matatizo ya wananchi kwa ukaribu ni msingi wa utatuzi wa kweli. Ni muhimu kwa viongozi kuwa karibu na waathirika moja kwa moja badala ya kutegemea tu ripoti kutoka kwa viongozi wa chini. Mara...
Habari wakuu, kama tittle yangu inavyo jieleza hapo juu mm ni kijana wa kitanzania, jinsia (me) nimehitimu diploma ya ubora wa maji chuo cha maji Singida mwaka 2025. Nilikuwa natafuta nafasi ya kazi kwenye kiwanda chochote au kwenye mamlaka yoyote ile ya maji hapa mnchini kwani ninauzoefu wa...
Nilikuwa nauliza hivi, nimemaliza chuo Mwezi huu..
Matokeo bado hayajatoka mpaka mwezi wa nane.
Je kwa mfano nataka kuandika barua mahali Fulani nikiwa na Lengo la kujitolea...
Nina takiwa kuambatanisha kitu gani ili kuthibitisha kuwa na taaluma ya kazi husika??
Ahsante karibuni kwa ushauri mzuri
Kama mpenzi wa mpira wa Miguu na mpenzi na shabiki na mwanachama kindakindaki wa timu yangu pendwa ya Simba Sports Club nimeamua bila kushurutishwa na mtu yoyote kua Scout wa kutoa ushauri ama mapendekezo ya usajili wa wachezaji mbalimbali ambao wataisaidia timu yangu ya Simba.
Ninamiini...
Wauguzi wenye sifa na vyeti waliohitimu vyuo vinavyotambulika hapa nchini kuanzia 2018--2024 kwa kazi ya kujitolea na kupata uzoefu ,kwa mkataba wa kulipwa nusu mshahara kwa muda wa miezi sita' kama upo au una mtoto ,rafiki na jamaa ,nafasi zipo chache ,wasiliana kwa namba hii 0614 922509
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.